Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Mbona yule mwingine aliyemuanza huyu HAMUMKANYI!!?? ACHENI hizo mambo kama mnakemea hizo maudini kemeeni wote.We jamaa unaonekana mkubwa ila akili huna, ukimtukana mtume muhammad (s.a.w) unapata nini, unatuumiza wengne, hili jukwaa sio la kidini ila wewe unalazimisha udini kwa nini, unapata nini unavyoonesha chuki zako kwa uislamu,
Ukishajadiliana humu wote inatuhusu...vinginevyo nenda "inbox" ujadiliane na huyo Ndugu yako..Acha utoto wewe mimi najadiliana na professional driver wewe inakuhusu nn??????
Si mumwambie na professional Driver aache ...mbona wooote mnamtaka huyu tu ndio aache !!?? Au amegusa Imani yenu ndio maana wooote mnamfuata yeye!!?? Nimeuliza Au... Ila kama mnakemea kama kukemea wakemeeni wote.Ukishajadiliana humu wote inatuhusu...vinginevyo nenda "inbox" ujadiliane na huyo Ndugu yako..
Mkuu ninamjibu kama anavyotaka sikua na nia mbaya nae lakini naona kadhamiria kuchafua huu uzi mimi naamini hakuna mtu humu alie ingilia Dini ya mtu ila naona anachofanya yeye analazimisha tuziingize Dini. Hivi umefuatilia comment zake tangu mwanzo jaribu kufuatilia alaf ujue nani aliye anzaSi mumwambie na professional Driver aache ...mbona wooote mnamtaka huyu tu ndio aache !!?? Au amegusa Imani yenu ndio maana wooote mnamfuata yeye!!?? Nimeuliza Au... Ila kama mnakemea kama kukemea wakemeeni wote.
Ona unavyo hangaika rudi kwenye agenda ya uzi tafadhaliAcha utoto wewe mimi najadiliana na professional driver wewe inakuhusu nn??????
Sasa huyo papa katukanwa wapi humu onyesha basi hiyo coment,, we jamaa una matatizo sio bure,, kumbuka hii thread imefunguliwa ili watu wajadili vita vya Ukraine/urusi,,, sasa wewe na chuki zako za kidini nenda jukwaa la dini lipo humu!!!Endeleeni kumtukana papa
Mnapenda kashifa kumbe hata hizo dini za kigeni hamzijui!!!Ukiishi nyumba ya vioo usitupie jirani zako mawe!!!!
Vikombora vichahe wamevificha kwenye "nuclear plants"Hivi si tuliambiwa humu kwamba HIMARS zimeshaangamizwa na makombora ya Urusi? Uongo utaendelea kujulikana.
Usitishe watu. Hiyo package Ina hizo silaha za masafa marefu na pamoja na mifumo ya ulinzi wa anga Patriots na ile zana kiboko ya vifaru vya Russia......Mnataka Ikulu ya Kiev isambae au sio?? Kuna vitu Ukraine hawawezi jaribu ndo maana hata Western wanakuwa makini na silaha wanazotoa.Kuna vitu Ukraine akisaidiwa kufanya matokeo yake itakua vilio na kusaga meno au kusababisha nchi nyingine zikaguswa pia.....
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hakuna kitu ambacho hakiendi Tena zinatangazwa zikiwa zimeshafikaHizi package zinatangazwa kwa mbwembwe sana, kuna hii ilitangazwa mapema January hivi ilishaenda?
Nilikua nasubiri nione Bradley fighting vehicles kwenye battlefield ambamo ilikuwepo kwenye package hii ila sijasikia taarifa zakeView attachment 2502127
Kutoka Dar mpaka Bukoga ni km 1300.kwa malori ni safari ya siku 2.Leo ni siku ya 10 mzigo bado haujafika Ukraine.
*Kutoka Polanda mpaka Ukraine ni km 1200
* Kutoka Germany mpaka Ukraine ni km 1700.
*Kutoka Dar mpaka Bukoga ni km 1300.kwa malori ni safari ya siku 2.
NATO mnakwama wapi jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Silaha mpya zinahitaji mafunzo na utaalam ambao Waukraine hawana,Leo ni siku ya 10 mzigo bado haujafika Ukraine.
*Kutoka Polanda mpaka Ukraine ni km 1200
* Kutoka Germany mpaka Ukraine ni km 1700.
*Kutoka Dar mpaka Bukoga ni km 1300.kwa malori ni safari ya siku 2.
NATO mnakwama wapi jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acheni uzwazwa PAPA ni aina ya samaki anayepatikana BAHARINI.....Sasa huyo papa katukanwa wapi humu onyesha basi hiyo coment,, we jamaa una matatizo sio bure,, kumbuka hii thread imefunguliwa ili watu wajadili vita vya Ukraine/urusi,,, sasa wewe na chuki zako za kidini nenda jukwaa la dini lipo humu
Mafunzo waliyokuwa wanapewa tangu 2014 yalikuwa ni mafunzo ya silaha zipi!?Silaha mpya zinahitaji mafunzo na utaalam ambao Waukraine hawana,
Kwa sasa baadhi ya Askari wa Ukraine wako kwenye mafunzo
Naona mjeshi wa Ukraine akiwa anafuka moshi mamΓ¦ π π πHELICOPTER ya Ukraine Mi-8 ikiwa imekutana na air defence ya Warusi.
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
View attachment 2501848
Mi na we tumeandika content moja maneno tofautiHata kama zimefanyiwa modification zinaitwaje.si bado ni ndege kutoka lockheed martin[emoji23][emoji23][emoji23].View attachment 2502134