Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Waukize wenzako kuwa ivyo vifaru Urusi anavyo au hata[emoji23][emoji23][emoji23].

Urusi ndo nchi inaongoza kwa vifaa vingi vya ardhini kuliko nchi au muungabo wowote ule wa kijeshi hapa duniani
Lakini ndugu yangu unanijibu kwa mihemko uwezayoiyepuka Sasa kujichekesha huko ndio ni nini??

Mimi nimekuuliza kupitia maelezo yako.

Sasa ukisema vifaa vya ardhini ni vipi na vipi?

Jee nilikuuliza vifaa vya ardhini idadi anavyomiliki urusi?

Swali Jee urusi inavifaru zaidi ya 20000 kama unavyosema??
 
US will not have time to send Abrams tanks to Ukraine by spring" - Victoria Nuland

Nuland wants first the German tanks to go..."F the EU"
Wakuu,

Naomba kueleweshwa.

Ni kwa sababu gani US na German wanaviziana kupeleka hizo Battle Tanks Ukraine?

Yaani wanakuwa kama wanasakiziana.. anza wewe... peleka zaka kwanza na mimi ndio nipeleka. Au mimi nikipeleka na wewe lazima upeleke zako.

Hivi sababu hasa ya huku kuviziana ni nini..?
 
Yah inafika iyo idadi na ukichukua na vile ambayo sisi huku tunatumia ila kwao awatumii, inaweza fika hata vifaru 50, 000
 
Sababu kubwa Ni kwamba wamesha vipamba Ni Bora na wanapata soko kupitia propaganda.

Sasa wanaona wakipeleka Ukraine vitabutuliwa vibaya na kukosa Tena soko na kuhamia kununua vifaa hivyo Russia pia hivyo vifaru Ni vikubwa vina changamoto ya uzito kwenye tope na barabara vitashindwa kuhimili pia gharama ya matengenezo na namna ya kuviendesha Ni tatizo pia kwa wa Ukraine ndio maana hii ahadi Wenda ikatimizwa mwezi March Kama unavyoona Hapo chini
 
T-72 pekee vipo 10, 000
 
Sababu kubwa Ni kwamba wamesha vipamba Ni Bora na wanapata soko kupitia propaganda Sasa wanaona wakipeleka Ukraine vitabutuliwa vibaya na kukosa Tena soko na kuhamia kununua vifaa hivyo Russia pia hivyo vifaru Ni vikubwa vina changamoto ya uzito kwenye tope na barabara vitashindwa kuhimili pia gharama ya matengenezo na namna ya kuviendesha Ni tatizo pia kwa wa Ukraine ndio maana hii ahadi Wenda ikatimizwa mwezi March labda kwa swali jingine.
 
Mitano tena kwa dikteta PUTIN 😀
 
850 wamechinjwa ndani ya saa 24 tu zilizopita...,tukaze sauti ndugu zangu tuimbe wimbo wetu pendwa wa propaganda Ili tuweze kupambana na takwimu hizi [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 

US has the ‘key’ to ending the war: Kremlin​

US President Joe Biden has the key to ending the conflict in Ukraine by directing Kyiv, but Washington does not want to use it, says the Kremlin.


Superpower ni USA tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…