Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawa Wagner Ni hatar na nusu[emoji38]
 
Dalili za kuchanganyikiwa Hizi[emoji1787]
 
Hawa Jamaawagner n chechen nataman waje bongo kuwatrain wanajeshi wetu
 
Western walikua wanapeleka siraha za kizamani kule Ukrain Sasa zimeshaisha option waliyonayo ni kumshawishi Zele akae meza moja na Putin au wamwache apotee kwasasa. Hakuna nchi ya Ulaya inayotaka kutoa vifaa Vita vya kisasa kwa Ukrain .
 
Dah! Tunakoelekea Ukraine itapotea mazima[emoji26]
 
Na USA wamesema hawatapeleka kabisa. Tena kabisa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ€πŸ€πŸ€
Jamani eeh naombeni tumpunguzie mashambulizi huyu mchambuzi jamani.
Naona anapigwa Kila Kona.
Mpeni nafasi awafurshishe wafuasi wake.
Mna chuki sana na jamaa, nadhani sababu anafahamu mengi kuwazidi na hayupo upande wenu.

Jifunze kuvumilia hoja pinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…