Tafadhali fanya utafiti zaidi. Utaona Space-X wameacha mipango hii. Hivyo ukoaji wa booster ilikuwa hali ya majaribio tu.Mimi sijasema zilichukuliwa Toka baharini!Nimekwambia plan ni kuja kuweza kuzitumia hizo boosters Kwa safari nyingine maana ni massive na expensive!Ndio Wakaja na plan ya kuzifunga parachute,Ili wakati wa separation zikiwa zinarudi Kwa ardhini (free fall),parachute ifunguke na baada ya hapo helcopter iweze kuidaka kabla haijatua kwenye maji na kuipeleka nchi kavu tayari Kwa kurudishwq lab for maintenance!
Hilo ndio jambo ambalo linafanyiwa kazi Ili kufanya usafiri wa space kuwa nafuu zaidi!
Hiyo ndiyo project ambayo nimekwambia space x wanaifanyia kazi!
Kabla ya hapo,hizo boosters zilikuwa waste tu kama vyuma chakavu!
Usipoelewa hapa,basi!!!
Endeleeni kupika data, cha muhimu tunakamata maeneoChanzo kingine hiki hapa mkuu.., warusi 920 wamechinjwa ndani ya saa 24 tu..,huo ndio uhalisia japo najua unawaumiza wengi 🥱🥱View attachment 2502559
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tena Wakinituma Ukraine kulinda amani watanikoma wanawake wao.Hao mbwa walizoea kuja kulinda Aman afrika ili wabake dada zetu tunaenda kulinda kwao Sasa tunaenda kula Bata kuku hao[emoji12]
Tatizo mnajifanya vichwa maji kama kwamba hamuoni kinachoendelea.., unafikiri .., endeleeni tu kuamini kwamba urusi hajapeleka jeshi lake kamili huko Ukraine.., wakati karibia majenelali wote wazoefu wameshachinjwaHahahahhah wanajeshi 900 wafe halafu still Ukraine wawe wanajinyea huko Frontline. Acheni ku Recycle taarifa zenu za kamba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maeneo gani mnakamata mkuu,au unaongea kinyume chake.., maana tangu askari wa urusi walipofurushwa kama mbwa mwizi huko Kyiv, hakuna hatua yoyote ya maana ya kijeshi hambayo amepiga super pawer mpaka Sasa [emoji848]Endeleeni kupika data, cha muhimu tunakamata maeneo
Huko kwenye ngumi za juu, mrusi ndiko anakotisha zaidi. Hii vita NATO hawawezi kushindaHivi sasa tayari kuna askari wapatao 30 wa Ukraine wako mafunzoni nchini Marekani kuja kutumia ndege za F-16 C, sasa nyie wa mnadani Kibaigwa kaeni hapo na hizo habari za mchongo.
zinatumika kufugia kuku ktk kipindi hichi cha baridi kaliHivi JAVELIN ziliishiaga wapi?? Silaha za mchongo
Tuambie malengo ya mobilisation.aisee...kuna watu humu ndani ni either mnajitoa ufahamu au uwezo wenu wa kuchambua mambo ni wa kawaida sana..!!!...kwa hiyo mkuu wewe unadhani...mobilisition alioifaanya Rusia ni kwa sababu askari wake walikuwa wamekwisha...kwa kuuliwa na Ukraine..???
