Ile special millitary operation ilikuwa ni kwa ajili ya kuchunguza ubora wa silaha za adui tu na kuzitafutia muarobaini wake kabla hatujaanza vita rasmi. Mzigo utakaoingizwa kwenye vita kamili utakuwa ni wa kuchinja kila aina ya chuma chuma toka NATO.Kumbe ni kweli kwa Russia hii sio vita ndio wanataka iingie ktk vita kamili.
On the Russian side, Chief of the General Staff Army General Valery Gerasimov on January 11 was appointed commander of the integrated group of forces of the special military operation in Ukraine.
Chinese military experts said this appointment means that Moscow wants to upgrade the "special military operation" to "a war" because it needs the top military commander of the country to coordinate the joint operation conducted by the Russian national armed forces, Chechnya's military forces and private military contractor the Wagner Group
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Daah![emoji23][emoji23][emoji23]Hii ndo Abram tank inayosubiriwa kwa hamu sana huko Ukraine.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2492215
Hahahah mzee baba hivyo vifaru ni muhimu sana kwa uchumi wa hayo mataifa. Vikienda kupigwa kama ngoma automatically vinakosa masoko. Hofu yao ndio iko hapo.Kwani German hawakuwa wanapeleka military assistance to Ukraine? Why now they are refusing to supply hizo Leopards 2?
Kwani mwanzoni walivyokuwa wanapeleka zana za vita huko Ukraine walikuwa wamesahau madhara ya vita lakini now wanapotakiwa kupeleka hizo Leopards 2 ndio wamekumbuka madhara ya vita?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kummmmk nimecheka sana hii
Guardian of kiev anashusha missile za mrussi kwa kutumia manati.🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kummmmk nimecheka sana hii
Nasikia Ni nyumba ya vumba vinne[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Hii ndo Abram tank inayosubiriwa kwa hamu sana huko Ukraine.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2492215
Mwalimu wa kuwafundisha watu wajibu kwa hoja badala ya matusi,hatimae nawe umeamua kutukana.Wewe pia mwehu tu ndio maana unamshangilia huyo mwehu mwenzako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wamarekani wanapenda sana raha.yani kwenye kifaru wametengeneza mpaka vyumba vya kulalaNasikia Ni nyumba ya vumba vinne[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Lakini ww umeniita Mimi mwehu na Mohamedidrisa mwehu.Huwezi kujibu bila kutukana ?
Huu ni muda sahihi kabisa wa Abram Tank na Leopard Tank kuja uwanja wa Vita ili tujue uwezo wake kwenye battle na Kornet [emoji23][emoji23][emoji23].Nasikia Ni nyumba ya vumba vinne[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Hili kundi lilianzishwa mwaka 1976 then mwaka 1979 wakafanya tukio lao la kwanza kubwa kwa kutuibia TV yetu ya kichogoNaomba kufahamoshwa kuhusu kundi la kigaidi la wagner? nani ni mfadhili wao
Tatizo la wamarekani wanadhan Russia Ni Japan, kwamba wakipiga nyuklia watanywea.Ile special millitary operation ilikuwa ni kwa ajili ya kuchunguza ubora wa silaha za adui tu na kuzitafutia muarobaini wake kabla hatujaanza vita rasmi. Mzigo utakaoingizwa kwenye vita kamili utakuwa ni wa kuchinja kila aina ya chuma chuma toka NATO.
Ukimobilize WAGNER NA CHENCHENS plus vifaa vya kisasa vya urusi. Lazma marekani akimbilie vitufe vya Nyuklia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Tunataka sasa walete hizo Leopards na Challenger ili zipelekwe maabarw tuje na muarobaini wake.
Urusi akishindwa huko atapiga nuclear (sidhani kama taifa is nuclear linaweza kushindwa vita)Wanasema West ikishindwa kwa maana ya Ukraine ikishindwa there is every possibility wataanzisha WWIII
Abram tank ya mchongo,Disgusting and shameful. Look at how the US$ 6.2 milion Abrams tank performs in snow. . . .!
JANUARY 2023
You want to see first hand how Americans have been getting bilked by the militar industrial complex? Their main battle tanks the Abrams tanks can't go up hills in the snow. They skid and slide backwards.
This is what US$ 6.2 buyst theAmericans?
This is the quality and engineering excellence of the American military industrial complex? Friggin pathetic.
Watch below[emoji116]
With weapons systems like this, will America be able to defend itself in winter????
Gee, please China, wait until Spring to invade America because their main tanks can't go up hill in snow.
Propaganda za kitoto sanaMkuu propaganda zilikuwa nyingi mwaka jana watu walifikili urusi itashidwa.
Marekan hawezi kuanzisha Vita kubwa maana anajua yeye ndo atakua main Target wakati lengo lake kuu la hii vita Ni kuimarisha maslahi yake ya kiuchumi na kiushawishi Sasa akianzisha Vita kuu hao wenzie wote watamwachia yeye apambane kama tunavyoona Sasa huko Ukrain yeye ndio mchanguaji mkubwa kuliko wenzie ,Urusi akishindwa huko atapiga nuclear (sidhani kama taifa is nuclear linaweza kushindwa vita)
So kwa maoni yangu kama kweli Ukraine akishindwa NATO wataanzisha WW3 sioni namna ambavyo tutaepuka hiyo WW3 labda USA akubari kuachia usupa pawa