Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Marekani kakimbia Vietnam dhidi ya ak47 tu
 
Sasa viende tu.mwamba kasema haviwezi kubadilisha kitu. Acha viende tuaubiri matokeo hizo nchi zinaropoka wanajua hawawezi kupeleka advanced weapons kwa sababu kila. mmoja anataka kulinda technology yake isiangukie mikononi mwa Russia hata Russia mwenyewe hapeleki su57 ndani ya anga la Ukraine anatungulia kwa mbali akiwa ndani ya ardhi yake.

Jambo jingine ukipelwka high tech weapons maana yake unatakiwa

1. Aidha ulifundishe jeshi la Ukraine kuvitumia kabla hujawapa.
2. Upeleke wanajeshi wako wakaviopareti
Kitu ambacho hadi sasa hakijafanyika.

US alipeleka HIMARS zikaishia kupasuliwa wala hazikuleta matokeo waliotarajia kama walivyopeleka thw called game changer πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… wakapeleka viDRONES vikapulizwa na laser beams.
 
Tusubiri matokeo siku vikifika na kusogeza mpaka niTAG, HIMARS, drones za US zimesaidia nini so far
 
Da ila USA anapenda sana kusakizia.
Hapa kasakizia Israel,nimesoma huko juu kasakizia Hadi kwa Colombia.
Na wote wamemchomolea.

Anaanza Sasa kumuombea misaada ya silaha bwana zelensky Hadi kwa nchi zisizo Wanachama wa NATO.
Urusi Sasa itaonja silaha za Dunia nzima pengine hata za china kupitia mataifa mengine yaliyonunua kwa china.
Tusubiri.
 
Huu ni ukweli ambao supa pawa wa mchongo na wafuasi wake wa buza kwa lulenge hawapendi kuusikia
 
Supa-pawa wa mchongo akae mkao wa kuliwa.... mvamizi atapata tabu Sana.
 
Supa-pawa wa mchongo akae mkao wa kuliwa.... mvamizi atapata tabu Sana.
Huyo suapapawa halisi hapo kwa gadafi kaenda na NATO nzima, Iraq alipigana miaka nenda rudi akisaidiwa na Fance na German na UK🀣🀣🀣 hapo Afghanistan Taliban wamemfurusha kakimbia kama mwizi au tukuwekee video
 
Una mtazamo Kama wangu ..me muislam .na cku zote hua nawaambia watu wa huku chuki za imani sio nzuri.unakuta mtu anatukana dini pinzani afu mtaani wanaishi vizur tuh .wote tunaishi kwa jamii moja pamoja bila kujali dini ila ukiwa humu kwenye mitandao unakuta mtu kila cku kuponda dini ya mwenzie
 
Tusubiri matokeo siku vikifika na kusogeza mpaka niTAG, HIMARS, drones za US zimesaidia nini so far
NAKUKUMBUSHA TU

1.Javerines na NLAW. Hizi Ni Ant-tank Missiles. Hizi zilisaidia kusambaratisha msafara wa 64km wa vifaru vya Urusi vilivyokuwa vinaelekea kuuteka mji mkuu wa Ukraine. Mpaka sasa mji mkuu wa Ukraine Hakuna hata mwanamgambo wa Urusi alisalia.

2.Stinger Missiles. Hizi Ni Ant-Aircraft Missiles. Hizi zilisambaratisha Helicopter zote za Urusi (Gunship) Kama Ka-52 na kusababisha mpaka hii leo Urusi hawezi Kupeleka Helikopta kwenye Anga la Ukraine.

3.NASAMS,IRIS-T. Hizi Ni Medium Range Ant-Aircraft Missiles ambazo mpaka leo zimeangusha zaidi ya Fighter Jets 300 za Urusi. Mpaka leo hi ndege za Urusi hazikanyagi Tena kwenye Anga la Ukraine badala yake zinarusha Makombora kutoka Black Sea.

4.HIMARS.Hii Ni Silaha ya Kwanza ya Mashambulizi aliyopewa Ukraine tangu uvamizi wa Urusi. Silaha hii iliingia Ukraine mwezi wa 7 Mwaka Jana. Tangu Mwezi huo Hakuna Tena mji ambao ulitekwa na Urusi zaidi ya SOLEDAR waliyoteka wiki iliyopita. Kabla ya HIMARS Urusi alikuwa anateka mji mmoja Kila mwezi kuanzia miji ya LYSCHANSK,SEVERODOTNESK.
Pia,HIMARS ilisambaratisha Madaraja,Maghara ya Silaha na Command Post za Urusi katika mji wa KHERSON na kusababisha Urusi kuukimbia mji huo.

