Sorry chief mimi ni mgeni kabisa kwenye field ya silaha naomba kufahamu artillery ni nini?Kwa sasa nchi nyingi zenye uwezekano wa kuvamiwa zinafatilia sana kitokeacho Ukraine ili wasije fanya kosa ie, South Korea, Japan, Taiwan hizi ndio nchi ambazo siku yoyote vita kubwa inatokea.
Hii vita imeonesha umuhimu wa artillery na artillery systems
Nia ya Putin ni nini? Ni kurejesha ule umoja wa Kisovieti (USSR)??? Kuua maelfu ya watu for what purpose?Bado sijaona mafanikìo wanayopata ukrein pamoja na kupewa vifaa vingi vya kivita.urusi imeshasema hio misaada haitabadilisha chochote vitani .maana yake kipondo kiko palepale na maeneo xaidi yanachukuliwa
Mkuu naomba tu nikujibu kistraabu. Sishabikii vita. Maoni yangu hii vita si vita kati ya ya Urusi na Ukraine. Kama mataifa menngine yanatuma silaha Ukraine au Urusi basi wao pia wako vitani japo hawapeleki askari binadamu.Ukijua itakusaidia nini, issue Ukraine amevamiwa nchini mwake kila mtu anaona hao uliowataja wanamsaidia we umeona shida wapi. Mbona mmechanganyikiwa kiasi mnahamisha ushabiki kwenye vita? Mnaumwa akili kiasi hiki? Nini kinakuzuia kwenda hospitali kutibiwa. Wenzako wanauawa ndani ya nchi yao we unahoji wanaowasaidia, km siyo uchawi ni nini.
Supa-pawa wa mchongo kageukia mbinu ya kufanya ugaidi na uhalifu wa kivita dhidi ya raia wema wa Ukraine baada ya kushindwa kuuangusha utawala wa Rais Zelensky..Russia launched a barrage of missiles and drones on the Ukrainian capital of Kyiv killing at least 11 people, according to Ukrainian authorities.
The attack took place one day after Kyiv secured Western pledges of dozens of fighting tanks to try to repel Russia's advance, Reuters reports.
Ukraine said they eliminated all 24 Russian drones sent overnight, including 15 around the capital, and 47 out of 55 Russian missiles, some of which were launched from Tu-95 strategic bombers in the Russian Arctic.
The spokesperson for Ukraine’s State Emergency Service, Oleksandr Khorunzhyi, said that in addition to the casualties there are at least 11 people who were wounded.
Russia has denied it is targeting civilians.
View attachment 2496707View attachment 2496708
"Tumesema mara kwa mara kwamba vifaa kama hivyo havitabadilisha chochote, lakini vitaongeza matatizo kwa Ukraine na kwa watu wa Ukraine"Supa-pawa wa mchongo kageukia mbinu ya kufanya ugaidi na uhalifu wa kivita dhidi ya raia wema wa Ukraine baada ya kushindwa kuuangusha utawala wa Rais Zelensky..
Hicho kibango Cha Abrams na leopard kuwa na max range ya 500-1000 km nimekiona Aljazeera na Kuna mtu kakichukua Kama kilivyo.Hushangai kuna wengine walikuja na habari za Bomber ya kimarekani F-16s
Leo tena ni ngonjera za kifaru kurusha kombora linalokwenda km 1000. Utajadiliana na mtu wa namna hiyo nini kwenye swala linalohusu Russo ukraine war!?
Kamba sana hao jamaa
Warusi so watu lvov iko mpakani na Poland mbali Sana na nyumbani lakini hats hivyo hupokea dozi ya kutisha Kama vile Donetsk tumiji ninayo penda kusikia imesagwa LIVIV na KIEV yaani ikigongwa hii naburdika haswaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wanapingana
Hao ndio wazungu hao wengine Ni vichwa vya kambare tu.Warusi so watu lvov iko mpakani na Poland mbali Sana na nyumbani lakini hats hivyo hupokea dozi ya kutisha Kama vile Donetsk tu
Pro lgbtq huwa hawareason kabisa ni empty set kichwaniHicho kibango Cha Abrams na leopard kuwa na max range ya 500-1000 km nimekiona Aljazeera na Kuna mtu kakichukua Kama kilivyo.
Tank Haina uwezo wa kurusha makombora hata kwa km 20 kuelekea adui alipo!
Hivyo vifaru kama havina impact yoyote mbona mnang'aka Sasa, mpaka mnanena kwa lugha zote kama mmeshukiwa roho mtakatifu [emoji16]Kwa akili finyu kama Vifaru 1400 vya Ukraine vimelipuliwa unategemea Vifaru 100 vitaweza kudumu hata miezi miwili front acha ushabiki maandazi let fact
Nadhani itakuwa imekuingia sawasawa hiyo[emoji16]Sema mwanangu we akili mgando sana
Mkuu unarudia habari Urusi inapigana na nchi 50. Ila mbali ya jeshi la Uktaine hakuna nchi nyingine inayopigana na Urusi. Nchi nyingine zinasaidia Ukraine (sawa na kanuni za Umoja wa Mataifa kuhusu msaada kwa nchi iliyoshambuliwa) lakini hazipigani na Urusi.Pia tukumbuke kwamba Russia sasa hivi apigana na nchi zipatazo 50 na hii imethibitishwa leo na raisi Biden.
........ Plan B ni kuhakikisha miji ya Bakhmut na Solidar ipo chini ya Russia na kisha eneo lote la Kherson lawa chiniya Russia kikamilifu.
Hawezi kufanya hivyo..,wanaomtetea Putin wanajua wazi kwamba jamaa ni muuaji mpaka wanagwaya kuweka jina lake kwenye avatar zao[emoji848]Mtoe Eistein muweke Osama au Putin