Huyu jamaa nime m'block ana ujinga mwingi sanaSidhani kama kuna watu humu wanachukulia serious comments zako...I can assure you a number of people in JF na hasa kwenye thread hii wanakuona kama 'msanii' or 'comedian' tu....Ila kwangu mimi nimekuweka kwenye group fulani la watu which i can't reveal here.
Sawa,basi vumilieni uwepo wangu..,Wala msipanick ,au sio?Kuna mtu ametushauri tukuchukulie wewe kama comedian!
Mimi naona ni kukomaa tu kwa Ukraine na inabidi wakomae maana kitu pekee kinachowafanya waendelee kwenda wakipigana kwa juhudi ni morali inayochagizwa na propaganda sometimes.Mkuu kwa hapa nawatetea Ukrain, hawana Aerial satellites za intelligence, na walizokuwa wanategemea kutoka USA na Britain ambazo zinakuwa Jammed pale Urusi anapokaribia eneo uhusika, hvyo urusi anasoma movements zote kutokea kwenye real time images na kufanya mawasiliano na wanajeshi wa Ardhini kuwa ni points zipi za kuwazunguka na barabara zipi za kufunga na vitu vingine kukamilisha encirclement kutokea. So ili lipo kiteknolojia zaidi.
Tutayafukua sana tu mkuu..,bado tunayo mengi.., lakini mpaka Sasa kwa mchezo unavyoendelea Putin ameshapigwa knock out[emoji16]Mnasonga mbele kuelekea nyuma[emoji2][emoji2][emoji2]!Endeleeni kufukua makaburi,sisi tunatengeneza makaburi mapya!
Hushangai kuna wengine walikuja na habari za Bomber ya kimarekani F-16sMungu wangu kifaru kinarusha makombora umbali mrefu kuliko Iskander missiles?
Kwa akili finyu kama Vifaru 1400 vya Ukraine vimelipuliwa unategemea Vifaru 100 vitaweza kudumu hata miezi miwili front acha ushabiki maandazi let factMtanena kwa lugha zote kuhusu hivyo vifaru [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
miji ninayo penda kusikia imesagwa LIVIV na KIEV yaani ikigongwa hii naburdika haswaaaMiji iliyopigwa siku ya leo kwa makombola ya Cruiser
* Kiev(mji mkuu)
*odessa
*Lyiv
* Dnipro
*Kharkiv
* Myklovain
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Jamaa kabeba CHUMVI sasa anaupitia na huu wa MAKAA YA MAWEHali ilivyo kwenye mji wa machimbo ya makaa ya mawe(Ugledar city)View attachment 2496324
Naunga Mkono hojaZikiletwa hizo tanks za CHUI kutoka Ujerumani mnistue wanangu wa Uraaaa🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
Sema mwanangu we akili mgando sanaPole sana mkuu, kumbe ndo umejua Leo?[emoji12]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Asikubali atakubalishwa nisuala la muda tuuuKwa iyo unataka Ukraine akubali kutawaliwa na dikteta Putin?
Inaonesha una kaushamba flani either mtoto kiumri au mkubwa afu hujui vituTutayafukua sana tu mkuu..,bado tunayo mengi.., lakini mpaka Sasa kwa mchezo unavyoendelea Putin ameshapigwa knock out[emoji16]View attachment 2496611
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tunangoja haswaaaaTujuane tunaosubiria kununa kwa dubu
View attachment 2496669
nimecheka sana, kwa nini unafurahi sana ikikandwamiji ninayo penda kusikia imesagwa LIVIV na KIEV yaani ikigongwa hii naburdika haswaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Natunza huu ujumbe wako.
Ukraine anapewa silaha pekee hakuna watu wanaingia toka nje kumsaidia kupigana, ila russia anapewa wanajeshi wa kukodi toka korea kaskazini, iran, afghanistan na n. K mbona hili husemi?
Bila kusahau russia anakamata hadi wanafunzi wa nchi za kigeni hasa wa kiafrika na kuwapeleka vitani kwa nguvu.