mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Kwa ubora wa Kila USA is the Best. Tusikae apa kudanganyana mala sijui Russia, China na India
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] west inabidi wajipange miaka 30 ijayo kwa ajili ya Urusi.latvia wametoa msaada wa game changer kwa ukraine
Wamepelekewa bajaji na Toyo ....latvia wametoa msaada wa game changer kwa ukraine
Soma kuhusu Vita ya Kosovo 1999 wakosovo wanasemaje kuhusu f15, f16 na f 111.Mpaka sasa hakuna F-15 ambayo imetunguliwa na ndege nyingine kwenye shambulio la angani. Kama Una ushahidi ulete.
Mkuu.Tangu lini nchi iliyokua kwenye kundi la G8 ikaitwa third world country?!....Mkiwa mnaongopa bhas muwe na kumbukumbu acheni hizi propaganda uchwara
BrMtoto wa Lavrov mwenyewe ambae kila siku anawasimanga west kasoma Marekani,hawa warusi weusi ni kuwasamehe tu Vodka imewaharibu ubongo
CNN.Peskov nae alifanya kazi EU Kwa muda gani maana watoto wake walikulia Europe,Putin watoto wake walikua wanaishi Europe. Oligarchy wa Russia watoto wao hawasomi Russia wanasoma Europe na USA. Au nao wanafanya kazi UN[emoji23][emoji23][emoji23]
Embu tumsikilize Binti wa Peskov kidogo
Peskov's 24-year-old daughter from his second marriage, Elizaveta Peskova -- whose racy social media posts have often become the fodder of Russian and European tabloids -- hasn't shied away from limelight or controversy, like when she reportedly told a Russian TV outlet that she feels "better in the European environment" and called Russia's education system a "true hell."
Kremlin-connected children grew up in the very countries whose societies their parents claim to reject | CNN
Wakati vinakachomwa muwe mnaviwekea alama nyekundu!Ukraine yapokea vifaru vya kisasa toka nchi za magharibi🤔
......
With gratitude to all the allies💙💛
A visual of the modern Western tanks to be supplied to Ukraine. To be continued.
View attachment 2496444
SawaYaani alikimbia kherson mwenyewe Tena akakimbia mwenyewe bila kufukuzwa.
Nimeona uwezo wa hizi tanks kurusha makombora ni mkubwa sn.
Yaani Km 500 Kwa Leopard na Km 1000 Kwa Abrams.....
Russia kz wanayo. Naamini ATACMS sasa ziko njiani pia
Mkuu,hauna current news??Pentagon To Increase Artillery Ammunition Production By 500% For Ukraine
The Pentagon is planning to boost its production of artillery ammunition by 500% over the next two years as the US is depleting its military stockpiles by sending millions of shells to Ukraine, The New York Times reported Tuesday.
Since Russia launched its invasion of Ukraine, the US has pledged to send Ukraine over one million 155mm artillery shells. Before the US Army began efforts to increase production, it produced 14,400 155mm shells a month, but under the new plans, the number could reach over 90,000 each month.
According to the Times, an Army report said the plan will involve expanding factories and bringing in new producers in an effort described as “the most aggressive modernization effort in nearly 40 years” of the US military-industrial complex.
The unguided 155mm shells that are fired out of Howitzers include parts produced by several arms manufacturers, including steel bodies made by General Dynamics and explosives mixed by BAE Systems. American Ordnance pours the explosives into the bodies, and several other contractors produce the fuzes that are screwed into the shells.
The US plans to dramatically ramp up ammunition production over the next two years show that the US is expecting to support Ukraine against Russia for years to come, and there is no sign that the fighting will end anytime soon.
What’s not clear is if the policy is sustainable, as US military officials have warned it may be hard to continue arming both the US and Ukraine as the war drags on. Ukrainian forces are estimated to be using about 90,000 rounds of artillery each month, which is more than double what the US and Europe can currently produce.
The US has had to dip into a little-known stockpile of weapons that it keeps in Israel to keep up with Ukraine’s artillery demand. The Pentagon also requested that US forces stationed in South Korea send equipment to Ukraine.
Mtanena kwa lugha zote kuhusu hivyo vifaru [emoji16]vifaru vimeshaingia uwanjani?
Wewe unayeshinda hapa ukijichekesha kama Malaya ndio unajiona unajua eeh? [emoji16]Ndo maana nasema shida hakuna unachokijua alafu unakuwa mbishi.wenzako wanatafuta data kabla ya kwenda kubishana.
Endeleeni kunena kwa lugha tu wakuu..ni bahati mbaya sijasikia lugha ya kabila langu,Wakati vinakachomwa muwe mnaviwekea alama nyekundu!