Kama ni nonsense,waingie UkraineWakati Babu andunje kutwa kucha akitishia Nyuklia wenzake wanamuona kama mpuuzi mmoja hivi [emoji23]View attachment 2487905
Ukraine mwenyewe anamtosha sana huyo super pawer wa kuchonga..,Wala hakuna mtu yeyote anayeweza kupoteza muda kuua nzi kwa lisasiKama ni nonsense,waingie Ukraine
Ardhi ya ukraine inaendelea kumegwa zaidi. kitu kinacho prove kuwa silaha za russia zinaleta matokeo bora na murua kabisa kwenye battlefieldKwani zile S-400 za Russia zimefanya nini cha ajabu huko Ukraine?! Maana zilikua zikipewa sifa kwamba ndio AD bora kabisa duniani
Lakini si maeneo yamepotea suala kwamba tangu lini hiyo ni ya kwenu na mnaruhusiwa kutumia hiyo excuse kama inawapa peace of mindKama yapi?! Maana hiyo Soledar ndio mji wa maana ambao Russia imeukamata baada ya miezi sita. Ndani ya hiyo miezi 6 Ukraine imerudisha miji muhimu kama
•Kherson (30%)
•Izium
•Lyman
•Kupiansk
•Kharkiv, bila kusahau
•Snake Island
Tangu May mwaka Jana Urusi inapigana kuikamata Bakhmut lakini mpaka Leo Hali ni tete na Boss wa Wagner amekiri kuikamata Bakhmut sio suala la hivi karibuni
Russia's Wagner boss heralds Bakhmut area advances, warns victory still distant
However, Prigozhin warned that Wagner would be unlikely to oust Ukrainian forces from Bakhmut soon: "Contrary to various opinions that the Armed Forces of Ukraine are fleeing from Artemovsk [the Russian name for Bakhmut], this is not so. The Ukrainian army is working clearly and harmoniously. We have a lot to learn from them."
Russia's Wagner boss heralds Bakhmut area advances, warns victory still distant
Kwa nini unasema kwa ulazima?Huyo alipelekwa machinjioni kwa ulazima..,Cha kushangaza hakuna mtu hata mwandishi anayeligusia hili suala [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo sifa zimehamia kwa hiyo kampuni ya ulinzi baada ya kuona super pawer anawaangusha ,sio??[emoji16]Alafu live nilikuwa nimesahau hii mobilization kweli tuulize hao wanaume wote wameenda wapi maana nchi inamegwa huko na kampuni ya ulinzi
Ww hujjui mambo yanavyokwenda,inapotokea vita,kila nchi hujitahidi kujaribisha ufanisi WA silaha zake,tuliona marekani kule Afghanistan,uturuki kule Syria NK,sasa drones za lran kutumika Ukraine ndo unaona ajabu?Ni kampuni ya Ulinzi kutoka nchi gani?! Na inapigana kwa niaba ya Nani?!
Hata Iran inanunua silaha toka Urusi lakini Urusi alikimbilia kuomba drone Kwa muajemi!!!!
"" sizitaki mbichi hizi"" hii ni Baada ya kushindwa kuteka Kiev ndani ya saa 72 kama alivyojitapa bwana yule[emoji23]Ardhi ya ukraine inaendelea kumegwa zaidi. kitu kinacho prove kuwa silaha za russia zinaleta matokeo bora na murua kabisa kwenye battlefield
Tatizo linakuja pale mnaposema huyo super pawer anatumia silaha zake mwenyewe Wala haombi au kununua kwa yeyote..,mkiwa waongo jitaihid kutunza kumbukumbu [emoji28]Ww hujjui mambo yanavyokwenda,inapotokea vita,kila nchi hujitahidi kujaribisha ufanisi WA silaha zake,tuliona marekani kule Afghanistan,uturuki kule Syria NK,sasa drones za lran kutumika Ukraine ndo unaona ajabu?
Akitaja naomba nitagi nipo naangali jumong hapaTaja izo artillery shells kutoka North korea.
Urusi ana viwanda vya silaha kila kona ya nchi.
Waafrika wote wanaopigana huko walitolewa magerezani kwa ulazima na kupelekwa battle front..,hii inafanywa kama sehemu ya adhabu ya kifo!!Kwa nini unasema kwa ulazima?
Sio kwamba watanzania wengi wanampenda Putin??Wako tayari kufa kwa ajili ya Putin?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kubakwa ni kubakwa tu hata iwe kwa sekunde 10,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe kweli ujielewi.kwani ni lazima kuchukua Dombass yote.nyie ndo mfanye mpango muwatoe Warusi kwenye majimbo ya Luhansk, Donesk, zaphorozia, Kherson na kharviv ili Ukraine iwe free.
Kubakwa ni kubakwa tu hata kama kwa sekunde 10.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yes kwan hujuiKwani walimvamia Assad ?
Acha uongoYes kwan hujui
There was one way to find out and usa didn't want to find out so they bailed outKwahiyo sio tena nyuklia ila ndege yenye uwezo wa kubeba nyuklia [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkiambiwa RT ni Wana propaganda mnawaka,haya hiyo Kura imepigwa saa ngapi?! [emoji23][emoji779]️The German Bundestag Blocks the Transfer of Leopard Tanks to Ukraine (Europa)
Subscribe to RTView attachment 2488030
Mbona Urusi alienda kuchomoa S-300 aliyompatia Syria,sasa hapo cha ajabu ni kipi Mzee?!