Niliwaambia kuwa urussi baada ya kila miezi miwili anafanya mapinduzi ya kuzalisha silaha kwa kasi tena za kisasa ..sasa hivi viwanda vya kuzalisha silaha za kuuza kibiashara za viwango vya chini ..vyote vimegeuzwa viwanda vya kuzalisha silaha za viwango vya juu kabisa .... sasa hivi mrusi anazalisha silaha za daraja la kwanza grade AMarekani yaripoti kuwa NATO kwa ujumla wao (nchi takriban 30) wameshindwa kuendana na kasi ya uzalishaji wa silaha ya Urusi...
View attachment 2499807
Wali maandazi[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Tuache ujinga jamani hivyo vifaru 40 hata somalia wanavimudu hata jwtz ni ujinga tu ili kumshinda mrusi tena ndani ya ukrain tu unatakiwa kuwa na vifaru 10000 hivi vilivyo active
Msemo wangu Ni ule mwanaume anajikaza kisabuni[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Naona Zelensk dawa imeanza kumuingia.kaamua aseme ukweli hali ilivyo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anasema Warusi wanashambulia bila kujali watu[emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Nenda kakili makosa yako moscow ili vijana wako waishi kwa amaniView attachment 2499712
Watu wengi walikuwa awaelewi kuwa ule muungano wa soviety ulikuwa ukiugeuza upande wa pili unaona picha ya Urusi.Niliwaambia kuwa urussi baada ya kila miezi miwili anafanya mapinduzi ya kuzalisha silaha kwa kasi tena za kisasa ..sasa hivi viwanda vya kuzalisha silaha za kuuza kibiashara za viwango vya chini ..vyote vimegeuzwa viwanda vya kuzalisha silaha za viwango vya juu kabisa .... sasa hivi mrusi anazalisha silaha za daraja la kwanza grade A
Wanasubiri leopard.Lasmi kwa sasa vikosi vya Ukraine kwenye jimbo la Luhansk awamiliki hata kijiji kimoja.Luhansk imerudi kuwa free.
Wale jamaa zangu kina Kipanya44 walikuwa na operation yao ya kufika Kremina, sijui wamekwama wapi maana siwapati ewani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2499697
Sasa kama haogopwi tena kwanini NATO inaendelea kuwepo? Na kwann biden mwenyewe alisema anaogopa kuingia vitani na mrusi?
Tunaangalia ukubwa sio ujirani.
himars zimeishia wapi?Hii Russia hakuna vita wanayoweza kushinda mwaka mzima hakuna kitu ni kuua raia tu hadi wamepeleka wafungwa vitani, ngoja vifaru vije viwakute hapo wakiwa bado wanalewa Vodka. Bure kabisa.
Mnona Ukraine alisema urusi karusha kombora kwenda Poland na likaua watu? Au poland sio NATO?
upeo wako wa kufikiri ni mdogo sana, unadharau nchi iliyokupiga na kuteka zaidi ya 18% ya nchi yako pamoja na kusaidiwa na mataifa makubwa?Aliogopwa enzi zile, ila kwa ambavyo ameaibishwa na kataifa kadogo, hana lolote tena.
Kwa hiyo umemuona tu huyo anayeandika mambo ya first and second world war, sio??Mkuu anzisha uzi mwingine wa hz mambo za WW1 and WW2...uzi huu ni special kwa ajili ya SMO inayoendelea hapo Ukrein...unatuchanganya aisee!!!...wengi tunaufuatilia huu uzi kwa jili ya kujifunza tusioyajua...
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Na ndo hapo Friedrich Paulus, Field Marshal kwa kwanza na wa pekee duniani ali surrender kwa majeshi ya Soviet.Asilimia 80 la jeshi la Hitler lilimezwa na Warusi.kukosa Urusi sasa ivi tungekuwa tunasoma kijerumani.
Kuna sehemu kule Urusi kulikuwa kunaitwa Staligrad.hapo kuna robo la jeshi la Hitler lilipotelea hapo.
Battle ya Staligrad ndo iliondoka na maisha ya watu wengi kuliko battle yoyote ile dunian
Ilikuwa kati Germany, itary, hungary, romania vs Soviety.
Yani mwanaume mmoja alichangiwa na mataifa 4 na bado mwisho akaondoka na ushindi.alafu utasikia paka mmoja hakiwa huku anamtukana mrusi.View attachment 2499449View attachment 2499450
Hivi T14 Armata armored division moja inatakiwa iwe na vifaru na wanajeshi (Infantry Men) wangapi, au kunatakiwa kuwe na silaha za aina gani ???Russia produces more tanks than the rest of the world (including China) combined
View attachment 2499629
Hivi kweli vifaru 40 vya 🐆 vikamuondoe Russia 🇷🇺 ndani ya ukraine
Naiona Russia ikienda kumegwamegwa.., masikini Putin [emoji848]Ww3 is loading,NATO wameanza kupanick
[emoji298]️[emoji298]️World War III would start the moment Russian tanks arrived in Kyiv and on the borders of Europe. Making sure they do not arrive is the only way to stop World War III" — Italy's defence minister says https://t.co/bMU3FsSKFwView attachment 2499889