Antonio Conte
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 1,089
- 1,748
Na Bado yanakuja ma package mengine mengi[emoji95][emoji95][emoji95] The full composition of the new US military aid package to Ukraine:
[emoji3502]50 Bradley infantry fighting vehicles with 500 TOW anti-tank missiles and 250,000 rounds of 25mm ammunition;
[emoji3502]100 BTR M113S;
[emoji3502]55 MRAPS;
[emoji3502]138 HMMWV;
[emoji3502]18 155 mm self-propelled howitzers and 18 tractors;
[emoji3502]70000 155-mm artillery shells;
[emoji3502]500 155 mm Excalibur shells;
[emoji3502]1200 155-mm anti-tank mine system (RAAM) shells;
[emoji3502]36 105-mm towed howitzers and 95,000 105-mm artillery shells;
[emoji3502]10000 120 mm mines;
[emoji3502] HIMARS ammunition;
[emoji3502] anti-aircraft missiles RIM-7 Sea Sparrow;
[emoji3502]4,000 Zuni aircraft unguided rockets;
[emoji3502]about 2,000 anti-tank missiles;
[emoji3502]Sniper rifles machine guns and ammunition.[emoji95][emoji95][emoji95]
Kaipost kinyonge mnoNa Bado yanakuja ma package mengine mengi
Wakati ule aliwawahi tu na Obama aliamua kuwaacha tu lkn jamaa wamejipanga Kwa miaka 8 na sasa wanae tuAlidhani watamchekea kama wakati anaichukua Crimea
Malengo Yao yalitimia huko ndo maana wameondoka AfghanistanAlishindwa kuwapoteza watalabani TU,achilia mbali wavietnam ataweza kwa Urusi?
Anajua shughuli yake ndio maana Kawa mnyongeKaipost kinyonge mno
Na ndio maana Russia anaweweseka hataki Ukraine iende NATOKwa lazima Ukraine itakuwa na base ya USA.
Too late asingevamia US asingewekeza.Na ndio maana Russia anaweweseka hataki Ukraine iende NATO
Manati,Kombeo na mshaleYani we jamaa unachekesha,inaelekea hujui hata unachozungumza
Embu tuambie kwenye convectional weapons,ni silaha gani ambayo Urusi haijaitumia bado hapo Ukraine?!
Watu wanatumia mpaka Phosphorus munitions halafu wewe unatuambia eti wameweka limit ya silaha?! Haya tutajie convectional weapon ambayo Russia bado hajaitumia kwenye hii vita.
Matahira Ni wengi kweli. Kumbe Masaa 36 Ni sawa na siku 3?kauli ya putin na mtego wa mamba.
kama tunakumbuka Zelensky ameyazuia makanisa ya Russian Orthodox nchini ukraine.
Putin huenda alitaka kumuingiza choo cha kike mchekeshaji zelensky kwa hiyo ofa yake ya kuwepo utulivu kwenye uwanja wa vita kwa siku 3 ili watu washerehekee sikukuu ya krismasi ya dhehebu la Orthdox
laiti zelensky angelikubaliana na uamuzi huo tafsiri yake ni kwamba ameruhusu kwa mara nyengine tena makanisa ya Russian Orthodox kurudisha mahubiri yake.
HILI SWALA TUSILIANGALIE KWA UPANDE MMOJA WA SHILINGI, ETI RUSSIA ANATAFUTA KISINGIZIO CHA KUPUMZIKA.
APUMZIKE KWA KAZI IPI NGUMU ALIYOIFANYA
hivi ukraine ameshakomboa maeneo mangapi?
Hii package ya sasa naona kuna armoured vehicles kama zote,nahisi Ukraine inajiandaa tena kufanya counter offensive nyingine
Ndio mkuuHii package ya sasa naona kuna armoured vehicles kama zote,nahisi Ukraine inajiandaa tena kufanya counter offensive nyingine
Malengo Gani?ya kuwatoa wataliban na kuwaweka wataliban?Malengo Yao yalitimia huko ndo maana wameondoka Afghanistan
Asiye na akili ndo anaweza kusema hivyo Hilo halitatokea.hivi unajua marekani ameshazihamisha maabara zake zilizopo ukraine.kashaziondoa.marekani Hana ubavu wa kuweka base Ukraine.Kwa lazima Ukraine itakuwa na base ya USA.
Hao Ni askari wa kukodi wanaotumwa kufanikisha malengo ya jeshi la Urusi.Jamn eeh ety jeshi la urusi (red army flag )limeingia ukraine au ...maana Wagner sio jeshi la serikali Ni kikundi Cha mtu binafsi (private military)au nimekosea
Kwahiyo za mwanzo zimekwisha kirahisi hivyo
Armoured vehicles 100 na IFV 50 zitasaidia kiasi chake. Kwanza naziamini Bradleys, ngoja ziingie kazini huwezi zilinganisha na kina BMP zile. Ingawa 50 ni chache ila uzuri kina France, Germany na UK wanatarajiwa watatuma za kwao. Germany ina mamia ya vifaa haiyatumii tena na yapo in good condition ni upgrade chache yanafanya kazi kama hayaHii package ya sasa naona kuna armoured vehicles kama zote,nahisi Ukraine inajiandaa tena kufanya counter offensive nyingine
Kwa hiyo urusi waliitoa kheson kama sadaka??MARA kerson walipigwa,
Wakati wakati kerson hapakuwa na MAPIGANO.
[emoji1][emoji1]