mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aibu imekushika mbwa wewe.Typing error.., lakini habari ndio hiyo.. urusi hasara anayolambishwa kwenye hii vita atakuja kusimulia Hadi kizazi Cha nne,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Watu wanashidwa KUELEWA kuwa Kipindi USSR inavunjika russia na Nato na nchi washirika za USSR hasa vile Zilizo karibu na russia na Kushare border kubwa , walikubaliana kuwa NATO isijitanue ibaki hivyo hivyo.Mtu mnoko adhabu yake iko wazi....Nchi zinazotumika kuhatarisha usalama wa nchi nyingine ni lazima zishughulikiwe pia...Zele na wenzake ni vibaraka wa West kwa hiyo ni haki kwa Russia kuwashughuilikia mapema kabla hawajapata silaha za maangamizi...simple logic....
Na imeharibiwa vibaya.Lakini ukraine, alijitakia ,, putin alijitahidi sana kumuomba wakae waongee tofauti zao, zelensiky kwa kupewa kichwa na US, akawa anamjibu shombo, na akaanza process za kujiunga NATO,,
Russia atavuruga hiyo nchi, na hawatakuja kusahau maisha yao yote
Russia walivyoingia Ukraine baada ya siku kadhaa.Russia hakusema kuwa Atatumia saa 72,, west media ndivyo walidai hivyo,,
Lakini baada ya Russia, kuingia, aligundua kuwa, hiyo vita itakuwa ya mda mrefu, kutokana na west kuamua kumsaidia ukraine hadi mwisho, so Russia wakaamua kuondoa troops arround kiev, na kufocus on east ukraine,,
West media faster wakaanza kudai eti, Russia kashindwa,, na ndio propaganda imelishwa kwq wengi eti Russia kashindwa vita, na watu wasiofikiri, critical thinker wanadhani hivyo😂
Mkuu propaganda za west zimewaathiri hawa.Hawakujaribu kuiteka kiev, baada ya kuteka uwanja wa ndege, kulikua na convoy ya km 40 nje ya mji wa kiev, kwa mda wa takribani wiki nzima, ile convoy imesimama tu, hadi west wakawa puzzled,, lakini ukweli ni kuwa hapakuwa na mapigano ya kujaribu kuteka kiev,,
Amri ilitolewa ile convoy ikarudi beralus,, japo kuna tukio moja tu, kuna sehemu convoy ilikua ambushed, tukio moja
Mkuu jihulize kwa nini USA anataka Ukraine ajiunge NATO???Chanzo cha maandamano yaliyomg'oa kibaraka wa Urusi ilikuwa ni pamoja na kukataa kusaini mkataba wa kibiashara na EU, wenye nchi yao waliandamana bila kuchoka mpaka huyo kibaraka akang'ooka na kukimbilia Urusi.
Baada ya Crimea kuporwa kibabe na kuanzishwa uasi bandia huko Donetsk na Luhansk, Ukraine haikua na namna zaidi ya kujiandaa kulinda Uhuru wake, hao NATO walianza ufadhili baada ya Supa-pawa kuipora Crimea.
Kulikuwa hakuna ushahidi wowote kuwa Ukraine walikuwa wanajiandaa kuivamia Urusi
Land force ya USA ya kaida sana , USA wanategemea sana Air force.Ukraine sio ndogo kihivyo,, na wale ni warusi pia, ilikua nchi moja, wanajuana vizuri, na wote ni wapiganaji wazuri,, kwa vita inayoendelea sasa huko soleder, bakhmut, hakuna nchi ya magharibi, US, UK, france, etc,, wanaweza pigana close combat so bloody, kama inayopiganwa huko ukraine,,
Marekani walijaribu hii close quarter combat huko falluja, iraq na kamasi ziliwatoka, hawawezi
Hayo mabomu USA walitaka kuweka Ukraine, kwa ajili ya URUSI.Naona US anaanza kusogeza bomu za nyuklia ulaya.
Mkuu putin nakupenda vita vitokee na ndo maana mpaka sasa anasisitiza sana mazungumzo.your huko Russia Kuna Hawks kuliko huyo Putin ambaye baadhi ya warusi wanamuona ni mpole mno...
Mkuu hii ni vita , vita ikitokea pande zote zinaathirika,Nikianza kukuletea wa Warusi hapa aiseee Uzi utajaaa
Ngoja nikupe sample kidogo
1. Funeral of Lieutenant Colonel Бачурин (Bachurin), killed in Makiivka on New Year’s Eve.
vk.com/wall-98585869_…
2.Major of Medical Service Сеикаев Александр (Seikaev Alexander), commander of the separate medical sanitary battalion, was killed in Ukraine on 3 January.
vk.com/wall-88298195_…
3.Major Шкроба Михаил Владимирович (Shkroba Mikhail Vladimirovich) from the 37th Separate Guards Motor Rifle Brigade was killed in Ukraine on 27 December by a HIMARS strike.
He’s the eigth confirmed officer on the list.
H/t @sitizen_toxi
vk.com/wall60022722_1…
4.[emoji298]️ Colonel Гаджибалаев Марат Мугулович (Gadzhibalaev Marat Mugulovich), commander of the 39th Separate Motor Rifle Brigade, was killed in Ukraine on 27 December.
suleiman-stalskiy.ru/novosti/v-sule…
View attachment 2475457View attachment 2475458View attachment 2475460View attachment 2475461
Walituambia magenerali 11 wa URUSI wameuwawa vitani.Mnakumbuka mlisema majenerali wamekufa ila mwisho wa siku mkaja kumbuka baada ya kuonekana wapo fresh wanapanga mipango.
URUSI washachukua nini MJI huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Ni bora walivyokimbia kuliko kutolewa kafara na Zelensk
View attachment 2475559
Zelensky anaendelea na propaganda mpaka sasa 🤣🤣😅😅😆Umeukanyaga hii picha KUTOKA vita ya Armenia na Azerbaijan
Sasa kama kuwafukuza tuu WAMESHIDWA wataweza kweli hioSiku ukraine akianza kukamata Russias territories hapo ndo utanishawishi😁
Picha haionekani vizuri mkuu tunaona scepper tuu hapo , SIDHANI kama ni pantsir maana kichwa kama vile sio cha kamaz truck😂😂😂Dawa itawaingia tu,kaangalie video kuanzia 0:10sec uone liPantsir Lenu lilivyopasuliwa,na hiyo sio ya Kwanza hata ukitaka nyingine naweza kukuwekea
Kamaz siku hizi ina 57E6 missiles eeeh?! Na ina machine gun eeeh?! Au hujaona risasi za Pantsir kwenye video?!Picha haionekani vizuri mkuu tunaona scepper tuu hapo , SIDHANI kama ni pantsir maana kichwa kama vile sio cha kamaz truck
Mkuu naona umeishiwa point,Kamaz siku hizi ina 57E6 missiles eeeh?! Na ina machine gun eeeh?! Au hujaona risasi za Pantsir kwenye video?!
Nyingine hii hapa pale Snake Island mliposema mlijiondoa kumbe mlikimbia baada ya kichapo na AD zenu kupigwa kila wakatiView attachment 2475902View attachment 2475903
#Ukraine: After more than half a year passed since the battle for Snake Island finished, another Russian loss from there was revealed: a Pantsir-S1 air defence system was destroyed there by the Ukrainian army, and has been left to rot.