kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Nimekwambia unitajie hivyo vyanzo vya kuaminika hambavyo unaweza kuviamini,acha blablaTupe hiyo link ya vyanzo vya kuaminika vilivyoreport!
Kwani ujui kinacho wapata nato hadi wameapa kuficha makabrasha ya siri kuhusu vipigo wanavyo pokea tayari Marekani kapoteza makomando 1,200 na NATO tayari imepoteza wanajeshi 13,300 mpaka sasaNyie watu mbona mnajikanyaga kila mara?? NATO wanaingiliaje Tena Ukraine wakat tulishawachimba mkwara mzito wakaufyata??[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Basi tukisema kwamba urusi ni super pawer wa kwenye makaratasi basi Wala hatukosei...,yule ni super pawer wa mikwara tu Wala Hana lolote maana watu wanaingilia kile alichokiita operation maalum huku akiendelea kuufyata mkia wakati alihaid kuwashughulikia wote[emoji28]Kwani ujui kinacho wapata nato hadi wameapa kuficha makabrasha ya siri kuhusu vipigo wanavyo pokea tayari Marekani kapoteza makomando 1,200 na NATO tayari imepoteza wanajeshi 13,300 mpaka sasa
Hizi takwimu unazoleta kila nani anazitengeneza??? wewe kuzileta hapa kila siku nao ni ule ule ushabiki usio na miguu wala kichwa tunaouona kila leo. Ni sehemu ya propaganda za western alliens.Usiwe mbishi kijana..,kila siku tunaleta takwimu hapa jinsi warusi wanavyochinjwa..,na idadi ya warusi wanaolambishwa mchanga mara nyingi Huwa haipungui 700 kwa siku .,Jana tu idadi hiyo ndio imeonekana kupungua kidogo maana wamechinjwa 700 kasoro 10 View attachment 2493942
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Super pawer kabanwa mbavu mpaka anafta huruma za waislam[emoji16]..,vita isikie kwa jirani tu, inakufanya uwe mpole hata kama hukuwahi kufikiria kuwa mpole [emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe umeamua kujitoa Akili kabisa.Basi tukisema kwamba urusi ni super pawer wa kwenye makaratasi basi Wala hatukosei...,yule ni super pawer wa mikwara tu Wala Hana lolote maana watu wanaingilia kile alichokiita operation maalum huku akiendelea kuufyata mkia wakati alihaid kuwashughulikia wote[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ila zikiletwa zile takwimu zinazofavor urusi ,hizo Wala hamna shida nazo na mnazipokea kwa mikono miwili bila hata kuhoji.., sio??[emoji16]Hizi takwimu unazoleta kila nani anazitengeneza??? wewe kuzileta hapa kila siku nao ni ule ule ushabiki usio na miguu wala kichwa tunaouona kila leo. Ni sehemu ya propaganda za western alliens.
Wewe ndiye unajitoa akili kama kweli huoni jinsi huyu mliyemuita super pawer anavyozidi kupuyanga.., kiukweli anatia aibu hata nyie warusi wa buza mnaliona hili sema tu mmeamua kukausha kiaina,
Ninachosema,chanzo chako cha habari kimeshaonesha kuwa ni Cha uongo!Nimekupa mifano ya waliyodanganya na kuumbuka wazi wazi!Sasa unaenda Kwa hao hao ambao wameshajitanabaisha kuwa ni waongo?Kwa hiyo Kwa maoni yako unataka hizo takwimu zitolewe na nani Ili uziamini..., hivyo vyanzo huru vya kutoa takwimu ni kama vipi..,hebu vitaje hapa[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unafananisha Urusi na Libya au Iraq?Kweli ndio maana akili zenu zinabaki kuwa mgando!Naona umesahau Putin aliposema yyte atakayemsaidia Ukraine atakiona Cha moto, sasa jiulize na nani anakiona Cha moto kama sio yy.
