Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Ninaweka bookmark hiiWaelewa tunajua bado muda mchache ARTEMOVSK(BAKHMUT) kua sehemu salama ya RUSSIA
Mpaka kufikia april DON BASS itakua free kutoka kwa manazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba utaanguka lini π π π hadithi hii watoto hawaijuifisi na mkono
MOAB ipo standby.
Wacha weee..... Kwamba haujui kuwa walizirudisha Urusi au umejizima data!??Ukraine inazo silaha za nuclear. Ilikuwa nazo tangu enzi za Soviet Union, na Soviet Union iliposambaratika ilibaki nazo. Check your facts.
Hayo ndio mliobakiza kufanya kutukana watuStupid
Ni 2000 na point inafika ila makadirio ya kuua ni 1500Labda katukati. AK 47 si km 2 wala mita 2 bali inasemakana mita 300-250
Bora wewe... Muelimishe huyo jamaa...kabishi mnooo.....1991 moja la sharti la Uhuru wa Ukraine ni kumpa Urusi silaha zite za nuke
You are stupid because your arguments lead to that conclusion: That you are stupid. Ungekuwa ni mjinga (idiot) tungeweza kukuelimisha.Hayo ndio mliobakiza kufanya kutukana watu
Pumbafu kabisa
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Analenna Haerbock ameisha weka wazi,hii ni Russia vs EU war,we unaleta uongo humuNi vita kati ya Urusi na Ukraine
Wanatafutiza vya kushangiliaToa taarifa vizuri. Kama kuzuia basi wamezuia hizo tovuti zisipatikane nchini mwao Urusi. Na sote tunajua uzuiaji wa aina hiyo ni wa kujifurahisha tu kutokana na jinsi mtandao wa internet unavyofanya kazi.
Ni kama hapa Tanzania ambapo serikali imezuia upatikanaji wa mitandao ya pilau, lakini sote pia tunajua kuwa ukitaka mitandao ya pilau inapatikana tu bila ugumu wowote licha ya serikali kuizuia mitandao hiyo.
Source?Miscalculation akiamini Ukraine ni dhaifu na raia wake wengi wangetaka kuwa upande Russia hivyo wanajeshi wa Russia wangepokelewa kama kwenye Harusi.
Hii ilikuwa iwe operation ya siku kadhaa kuondoa serikali ya Zelenskyy na kuweka kibaraka haikupangwa kuwa vita ya miezi na sasa mwaka.
Liliposhindikana hilo lengo ndipo Putin akageukia uporaji wa maeneo huko Mashariki ili kupunguza aibu ya kushindwa lengo lake kuu.
Ak ni hadi mita 2100 ila effective range ni mita 300-400Labda katukati. AK 47 si km 2 wala mita 2 bali inasemakana mita 300-250
We jamaa kweli huna ulijualo na taarifa zako za google yaani mchina acopy silaha kwa mmarekani? π€£ π€£.Kumfananisha Iskander na HIMARS Ni Kama kumfananisha mbingu na ardhi . Kuanzia accuracy ya silaha hii pamoja na Range yake ya umbali.
Iskander missile moja Ina uharibifu wa kutisha Sana. Fuatilia kuhusu accuracy ya uharibifu mjini Kiev hasa mwanzoni mean mgogoro huu.
Nb.
Mchina kwa Marekani Bado Sana. Mchina hucopy TU silaha za kirusi na Kimarekani na kuzalisha kwa maelfu. Eg J 16 Ni export version ya su 27
F6 ni mig 21
Na pia Wana version ya S 400 ya jina lao
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
The Ukrainian military reported more fighting and Russian missile strikes along the eastern front of the conflict this week.
Moscow's forces pounded the town of Vuhledar, located in the Donetsk region, with nearly 300 rockets and artillery shells in one day, according to a Ukrainian military spokesperson.
Ukraine also said its troops were engaged in "fierce fighting" around the eastern city of Bakhmut this week, and that its military has withdrawn from the nearby town of Soledar.
This map shows the latest:
Halafu kuna jitu MK254 litabisha π π π hii vita itaishia Kyiv
Tulia upauliwe kama paaHehehe mnachekesha....yaani huyu ndiye supapawa?
Kwenye vita utategemea effective range kuliko hizo bahati nasibu za 2100m ambazo probability ya kutokea ni very minimal. Effective range ya AK-47 at around 300m or even 350m ndio utaamini ifanye kazi kwa kikosi, military planners sio wapumbavu kuwa na machine gunner kwenye platoon na kuwepo kwa sniper kwenye squadAk ni hadi mita 2100 ila effective range ni mita 300-400
Machine Gun inaanzia kwenye section mkuu sio platoon.Kwenye vita utategemea effective range kuliko hizo bahati nasibu za 2100m ambazo probability ya kutokea ni very minimal. Effective range ya AK-47 at around 300m or even 350m ndio utaamini ifanye kazi kwa kikosi, military planners sio wapumbavu kuwa na machine gunner kwenye platoon na kuwepo kwa sniper kwenye squad
Ni kweli mkuu inafika 2160 na makadirio ya madhara ni 1500 unakufa vizuri tu na upigaji wa 1500 huwa bunduki inafungwa kiona mbali hasa kwa sniper na umbali huu wa mita 300/400 ni makadirio mazuri ya kupiga kwa macho ya kawaida kwa matoleo ya bunduki jamii ya automatic kwa Wakati huo Ujerumani alitoa G3 na Marekani M4 kama sikosei na mfaransa FN wao makadirio ya wameyaweka mita 400 ila risasi inaweza kusafiri zaidi ya hapo.Ak ni hadi mita 2100 ila effective range ni mita 300-400