Hivi unajua idadi ya askari 910 kweli inafananaje kweli??Askari 910 wa urusi wamechinjwa ndani ya saa 24 tu zilizopita.., warusi wa buza endeleeni kuimba ule wimbo wenu pendwa wa " propaganda"" [emoji28]View attachment 2494988
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sio UPOPOMA NYIE ndo upopoma , rudi nyuma mshirika wa USA Israel katoa data zake za vita vya Ukraine.ACHA UPOPOMA WEWE
Russia has massed up to 190,000 personnel in and near Ukraine, U.S. says
VIENNA, Feb 18 (Reuters) - Russia's build-up of military personnel threatening Ukraine probably totals up to 190,000, the U.S. ambassador to the Organization for Security and Cooperation in Europe said in a statement to an OSCE meeting on the Ukraine crisis on Friday.
"We assess that Russia probably has massed between 169,000-190,000 personnel in and near Ukraine as compared with about 100,000 on January 30," Michael Carpenter told the meeting, which Russia did not attend.
Russia has massed up to 190,000 personnel in and near Ukraine, U.S. says
Nipo Busy napitwa na mengi. Kumbe Ile System yetu Bora kabisa duniani imepelekwa kibra[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Russia imeshapoteza TEL ya S-400 mwaka jana hiyo. New evidenceView attachment 2490290View attachment 2490291View attachment 2490292
Mkuu HIZO ndo data za kp kipanya44Hivi unajua idadi ya askari 910 kweli inafananaje kweli??
Muhuni kaona ale glass na wigi 🤣🤣🤣 hawa ndio wakapambane na Wagner kweliHuko Odessa wanaume wameanza kujibadili muonekano wa kike ili waziweze kupelekwa kwa nguvu kwenye jeshi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2494176
Ni lini huyo islaer amekuwa mchambuzi wa vita ya urusi na Ukraine [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] data za wa Israel umeziona lakini
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hujamalizia na kile kibwagizo chetu pendwa Cha propaganda mkuu [emoji23]Hivi unajua idadi ya askari 910 kweli inafananaje kweli??
Leteni video ikionyesha Su-57 ikilaunch hizo R-77 missiles kutoka kwenye weapon bay,hivyo vipicha hata Tarimo na Adobe Photoshop yake anaweza tengeneza akapachika mtandaoni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Zele tu ndo anaweza kua mchambuzi wa vita yakeNi lini huyo islaer amekuwa mchambuzi wa vita ya urusi na Ukraine [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
N Korea na India ndani yakeHapa China,Iran, Russia [emoji635], Syria, Belarus, South Africa, Venezuela zitakuwa za Kwanza.
[emoji599][emoji635] Dmitry Medvedev: "If the conflict is prolonged, a new military coalition will emerge from the countries that are tired of the Americans." https://t.co/TpKHRHEURP
View attachment 2494996
Russia silaha ndio biashara yao kubwa kwahio Ukraine yeye ategemee mambo mazuri tu hadi pale atakapoomba poo🤣🤣🤣Russia anapigana katika vikundi vidogodogo sana ndio maana Himars hazina Kazi. Russia anapigana katika eneo pana yaani extended fronts hii inafanya Ukraine kushindwa kuchagua wapi wawekee mkazo unakuta eneo lote unahitaji watu na Russia kaweka reserve wengine Belarus na mpakani mwa Russia na Ukraine hapa napo Ukraine lazma.atenge ASKARI wa ku monitor
Ukraine ana ASKARI wengi field lakini Ukraine yupo KWAKE na alipaswa kuwa hata na mara kumi ya wote waliopo maana KWA UKRAINE KILA ASKARI yupo vitani front. Wingi wa silaha na uhakika wa kupata silaha vinambeba Russia Ukraine hata akipewa hana uhakika lini atapewa tena
SMO iendeleee EU na NATO kimoja ama vyote vitatuachaGerman Defense Minister Pistorius said today: “We are not afraid of Russia, but there is no decision on Leopard tanks for Ukraine yet”View attachment 2490095
Katika vitu Wamarekani wamejitahidi kuficha na wamefanikiwa Ni 1.anguko la advanced tank Abrams kutoka kwa silaha za adui Kama Kornet ama Metis ama Konkurs ATGM huko Iraq na kwingine duniani.
Wao hukipamba kifaru hiki kwa ubora kivita Kwamba hakijawahi ku be killed hata na ATGM. Na kwa hakika wamefanikiwa. Hata waliposhindwa kabisa vitani wanakwambia tumefanya shambulio la ndege kuharibu kifaru ili teknolojia isihame.
2. F 15 na f 16 air superiority fighter jet,
Kwa mujibu wa Marekani Hakuna hata ndege moja Kati ya hizo Ime be killed kwa air to air missile kutoka ndege hasimu. But taarifa za mahasimu kivita zimekuwa zikionesha anguko la ndege hizi kule Iraq na hata Bosnia.
Soma vizuri nilicho andika, nimesema waliweza kuharibu/lipua Ukrainian military critical assets including fighters and bomber na popular AN-225 transport plane - hangar yake ilichakazwa vibaya sana, vile vile na sehemu kubwa ya mbele ya AN-225 kulipuliwa, tuliona na SU-25/MiG-29 za Ukraine aiforce na choppers zimelipuliwa - cha ajabu hakuona miili ya wanajeshi hao wa miamvuli wa Urusi wametapakaa uwanja nzima wa ndege au mwavuli yao - swali ni je,walipotelea wapi - si jeshi la Ukraine lilisema lilikuwa linawatungua kwa machine gani wakati wanatua uwanjani kwa kutumia miamvuli baada ya kuruka kutoka kwenye Russian military transport planes AN-125s - hakuna hata AN-125 iliwahi kutunguliwa siku hiyo.
Huo msafara sijui wa 64Km wa magari ya kijeshi tuliona vizuri kilicho kuwa kinaendelea drones zilizo nunuliwa kutoka Uturuki zili husika kulipua gari moja au kifaru kimoja kimoja siyo msafara mzima, ambush za kutumia javelin nazo zilikuwa isolated sana after all kila javelin unapiga kifaru/gari moja siyo kwamba zina uwezo wa kuharibu zaidi ya kifaru/gari moja at a go - bottom line ni kwamba msafara karibu wote ulipitia Kiev na kuelekea Belarus basi, jeshi la Putin alikuwa na mpango wa kuitwa mji wa Kiev wala nini sijui? Kupeleka msafara mrefu Majenerali wa Putin walikuwa wanawazuga Majenerali wa Ukraine wafikirie kwamba Putin analeta majeshi yake kuuteka mji wa Ukraine, jeshi la la Zelensky akaigiwa na wasi wasi na kuhamuru idadi kubwa ya jeshi la Ukraine kuhamishwa kutoka kusini mashariki kuja Kiev kuongeza ulizi kumbe hizo zilikuwa ni mbinu za kupunguza nguvu za jeshi la Zelensky huko kusini mashariki kwenye majimbo ambayo yako karibu na Crimea - you ndio ulikuwa ni mpango mzima wa Zelensky na West kuvamia kusini mashariki kwa nguvu zote ili ikiwezekana kuikomoa Crimea lakiniPutin kawazidi kete kwa kuwavamia kwanza pre emptive strike.