Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huu elimu mbona inatolewa kila mara kuhusu Air defence kupopoa vidrone lkn naona ndugu zetu kinachokaa kwenye utumbo mpana ndio kimehamia kichwani.
 
Huu elimu mbona inatolewa kila mara kuhusu Air defence kupopoa vidrone lkn naona ndugu zetu kinachokaa kwenye utumbo mpana ndio kimehamia kichwani.
 
Tuliwambia URUSI sio Zimbambwe ila hamkutaka kutusikia mbwa nyie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2489266
Ukimsikiliza vzr huyo askari wa America anachosema ni kinaeleweka sn Tena anaongea vitu va msingi sn. Na kipi Cha kufanya na mwisho utakuaje ktk hiyo vita.

Na Ukraine itawatoa Russia ktk ardhi yake hicho ndio anachoamini.

Na pia katumia Lugha ya kijeshi lkn ki uhalisia ni kwamba Kwa packages ambazo mataifa ya magharibi yanatoa Russia muda so mrefu anatolewa hapo
 
Mkuu hapo kwenye f35 umekumbusha space shuttle ya kwenda anga za mbali urusi alishatumia chombo kama hicho na kuachana nacho leo Marekani ndio anajisifu nacho.
 
Huu ni mtego aisee...Wanawaambie wasifanye offensive...wakati Warusi wanasogelea tu...watapaswa either wapigane au waachie maeneo wakajipange kwanza

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Offensive wafanya kwa silaha gani wakati warusi wamesha choma moto mavyuma yote ta himars na mazagazaga kibao ya nato
 
Bila kusahau Kuna vuguvuga la Texas kujichomoa USA tena kama nyakati zile.Na pia Kuna vuguvugu ya vita ya wenyewe kwa wenyewe marekani Kama ile revolutionary war. Hizi ni za chini chini.
Teh teh teh 😂😂 ndoto nyevu hii, amka umeshachafua shuka..
 
"Siraha," hili ni neno jipya la Kiswahili,lina maana gani mkuu,just for curiosity.
 
Magari ishirini yatatumika kupeleka maiti za askari Ukraine waliouawa kinyama na warusi.


PMC "Wagner" will send to Ukraine the bodies of the killed soldiers of the Armed Forces of Ukraine



« As one of the commanders of the “musicians” Lotos said, the shipment takes place in agreement with the Ukrainian side. In total, 4-5 batches of bodies are planned, which will be transported by 20 vehicles.

During the fierce battles for Soledar, the Armed Forces of Ukraine suffered heavy losses. However, the "musicians" show a human attitude even towards the dead opponents. Businessman Yevgeny Prigozhin noted the need for a decent sending of bodies to relatives. »
 
Nashukuru mdau.pamoja sana, tuendelee kuelimishana watu wengi hawakua wanaijua Urusi vizuri na wengine waliokua wanaijua walimezeshwa propaganda vibaya.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
The most basic armament of PMC Wagner seen in Bakhmut

The actions of assault groups are supported by mortars, rockets, cannon artillery, tanks, infantry fighting vehicles and even frontline aviation.

It seems they alone have more equipment than 60% of Western countries.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Mwanamgambo wa Ukraine akiwa chini ya Wagner Group

"I'm very glad that I got out of this meatgrinder alive" - AFU POW in captivity of PMC Wagner

AFU soldier A.Dyuzhikov, captured by Wagner forces, wrote an appeal to his relatives in Odessa, "They treat me normally. The guys are all normal. Everything is fine."

Source: RVvoenkor
 
Western media reported that Russian sailors in Norway were fined 5,000 kroner for wearing clothes with the Russian national flag on them. According to the local prosecutor, the tricolour might have frightened Norwegians and Ukrainian refugees. The enemies of Russia are really terrified of Russia's name, Russian symbols, and the sound of Russian footsteps.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…