Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unaonaje nikufanyie mchongo ukaolewe huko[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kuhusu Hypersonic missiles, by laws of Physics silaha za Hypersonic bado hazimake sense, due to current technology in material physics, hata Russia silaha walizotumia Ukraine ni trial.

Hypersonic speed ni mach 5 and above (1 mach ni equal na speed of sound), Kwa hii Kinetic Energy + friction (inayotokana na air resistance) Hypersonic missiles haziwezi kumaintain speed ya mach 5 kuanzia launching stage, mid course na terminal stage otherwise those missiles zita melt, Russia hutawasikia tena wanaleta sound za kutumia High precision weapon

Technically wamechukua ICBM wakaweka kwenye ndege wakaita Hypersonic
 
Kwa hiyo unataka kusema hypersonic missiles ni nadharia tu lkn kwenye uhalisia haiwezekani!?

Hebu funguka kdg mkuu ututoe tongotongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…