Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna warusi wameshakua mafalah Kama mashabiki wa LGBTQ wa kwny Uzi huu na ndio maana wanaendelea kubishana nao ujinga ujinga.
 
Upo sahii kaka yawezekana KGB na serikali ya afrika kusini walihusika kwa manufaa yao binafsi ya kiuchumi na kisiasa!!!
 
umshana ulinikimbia hapa!
 
Icho kitufe cha ignore kikowapi?
 
Nasikia putin amebanwa na ngiri!!!Za ndani ndani nimepenyezewa!!!Hawezi kwenda frontline ndio kisingizio wakati daily kujisifia yeye ni kamanda kama Fidel casto
Alifikiri Ukraine ni nchi ya mchezomchezo.., akapeleka msafara mrefu akifikiri atapokewa kama bibi harusi.., lazima apate stress kwa Hali hii [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Duuh umenikumbusha mbali sana!!!Ule msafara ulikaribia Kiev ila kilichowakuta warusi hawatakaa wasahau🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hiyo soledar si tuliambiwa imeshanyakuliwa zamani,kwani bado Kuna mapigano huko [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…