NB. Mpaka Sasa,Ukiachilia mbali HIMARS,Hakuna Silaha nyingine ya Mashambulizi(OFFENSIVE WEAPONS) ambayo Ukraine ameshapewa na nchi za Magharibi.Kwa miezi 11 Ukraine imekuwa ikipewa Silaha za Kujilinda ili kuzuia Urusi kusonga mbele. Mpaka Sasa mji mkuu wa jimbo la DOTNESK wa KRAMATOSK umeshindwa kutekwa na Warusi licha ya kuwa na Usongo nao.

Silaha za Mashambulizi (OFFENSIVE WEAPONS) Ni Zifuatazo:

1.Figher Jets (Ndege za Kivita)
2.Tanks (Vifaru)
3.Long Range Missiles (Makombora ya Masafa marefu).

Silaha hizo 3 ndio Silaha za Mashambulizi ambazo zinaliwezesha jeshi kusonga mbele. Lakini mpaka Sasa,Ukiachilia Vifaru na ndege za Kirusi,Hakuna ndege Wala Vifaru vya nchi za Magharibi ambayo vilishatumwa nchini Ukraine. Tunaona nchi za Magharibi zimeanza kuanza kutuma Vifaru aina ya Leopards 2,Challenger na Abrams. Hii Ni Hatua ya Kwanza ya OFFENSIVE WEAPONS ambazo zinaweza kurudisha nyuma majeshi ya adui.

Natabiri kwamba
Vita hivi Ni vya mda mrefu na nchi za Magharibi zinaenda hatua kwa hatua kwenye Vita hii. Mwaka huu 2023 tutashuhudia Ukraine akipewa vifaru vingi kutoka nchi za Magharibi. Mwaka 2024 usishangae ukaona ndege za Magharibi kuanza kutumwa nchini Ukraine. Na mwa 2025 usishangae Ukraine ikaanza Kupewa Makombora ya Masafa Marefu.

TIME WILL TELL.
 
Kama Himars ziliwarudisha nyuma Russia vipi hivi vifaru [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Himars Toka ziende na mikoa minne imekwenda mikononi mwa Putin[emoji2960]

Hivyo vifaru ndo karata yenu ya mwisho ninavyohisi,haiwezekani mkavishangilia hivyo.

Nimeviona sehemu vinapiga jalamba vinakanyaga mabox,,,eti weka mbali na watoto[emoji1787]
 
Asante kwa Kumbukizi, saivi ziko wapi hizo ulizozitaja?
 
Tofauti ya vinu viwili vinavyoingia Ukraine.... Kimoja kinatwanga Dar - Bukoba , Kingine Dar - Singida..

Mkuu, picha yako kuhusu vifaru ina kosa. Hata Leopard inataka watu 4 ndani yake, si 2 jinsi inavyoonyesha.
 
Supa-pawa wa mchongo kalikoroga hivyo ajiandae kulinywa...

Mwanzo alitoa mkwara mzito kwa atakayeisaidia Ukraine, Cha ajabu misaada kila siku inaenda ila hakuna alichowafanya watoaji mpaka sasa.
 
Acha vichekesho, unaamini wanatoa silaha bila kuwafundisha? hakuna ujinga wa hivyo. Afu pia hivi vifaru siyo mwarobani, ila vinaenda kuongoza nguvu tu. Ujerumani wanatoa vifaru hata havifiki 20, ndio unataka vikaishinde Urusi? Hakuna vifaru ambayo haviwezi kuharibiwa, hivyo hata vikiharibika ni kama vifaru vya Urusi vinavyoharibika tu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 

πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ» angalia chanzo kabla hujaropoka
 

Attachments

  • Screenshot_20230125-213352_Chrome.jpg
    327 KB · Views: 26

Sema vita hizi zinavituko
Eti ukitaka kupigana unamjulisha adui kwanza hili ni panga limetengenezwa marekan halivunjiki hovyo [emoji23][emoji23]
Vitani nenda na silaha yako FUMUA MTU UBONGO [emoji3512]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…