Wasemavyo wataalamuHapana. Tofauti ni datalink za kuwasiliana baina ya ndege zao na mifumo yao ya anga. Na tofauti nyingine kidogo inaweza kuwa missiles ila mostly F-35 zinatumia missiles sawa kwa vile ni internal bay ambazo ni ngumu kutengeneza. Hadi sasa Su-57 haina missile yoyote ya internal weapons bay. Ukiweka missile nje una-compromise stealth.
Hiyo ndege is not for export. Ishakuwa JSF inatosha, gharama wamepunguza na wamelinda ushirikiano wao. Sio kila nchi ingeenda na hela pale ikakubaliwa kwenye programu
Kauli yetu ni moja tu ku shot down.Vita ya Ukraine yachukua sura mpya.
Ndege chapa F-16 kupelekwa Ukraine [emoji848]
....
Dutch Open To Transferring F-16 Jets To Ukraine (Updated)
Ukrainian pleas for modern Western fighter jets have so far come to nothing, but the Dutch now say they're open to giving them F-16s.www.thedrive.com
Kutompenda ndio kutasababisha nini?Huyo jamaa anayeitwa T Armata sio kabisa wa kumuamini na simpendi kabisa, nashangaa anatumia jina letu.ni muongo sana ukimsikiliza.
Anapenda kuongea kishabiki kwa sababu ya kutoipenda Urusi.anakwambia kuwa SU-57 mpaka sass aina missile za internsl bay wakati R-77 na R-73 zinakaa kwenye internal bay ya SU-57.
Ni mtu muongo na asiyejua chochote kile kwenye mambo ya kijeshi.we mchukulie kama vile kichaa.
View attachment 2490632
Kwani kumkot mtu bila ya kumtukana wakati hajakutukana kwenye kuleta hoja yako huwezi?Yani wewe ni mtu muongo sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].njia ya muongo ni fupi sana, leo umeumbuka.
Sizani kama una cha kijutetea kenge wewe.usituletee tena habari zako za uwongo.utakoga matusi siku nyingine..
Sijui Sukhoi 57 aina internal bay missile.izo hapo ni za baba yako.acha ujinga chunguza kitu kabla ya kuleta hapa.utakuja kubakwa mtoto wa kiume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2490876
Mimi ni pro-russia ila wenzangu vingine mnapost upumbavu. Sasa ni kitu gani kinaonesha hao wanajeshi wanaukimbia mji "massively"? Au ni kitu gani kinaonesha hao wana retreat?Waukrein waanza kuukimbia mji ha ha ha ....
[emoji1255] The Armed Forces of Ukraine continue to massively leave the center of Artyomovsk.
View attachment 2491176
Nato watayaita maji mmaTunaweza tukasema anataka kumchelewesha mrusi kumbe Urusi mwenyewe kapanga hiyo operation iishi baada ya 5 yrs
Mavifaru ya jangwani sio jungles[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]USA NI MAPUMBAVUU KWELI UNAPELEKA MKIFARU KAMA NYUMBA KWENYE VITA VYA HIGH TECH...Mrusi anavyo vifaru vipo kama ist vidogo tena avitumii binadamu bado ajavitumia
Vifaru tu mnavutana kuvipeleka leo mpeleke F-16!Vita ya Ukraine yachukua sura mpya.
Ndege chapa F-16 kupelekwa Ukraine 🤔
....
Dutch Open To Transferring F-16 Jets To Ukraine (Updated)
Ukrainian pleas for modern Western fighter jets have so far come to nothing, but the Dutch now say they're open to giving them F-16s.www.thedrive.com
Baada ya vita vikuu vya Pili vya Dunia, Ujerumani iliapa kuachana kabisa na vichapo na ndiyo maana inasita sita kutoa ruksa kwa Vifaru vyake (Leopard 2) kutumia Ukraine.Poland has offered 14 Leopard 2 tanks to Kiev and wants other Western nations to contribute, so Ukraine could get a batch of up to 100 tanks. At the same time, the Polish leader accused Germany of having been among the “least proactive” European nations in terms of arming Ukraine with tanks.
Ndio nasikia kakoswa koswa na bomu la macho anaugulia maumivu kwanzaHivi 'ki-rat' yupo?!?!
kwani wao urusi hawapungukiwi ? hiyo si hoja.Kwa sasa west wamekuwa reluctant sana kupeleka vifaa vita huko Ukraine.
Kwa kufanya hivyo kunaifanya Ukraine iwe vulnerable na kushindwa ku hold positions zao na ndio maana tunaona Russians wanasonga mbele kwa kasi sana kwa kipindi hiki cha karibuni.
Vilevile kupeleka hivyo vifaa vita kunawaweka west kwenye list ya wao kupungukiwa na vifaa kwenye maghara yao ya silaha.
Kila nchi ina optimal amount ya silaha ambayo at any time zinatakiwa ziwepo kwenye maghala ya silaha.
Hapo hapo bado kuna ishu ya Taiwan na yenyewe bado haijapoa.
Kwa hiyo, west wakiendeelea kusua sua kama wanavyofanya hivi sasa, basi Ukraine wataumia sana.
Kwani German hawakuwa wanapeleka military assistance to Ukraine? Why now they are refusing to supply hizo Leopards 2?Baada ya vita vikuu vya Pili vya Dunia, Ujerumani iliapa kuachana kabisa na vichapo na ndiyo maana inasita sita kutoa ruksa kwa Vifaru vyake (Leopard 2) kutumia Ukraine.
Tuwaelewe hawa jamaa, vita wanaijua madhara yake.
Urusi tumeliteka na hili jimbo kwa hapa Jf. Id zote za west zimeretreat kujipanga upyaKwa hiyo umu ndani nyie Ukraine ndo mmekufa wote au sioni apdate zozote kutoka huko hata za Magumashi. Ah mnatuaibisha bhana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu, inasadikiwa Leopard 2 ndiyo tanks yenye ufanisi mkubwa kabisa hapa Duniani kwa sasa, zikifuatia zile za Uingeleza Challenger 2 na za Marekani The M1 Abrams - kama ukiwa na Leopard 2 mia moja vita itakuwa nyepesi.Kwani German hawakuwa wanapeleka military assistance to Ukraine? Why now they are refusing to supply hizo Leopards 2?
Kwani mwanzoni walivyokuwa wanapeleka zana za vita huko Ukraine walikuwa wamesahau madhara ya vita lakini now wanapotakiwa kupeleka hizo Leopards 2 ndio wamekumbuka madhara ya vita?
Wameshaona maji ya shingo na vita haieleweki kwa upande waoKwa sasa west wamekuwa reluctant sana kupeleka vifaa vita huko Ukraine.
Kwa kufanya hivyo kunaifanya Ukraine iwe vulnerable na kushindwa ku hold positions zao na ndio maana tunaona Russians wanasonga mbele kwa kasi sana kwa kipindi hiki cha karibuni.
Vilevile kupeleka hivyo vifaa vita kunawaweka west kwenye list ya wao kupungukiwa na vifaa kwenye maghara yao ya silaha.
Kila nchi ina optimal amount ya silaha ambayo at any time zinatakiwa ziwepo kwenye maghala ya silaha.
Hapo hapo bado kuna ishu ya Taiwan na yenyewe bado haijapoa.
Kwa hiyo, west wakiendeelea kusua sua kama wanavyofanya hivi sasa, basi Ukraine wataumia sana.