Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Nimekuuliza haya maswali [emoji116]hujajibu?! Na wewe unajiona upo Sawa?! Au ndo umeishiwa point!!!?

Kamaz siku hizi ina 57E6 missiles eeeh?! Na ina machine gun eeeh?! Au hujaona risasi za Pantsir kwenye video?!
 
Vyombo vya habari vya magharibi sasahivi speed YAO ya kutangaza Ukraine war ni mdogo sana .
Walieleza propaganda weee sasa wameamua kunyamaza kinywa kimya , daaaa.
Hali mbaya wameona propaganda hazina msaada.
Wameamua wawachie warusi maana kwenye propaganda warusi hakuna anayewafikia,unadai kuua wanajeshi 600 halafu Makombora yote yamepiga pembeni [emoji23] Aiseeee hata kama ndio kuongopa Ila hii ni too much[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimekuuliza haya maswali [emoji116]hujajibu?! Na wewe unajiona upo Sawa?! Au ndo umeishiwa point!!!?

Kamaz siku hizi ina 57E6 missiles eeeh?! Na ina machine gun eeeh?! Au hujaona risasi za Pantsir kwenye video?!
NAONA UJAELEWA PANTSIR S1 INAYOTUMIKA NA URUSI INATUMIA KAMAZ TRUCK HATA HIZO ZA ZILIZOENDA UKRAINE inatumia kichwa cha kamaz.

Post yako ya juu ile sio kichwa cha kamaz , mkuu.
Ishu sio post yako ya pili .
Ishu ni ile post yako ya kwanza HAUKUWA pantsir bro.
Nimeelewa juu hakuna hata pro russian aliyekataa kuwa hakuna askari au vifaa cha URUSI kilicho halibiwa vipi VINGI tuu ila ishu ni PROPAGANDA ZA UKRAINE ZIMEKUWA NYINGI SANA.
 
Wameamua wawachie warusi maana kwenye propaganda warusi hakuna anayewafikia,unadai kuua wanajeshi 600 halafu Makombora yote yamepiga pembeni [emoji23] Aiseeee hata kama ndio kuongopa Ila hii ni too much[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MKUU INGEKUWA UHONGO VYOMBO VYA HABARI VINGEWAPINGA SANA URUSI,.
CHEZEA URUSI WEWE.
 
Typing error.., lakini habari ndio hiyo.. urusi hasara anayolambishwa kwenye hii vita atakuja kusimulia Hadi kizazi Cha nne,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Utakuwa huwajui warusi wewe,world war 2 Soviet ilipoteza watu zaidi ya mil 27 most of them Russians!
Na mpaka Leo wanasherehekea ushindi dhidi ya Nazi's,Ile victory day!
Tumia akili Yako vyema,usiandike kujifurahisha!
 
Kwani Ukraine imewaalika NATO?...iliyoalika NATO ni Finland na mataifa ya Baltic (Estonia, Latvia, Lithuania).....na hayo pia yatavamiwa kwa kukiuka makubaliano?
 
🤝🤝🤝🤝👏👏👏👏
 
👏👏👏🤝🤝🤝🤣🤣🤣🤣🤣🇷🇺💪
 
Utakuwa huwajui warusi wewe,world war 2 Soviet ilipoteza watu zaidi ya mil 27 most of them Russians!
Na mpaka Leo wanasherehekea ushindi dhidi ya Nazi's,Ile victory day!
Tumia akili Yako vyema,usiandike kujifurahisha!
Huoni aibu kuandika warusi millions 27 walilambishwa mchanga katika world war?

Na hicho ndicho kinatokea huko Ukraine.., warusi wanaendelea kuchinjwa kila siku kwa maelf lakini bado hawajifunzi et ..,kwa hiyo mnasubiri warusi wauawe mpaka idadi ifike million 27 ndo mtaridhika eeh?

Sawa, ngoja waendelee kuchinjwa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 

Hilo swali nimeRefer post yangu ya Kwanza!!!

Embu tueleze wewe Pantsir inatumikaje?! Inawekwa kwenye kamaz truck halafu inarushwa bila ya launcher au?!

Nairudia tena Ile post

#Ukraine: A torn apart Russian Pantsir-S1 air defence system was discovered in #Kherson Oblast, with 57E6 missiles strewn around the site.

The system was destroyed when the area was still occupied by the Russian Army, but the wreckage appeared only recently.
 
MKUU INGEKUWA UHONGO VYOMBO VYA HABARI VINGEWAPINGA SANA URUSI,.
CHEZEA URUSI WEWE.
Mnajitekenya na kucheka wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti wanajeshi 600 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

No sign of casualties after Russia claims revenge attack on Ukrainian soldiers

KRAMATORSK, Ukraine, Jan 8 (Reuters) - A Russian missile attack on the Ukrainian city of Kramatorsk missed its targets and there were no obvious signs of casualties, a Reuters reporter said on Sunday, after Moscow claimed the strike killed 600 Ukrainian soldiers.

