Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin kasema akiba ya silaha anayotumia kwa sasa ni ya babu yake.bado ya baba na yake
Kaka watu wanashidwa KUELEWA kwamba baada ya Soviet kuanguka, URUSI nazikusanya siraha nyingi sana karibu zote kutoka kwa washirika WAKE na anapeleka kwake. Na kipindi kile USSR ndie alikuwa mtengenezaji mkubwa na siraha DUNIA, kwa washirika WAKE zilibaki siraha chache sana.
Rusia kuishiwa siraha sio rahisi ANAHITAJI wapigane mda mrefu sana tena sana. Na vita vikubwa.
 
Hizo siku tano zinaenda miaka miwili huku super pawer akiangaika na tumji twa mpakani huko[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Aandae hata akiba ya Babu wa Babu yake..,hii vita imetengewa bajeti ya miaka 5 na kuendelea shekhe

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Aandae hata akiba ya Babu wa Babu yake..,hii vita imetengewa bajeti ya miaka 5 na kuendelea shekhe

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mtakufwa vibaya nyieeeee !!

President Vladimir Putin’s defence minister has pledged to build a deeper arsenal of weapons, bolster aviation technology to better evade air defences and improve drone production after a series of battlefield humiliations in Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…