Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Russia ndo alikua wa Kwanza kuficha silaha kwenye vinu vya nyuklia,hivyo hakupaswa kulalamika maana yeye ndo muasisi wa hilo. Tena Urusi hakua anaficha tu Bali alikua anarusha maroketi toka kwenye NPPHapa kuna mtego; BBC wameripoti Ukraine wanaficha siraha za thamani like HIMAS, nk kwenye vinu vyao vya Nyukria, je, Russia wanateguaje??
NATO is becoming brain dead"West wanasema kwamba, Russia kushinda hii vita kuna negative effects kubwa sana kwao. Na hii negative effects ndio ile President Trump aliyosemaga kwamba "NATO is becoming brain dead"
Kama Ukraine akikubali kuwa neutral na ikawa hivyo...je ni nchi gani ya ulaya itakubali tena kuleta chokochoko na Russia ili ije iharibiwe kama ilivyofanywa Ukraine? Jibu ni hakuna.
Kwa hiyo NATO inawezekana ikakosa kuwa na maana tena.
Tangu lini nchi iliyokua kwenye kundi la G8 ikaitwa third world country?!....Mkiwa mnaongopa bhas muwe na kumbukumbu acheni hizi propaganda uchwaraRussia Ni dume la mbegu wanangu. The most sanctioned country in the world lakini Bado wanakimbiza. Vikwazo vyote hivyo Bado Kuna nchi inapigika na inaporwa ardhi yake. Lakini pia wale walioidhalilisha Libya, Kosovo na Syria wapo wanatizama mshikaji wao anaumizwa! Je hawana huruma waingie na kutengeneza makambi wapigane na bear?
Nb
Data za kiuchumi za mataifa ya magharibi Ni uongo mkubwa. Iweje nchi waiitayo third world nation ihimili Vita kwa zaidi ya 10 month?
Mtoto wa Lavrov mwenyewe ambae kila siku anawasimanga west kasoma Marekani,hawa warusi weusi ni kuwasamehe tu Vodka imewaharibu ubongoKusoma US ni.kawaida akili unatumia au trako tafuta watu 5 waliosoma US na waliosoma Urusi compare hata salaries vitu viwili tofauti huko india watoto wa matajiri wanasoma US hata china hivyohivyo
[emoji23][emoji16][emoji23]Mkuu, inasadikiwa Leopard 2 ndiyo tanks yenye ufanisi mkubwa kabisa hapa Duniani kwa sasa, zikifuatia zile za Uingeleza Challenger 2 na za Marekani The M1 Abrams - kama ukiwa na Leopard 2 mia moja vita itakuwa nyepesi.
Mjerumani anaona kabisa anaweza kuingia mzozo mpya yeye na Mrusi wa moja kwa moja, nafikiri hapo ndipo shida ilipo.
Si tulikubaliana data za Magharibi ni propaganda,halafu Leo tena Mrusi wa Tandale kwa tumbo unaleta data hizohizo za Magharibi. Lakini magharibi wakitoa data kwamba Urusi imepoteza wanajeshi laki moja mnawaka kama Moto wa kifuu sasa kama sio UPOPOMA NI NINI?!Sio UPOPOMA NYIE ndo upopoma , rudi nyuma mshirika wa USA Israel katoa data zake za vita vya Ukraine.
Iyo juu ni USA say. Sasa si walewale.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]