A Reuters team visited two college dormitories that Moscow said had been temporarily housing Ukrainian personnel and which it had targeted as revenge for a New Year's attack that killed scores of Russian soldiers and caused outcry in Russia.

But neither dormitory in the eastern city of Kramatorsk appeared to have been directly hit or seriously damaged. There were no obvious signs that soldiers had been living there and no sign of bodies or traces of blood.

Serhiy Cherevatyi, a Ukrainian military spokesperson for the eastern region, described the claim of mass casualties as an attempt by the Russian defence ministry to show it had responded forcefully to Ukraine's recent strikes on Russian soldiers.
No sign of casualties after Russia claims revenge attack on Ukrainian soldiers
 
Silaha za nato na USA zinateketezwa na urussi kama bisi kwenye kikaango
Eti eeeeh[emoji23][emoji23][emoji23]

#Ukraine: A Russian T-90S tank was destroyed by the Ukrainian army in #Kherson Oblast- this is the second documented loss of this type.

A batch of these tanks originally intended for export was repurposed and pressed into service with Russian forces due to serious armor losses.
 
Wameamua wawachie warusi maana kwenye propaganda warusi hakuna anayewafikia,unadai kuua wanajeshi 600 halafu Makombora yote yamepiga pembeni [emoji23] Aiseeee hata kama ndio kuongopa Ila hii ni too much[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe unaumia 'wanavyoongopa'??? Waache 'waongope' kama ni kweli 'wanaongopa'.....Yaani nyie Pro-NATO hamuwezi kujiongeza kwenye thinking??!! Yaani eti Warusi waongope kwenye ulimwengu huu wa teknolojia???!!! Kwanini wale wanaokanusha kuhusu vifo vya askari hao 600 wasiwe kuwa ndiyo wanaoongopa.. Maana wameshupalia kukanusha isivyo kawaida...By the way hivi ni lini Ukraine na West waliwahi kukiri kuhusu vifo vya askari wa Ukraine? Ni lini??! maana utasikia wakisema Russia imepiga mabomu/missiles na kuua raia na watoto...utaona wanaonesha picha za watoto wakiwa kwenye wodi na akina mama na wazee...huwezi kusikia kuwa Ukraine imepoteza askari kadhaa...ila utasikia Russia imepoteza askari zaidi ya 100,000 mpaka sasa...na utamuona kipanya humu analeta taarifa hizo za udaku kama zilivyo. duh.. nyie pro-NATO jiongezeni katika uchambuzi bwana.
 
Nione aibu Kwa lipi?Nimekupa facts kuwa warusi hawako kama wewe unavyofikiria!
Ingekuwa hivyo wasingekuwa wanasherekea Ile victory day kila mwaka!
So tulia hivyo hivyo uone mwisho ni Nini,maana unaweza shangaa sherehe nyingine ya kila mwaka ikatokea kupitia SMO hiyo!
 

Hahahaha kwahiyo wewe unayetaka tuamini kombora lililochimba shimo kubwa la taka pembeni kabisa ya jengo ndio una uwezo mkubwa wa kufikiri?! [emoji23]

Kwani hii ni mara ya Kwanza Kwa Urusi kuongopa!!!
Walikataa na kupinga kwamba Meli Yao haikuzamishwa kwa Makombora ya Ukraine (Neptune) baadae wakasema wameshambulia kiwanda kinachozalisha Makombora ya kuzamisha Meli (Neptune) kama kulipa kisasi. Sasa wanalipa kisasi kipi wakati walipinga Meli yao haikuzamishwa na Neptune missiles?!
Russia hits Kyiv missile factory after its flagship is sunk

Baadae wakakimbiza Meli zao mbali kabisa na Pwani ya Ukraine,nini kiliwafanya wazikimbize?!

Base yao kule Crimea ilivyopigwa walituambia kuna uharibifu mdogo,baadae picha za satellites zikawaumbua ndege tisa zilikua zimeharibiwa Sana.

Kyiv said nine Russian warplanes were destroyed in a series of blasts at the Saki air base in annexed Crimea on Tuesday, while Russia denied any damage and said the incident stemmed from ammunition detonating.
Destroyed Russian warplanes at southern base suggest an attack that could signal new phase in war

Na Kali ya mwaka ndio hii ya juzi, Makombora kuchimba mahandaki halafu bwana mkubwa anakuja kutuambia Kala vichwa vya wanajeshi 600[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…