Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Lete picha ya bendera hizo!! Umeonyesha kifaru tu kilichopo njiani. Wapi benderea? Picha za rangi tafadhali!White House Confronted Over Tanks For Ukraine
Several Republican lawmakers have raised red flags about the decision by the administration of US President Joe Biden to send M1 Abrams tanks to Ukraine. The move comes when the US struggles with domestic problems, while the delivery is bound to face numerous challenges, they claim.
Kwa iyo tumekubaliana kuwa asilimia 80 ya jeshi la Ujerumani lilimalizwa na WarusiHongera, sasa umefanya utafiti!
Kwa hiyo: Je tujo pamoja kwamba si robo ya jeshi la Ujerumani ilipotea Stalingrad? Ila asilimia 3-4?
Na je tuko pamoja kwamba baada ya kuviringishwa, sehemu ndogo ya wanajeshi Wajerumani waliweza kuondoka kwa njia ya ndge?
(ila namba niliyokuta ni wajeruhiwa 25,00 tu walioweza kuondoka kwa njia ya ndege, lakini tusivutane elfu 25 au 35...)
Kuna ukweli ndani yake"In wars the Russians are traditionally weaker in the beginning, but later they cannot be stopped.”
Hatari sana aisee!.
Anaye ogopwa na NATO yenye mataifa zaidi ya 30.Hehehe mnachekesha....yaani huyu ndiye supapawa?
Tuwekee na ya USA vs VietnamJameni mpate aibu...
Mkuu, hisabati tena??? Jeshi la Ujerumani lilikuwa na akari zaidi ya milioni 9 kwenye mwaka 1943. Takriban lakhi 4 walikufa Stalingrad.Kwa iyo tumekubaliana kuwa asilimia 80 ya jeshi la Ujerumani lilimalizwa na Warusi
IThe Ukrainian military reported more fighting and Russian missile strikes along the eastern front of the conflict this week.
Moscow's forces pounded the town of Vuhledar, located in the Donetsk region, with nearly 300 rockets and artillery shells in one day, according to a Ukrainian military spokesperson.
Ukraine also said its troops were engaged in "fierce fighting" around the eastern city of Bakhmut this week, and that its military has withdrawn from the nearby town of Soledar.
This map shows the latest:
Halafu kuna jitu MK254 litabisha 😅😅😅 hii vita itaishia Kyiv
Mkuu kumbuka vita kuu ya kwanza (Warusi walianza kwa nguvu, walipigwa vibaya baadaye), vita ya Urusi-Japani 1905 (Warusi walishindwa), Vita ya Krimea . . . . Mifano iko mingi ya kinyume. Kuna pia mifano ya uhindi wa Kirusi. Kwa jumla: hakuna namna moja jinsi Warusi walivyoshinda au kushindwa . . .Kuna ukweli ndani yake
Ile "cabal" ni nani?? Tangu karne gani? Lete majina, mahali, tarehe!NATO, EU, UK, USA, Canada, Australia, all puppets of the globalist, fascist, cabal, which has profited from human suffering, including war, famine, and disease, for centuries!
Vyigrat Russia![emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Kiongozi mbona unakuwa mbishi sana!Mkuu sijui changamoto yako ni utafiti au zaidi hisabati. Robo ya jeshi la Hitler-Ujerumani si kweli hata kidogo. Stalingrad ilikuwa vibaya sana kwao, lakini si vibaya vile.
Kuhusu vifo vya Stalingrad Unaleta makala ya wikipedia (ambayo ni sawa) inayotaja wanajeshi lakhi 2-4 Wajerumani halafu lakhi 1 hadi 1 na nusu upande wa kila momoja wa wenzao Waitalia, Waromania na Wahungaria, pamoja na Warusi waliowasadia Wajerumani, jumla mnamo lakhi 7 na nusu hadi 8 na nusu; Upande wa Wasovyeti (Warusi) nusu milioni hadi milioni (takwimu hii haionyeshi wangapi wa majeruhi waliishi).
kama ungeangalia pia ukubwa wa jeshi Ujerumani ungeweza kusema kitu lakini hujafanya. Mwaka 1943 jeshi la Ujerumani ilikuwa na askari 9,480,000; hii ni bila vikosi vya SS.
SASA HII INAHUSIANAJE NA VITABVYA UKRAINE??? zamafakinWhy Kenya Police Prefer Using the G3 Rifle
It has been decades since the Kenya Police service adopted the use of the famous heckler and Koch G3 rifle which was first made in 1957 and has been in service globally since 1959. The security organ has also not shown any signs of using a different weapon.
Most police forces around the world Kenya included have a number of key reasons for the use of the 7.62 by 51 mm NATO rifle.
One of the reasons why it it is preferred is because of its light weight which makes the gun easily portable as compared to other models. It weighs between 4.1 kg and 4.7 kg with a length of 102.5 cm.
It is also a very effective weapon during times of assault in war environment since it has a remarkable firing range of 500 m. With sight adjustments, its range can vary between 100 and 500 m.
In terms of firing rate, the G3 gun is just amazing as it can fire between 500 and 600 rounds per minute which is quite impressive although it is dependent on the accuracy of the user.
The rifle also has a unique trigger mechanism with a 3-position fire selector switch which also serves as the manual safety toggle that secures the weapon from accidentally discharging.
The gun has its origin in Germany (formerly West Germany) where it was developed in the 1950s by a German domiciled armament manufacturer named heckler and Koch in collaboration with a Spanish state-owned design and development