Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hahahaha Yani Mimi niumie kisa Russia kaichukua Bakhmut [emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee Labda nyie mnaochukulia serious hii vita. Hata Russia aichukie Ukraine yote Mimi siwezi kuumia hata kidogo.


In the Battle of Bakhmut, Ukrainian defenders repelled attacks by the Russian fascist invaders in the areas of Spirne, Soledar, Krasna Hora, Bakhmut, Klishchyivka and Kurdyumivka – all in Donetsk region.

–General Staff of the Armed Forces of Ukraine, 06:00, 6 January 2023

Halafu ww unatuambia Soledar imeshaanguka taarifa ambayo sijaona kwenye chombo au source yoyote.[emoji23][emoji23][emoji1787]

Wewe hapo Bakhmut acha wadundane Ila mpk tunamaliza January kutakua hakuna mabadiliko ya maana
 



Ilo ndo daraja lililovunjwa.lipo centre kabisa Bakhmut.kwa iyo Vikosi vya Ukraine kwa sasa vimerudi mpaka katikati ya Bakhmut, ndo maana wamevunja daraja.
Mbosa ivi vitu sio siri kwa sasa.we vumilia tu bro ndo ukubwa huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Maana naona sasa hivi WANASEMA URUSI nimetumia siraha za aina yote.
Propaganda za USA na NATO.
Yani ni kama MARA ya kwanza WALISEMA URUSI wanaitumia siraha za zamani. Hahahaha
Wewe Acha hizo porojo nyie proRussia si ndo mlikua mnang'aka humu eti Russia anatumia silaha za zamani!?

Sasa Hypersonic ni silaha ya zamani?!
Kalibr ni silaha ya zamani?!
Iskander ni silaha ya zamani?!
Su-35 ni silaha ya zamani?!
T-90M ni silaha ya zamani?!

Russia ilisema imetumia mpk laser weapons hapo Ukraine,sasa hiyo nayo ni ya zamani?!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwisho wa habari yako hapo umeona panasemaje.

Msemaji wa jeshi la Ukraine ndo katoa iyo taarifa.sasa wewe kwa akili yako msemaji wa jeshi la Ukraine ulitaka aseme tumezidiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Ebu basi jiongeze hata kidogo
 
Waache waendelee kujifariji
 
Linaitwaje?!

Leta coordinates tuingize kwa Geo lacator tuone Hali ya Daraja ilivyo!!!

Kwanini tuandikie mate wakati wino upo [emoji23]
 
Eneo zima la Bakhmut ni wapi hapo, chorea mipaka tuone.
 
Kwahiyo Soledar imeshaanguka?![emoji23][emoji23][emoji23] Halafu baada ya week mbili utarudi hapa tena utasema Wagner wameuzunguka Soledar?!

Last week ulituambia Opyte karibu inachukuliwa na Wagner,vipi ulichukuliwa?!

Sasa hapo Bakhmut si tangu mwaka Jana Ukraine wanasema Hali mbaya sababu wao wapo kwenye defense Russia wapo kwenye offensive. Ulitaka msemaji asemaje?!
 
Vyombo venues vya habari vya magharibi ndivyo walivyokuwa WANASEMA

 
Si ndivyo walivyokuwa WANASEMA
 
Jamn eeh ety jeshi la urusi (red army flag )limeingia ukraine au ...maana Wagner sio jeshi la serikali Ni kikundi Cha mtu binafsi (private military)au nimekosea
 
Vyombo venues vya habari vya magharibi ndivyo walivyokuwa WANASEMA

Soma vizuri taarifa ulizoleta!

Hizo Kalashnikov walipewa hao mobilized soldiers ambapo vyombo vya magharibi vilikua vikisema Russia inapeleka wanajeshi wakiwa hawajaandaliwa vizuri. Halafu mbona hata Ukraine wanajeshi bado wanatumia silaha za zamani.

Tunachotaka utuletee zile silaha (za convectional) ambazo unasema Russia anazo lkn bado hajazitumia!!!!
 
HIZO ndo siraha za zamani mlizo kuwa mnasema. Au
Cluster bombs vipi.
 
Plan ya kushughulikia kwa yeyote atakaye ingilia demilitarization na denazification operation huko Ukraine ipo tayari!!! Sidhani kama Russia alikuwa anafanya utani katika hilo. Sidhani.
Hiyo ni kweli kabisa hakuna aliyeingilia,kwani mpaka Sasa Putin anahenyeshwa na Ukraine tu!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…