Hizo kauli ni za kawaida kwenye vita kumbuka Saadam Hussein na yule wazir wa mambo ya nje wa Libya kipindi kile NATO inawatembezea mgongoto
Sio kila chombo kinaweza report kila jambo Kwa kuaminika!Kwa mazingira ya Sasa,vyombo vya west huwezi kuviamini juu ya mgogoro huu na ndio vilivyotapakaa!Nimekwambia unitajie hivyo vyanzo vya kuaminika hambavyo unaweza kuviamini,acha blabla
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ha ha haaa....Mkuu acha kuwasimanga waYuukreyn wenzetu wa Urambo kina T14 Armata, Nyamizi, vunjo, Tsh na Yoda.Sikirimimimasikini
Ukraine wanakomboa maeneo huku kwa njia ya twitter
Know the feeling[emoji631][emoji635][emoji630][emoji1221]"US is concerned by South Africa's decision to take part in joint military exercises with Russia and China." - White House
They should make exercises close to New York just to know the feeling...
Nimekwambia ulete hivyo vyanzo vya habari vya kuaminika badala yake unazunguuka Ili mradi tu uonekane umetoa hoja,mahajabu haya[emoji848][emoji848]Ninachosema,chanzo chako cha habari kimeshaonesha kuwa ni Cha uongo!Nimekupa mifano ya waliyodanganya na kuumbuka wazi wazi!Sasa unaenda Kwa hao hao ambao wameshajitanabaisha kuwa ni waongo?
Labda kama malengo ni kuchukua habari hata kama ni za uongo Kwa ajili ya kujipa faraja!
Kuna habari hata kama zinatoka kwenye vyanzo usivyoviamini Kuna muda inaweza kuaminika maana huwezi kusema uongo wakati wote!Cha msingi ni wewe kuzifanyia tathimini hizo habari kabla hujaanza kuzisambaza!
NATO kuingia uwanjani kupambana na urusi ni sawa na kumuua nzi kwa lisasi.., urusi ni mwepesi mno na ndio maana imeonekana kwamba size yake ni ukraine tu ameweza kummudu vizuriUnafananisha Urusi na Libya au Iraq?Kweli ndio maana akili zenu zinabaki kuwa mgando!
Ndio maana hata west wanajua mipaka Yao ya kumpa silaha Ukraine!Unadhani kwanini?Kwanini wasimpe long range missiles zipige Moscow?Kwanini wasiingie direct na kutanganza kupeleka majeshi Ukraine kupambana na Urusi?
Nasikia kina mpaka casino ndani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]It will burn like the rest of western weapons na ngoja ikutane na kampuni ya ulinzi
Kuna gari 100 zinapeleka maiti KievKuna maeneo ambayo Russia hakupigana kabisa,ila aliretreat!Mpaka Ukraine wenyewe wakawa wanahofia mtego!Ila ukiona Ukraine ameachia mji basi jua amepigana mpaka mwisho!Rejea Mariupolbakhmut,Soledar na maeneo mengi ambayo Ukraine ameondolewa!
Lakini maeneo mengi ambayo Russia ameondoka,ameondoka bila fight yeyote!Na Huo ndio ukweli!
Lakini Kuna maeneo ambayo Russia ameondoka,mlipoingia mkakuta mnazikwa buku kwenye kaburi Moja!
Bado nawaza,hivi maeneo ambayo Russia anayakalia ambayo yalikuwa na bloodiest fights,mnajua mtakuwa mmefukiwa wangapi kila kaburi?
Kuna vitu ukitumia logic ya kawaida tu Unajua upande upi umepiteza zaidi!
Leo hii useme Russia amepoteza askari kuliko Ukraine,utaonekana mwehu!
Tukisema we don't have visionary leaders tunapingwa !!!![emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji848][emoji848][emoji848]WAZIRI wa Fedha @mofURT , Mheshimiwa Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), amesema kuwa Tanzania inaunga mkono mpango ulioanzishwa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) la kuingiza masuala ya kijinsia kwenye utekelezaji wa mipango yake ya maendeleo. https://t.co/5NnS5jrCBD
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yohana mbatizaji akiwa gerezani alimtuma mwanafunzi wake kumuliza Yesu "ni yeye tumtegemea au yupo mwingine aja".Game changer sio au tusubiri mwingine