Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Jambo la kusikitisha ni kwamba hata Urusi wenyewe hawajui kama Wanapigana au Wanapiga.Hii vita ni ya Russia na Ukraine au ni Russia dhidi ya Ukraine na washirika wake? Maana kwa kweli Ukraine hayupo peke yake.
Jana Ujerumani imeidhinisha kutoa vifaru vyake aina ya Leopard kwenda Ukraine. Marekani wanafadhili mifumo ya ulinzi wa anga na silaha zingine.
Australia nao wapo upande wa Ukraine. Majuzi Putin akasema kupitia msemaji wake kwamba kama mataifa mengine yataendelea kuipa Ukraine silaha hili vita inaweza kugeuka kuwa vita ya tatu ya dunia. Where are we heading to?
Putin needs to withdraw from Ukraine.US maji yako shingoni anatafuta kila sababu ya kujitoa.
"US is ready to ease sanctions against Russia for the sake of "serious negotiations on Ukraine and the withdrawal of troops from there."- Victoria Nuland
Hahaaa warusi wanawahi kushikilia sea ili jamaa wakose pa kupitishia tanks zaoMsikilizeni mzee baba
“Soon the Kiev regime will have no sea at all"-Dmitry Medvedev
Putin needs to withdraw from Ukraine.
That is the meaning of serious negotiations
LIVIV sababu habari zinafika mpaka huko POLAND na KIEV sababu tumejua hakuna lamaana linalofanywa na NASMAS na mifumo mingine ya ulinzinimecheka sana, kwa nini unafurahi sana ikikandwa
Ngoja awachape kwanza ujue putin mpole sana vile anawabembeleza wakajua ni muoga walishindwa kutofautisha kati ya upole na uogaKabla ya Putin kutangaza SMO si alikua anawalazimisha wakae mezani wakamwona fala au umesahau?? Sahivi maji yako shingoni ndo wanataka negotiations??
Alokwambia mwaka mmoja nani!!?Natunza huu ujumbe wako.
Baada ya mwaka mmoja tuje tuongee tena.Tuone kama kweli Putin atatoboa kuitawala Ukraine
Hizi Boda boda watatumia wadau 🤣🤣🤣 hii vita imefika pabaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] west inabidi wajipange miaka 30 ijayo kwa ajili ya Urusi.
Wangeua mamia pia mngelalama 😂😂😂Mvua ya makombora na kuua 11? [emoji848]
Mtoe Eistein muweke Osama au PutinWangeua mamia pia mngelalama [emoji23][emoji23][emoji23]
Baby walkerlatvia wametoa msaada wa game changer kwa ukraine
Russia na Ukraine. But on my opinion hii si kweli!KWANI WANAPORIPOTI VITA HUWA UNASIKIA WANASEMA KATI YA NANI NA NANI?
Kwani urusi anavifaru vifikavyo idadi hiyo?Yani vifaru 150 vikapambane na vifaru zaidi ya elfu 20, 000. Hata kama ni bahati iyo itakuwa imezidi
Data zako ulizozipata nikuwa urusi anã vifaru zaidi ya 20,000?Ndo maana nasema shida hakuna unachokijua alafu unakuwa mbishi.wenzako wanatafuta data kabla ya kwenda kubishana.
Na hasa USA .Nchi za Magharibi wanafiki sana
🤣🤣🤣🤣😂😂US maji yako shingoni anatafuta kila sababu ya kujitoa.
"US is ready to ease sanctions against Russia for the sake of "serious negotiations on Ukraine and the withdrawal of troops from there."- Victoria Nuland