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Haya sio mawazo Yako TU,Bali ni uhalisia.Tuliwatahadharisha sana hapa ya kwamba RUSSIA sio ZIMBABWE
kuna watu wasichokijua nikwamba kuna haya mataifa hasa hasa US na RUSSIA
Hawa mabwana ukiona wanapigana ujue waliangalia mambo makubwa mawili USALAMA na UCHUMI wao na sana sana UCHUMI
Hao jamaa ukiona sehem wanaenda kuua watu ujue hawakukurupuka walikaa chini watu wakila sekta wakapiga hesabu wakatoa na na kujumlisha watakachopoteza na kuingiza
Jamaa wakiona watapoteza sana kuliko kuingiza hapo hawatapigana abadan watatafta sababu yakuepuka hilo jambo hata kwanjia za uongo
RUSSIA lakwanza anaipigania RUSSIA IMARA pale UKRAINE anajua UKRAINE ilikua karata yamwisho kuiangamiza RUSSIA jamaa ililua wanafika point wanaingia RUSSIA kuijaribu CRIMEA iko wazi wangepigwa ila RUSSIA asingesahau maana sidhanii kama ingekua tena kama ilivyokua baada ya USSR
RUSSIA anapigana vita ila UCHUMI unaimarika kwasasa viwanda vingi vya RUSSIA nazaidi vya silaha wanasema vinapiga kazi mpaka mara tatu zaidi yaani SMO imekua fursa kubwa sana kwa RUSSIA na anajua kama sio suala la mwaka mmoja tukifanya maskhara SMO itachukua miaka kadhaa hata PUT IN aliishasema SMO is a long time process hapa kuna maana mbili kwaupande wangu eidha ilipangwa muda sana kabla ya kuja kuamuliwa kufanywa ama itachukua muda mwingi kwenye ufanywaji na mpaka ukamilifu wake
Sidhanii kama RUSSIA alikurupuka kiasi kwamba SMO ya mwaka mmoja eti jamaa wawe hoi bin taaban
Kwa vikwazo zaidi ya 16k ambavyo anakabiliwa navyo RUSSIA nampaka sasa alipo ukiambiwa utoe maneno kadhaa unaweza tu ukasema kwamba kwampaka sasa tokea kuanza kwa SMO nikwamba kwenye nyanja ya KIUCHUMI jamaa kawavua nguo western maana mambo yamekua tooofauti nawalivyodhania kwasasa tunangojea uwanja wa mapambano utaishaje ingawaje napo RUSSIA hajashinda ila anamiliki mchezo
Mwisho :- kama RUSSIA ataishinda hii SMO kwawestern kukubali kwamba iwe rasmi abebe maeneo ya UKRAINE aloyakwapua basi niwazi western wanakua rasmi wametangaza kuipigia magoti RUSSIA hadharani tutakua tumetangaza rasmi MULTIPOLAR system sio kwamba western hawajui kama UKRAINE inaangamia ila kukaa chinu na RUSSIA wanajua nikwafaida ya RUSSIA na hasara kwao
Mawazo yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ki rat mshamba tu. Siku nyingine wawe wanatoa sifuri waweke namba nyingine.Hahahahhah wanajeshi 900 wafe halafu still Ukraine wawe wanajinyea huko Frontline. Acheni ku Recycle taarifa zenu za kamba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni boya huyoKi rat mshamba tu. Siku nyingine wawe wanatoa sifuri waweke namba nyingine.
Eti 900 mara 840 mara 560.
Waweke angalao 1221 au 873
Itapendeza
Vipi ile kauli bado ipo au itabidi mtafute kauli nyingineMaeneo gani mnakamata mkuu,au unaongea kinyume chake.., maana tangu askari wa urusi walipofurushwa kama mbwa mwizi huko Kyiv, hakuna hatua yoyote ya maana ya kijeshi hambayo amepiga super pawer mpaka Sasa [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu unapendwa kubebwa sana[emoji1255][emoji91][emoji91][emoji91] Benjamin's netanyau anaangalia uwezekano wa kutuma msaada wa kijeshi Ukraine.[emoji123][emoji1255]
Huyu jamaa hajawahi kuniangusha
Source; BBC Swahili
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hizi mashine zilimtoa kenge putin damu za masikio pale Kyiv ilikuwa balaa sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vita bado ni mbichi... US kumwaga tena Tshs Trillion 4.6 kwa Ukraine.
The United States is readying more than $2bn worth of military aid for Ukraine that is expected to include longer-range rockets for the first time as well as other munitions and weapons, according to the Reuters news agency, citing two US officials briefed on the plan.
Putin anazijua hizi na ndiyo maana kaaza kuhimiza mtu / watu ama makampuni yatakayojitolea kuharibu vifaa hivi vya kivita kabla ama baada ya kufika Ukraine atawazawadia.Hizi mashine zilimtoa kenge putin damu za masikio pale Kyiv ilikuwa balaa sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu keshajaa kwenye mfumo, sio?Encirclement tayari imeshakubali...
Na hii inaonyesha wazi jinsi jamaa alivyojawa hofu.., Putin ni mwepesi mno,sema tu anategemea sana kuchimba mikwara Ili kutimiza matakwa yake,Putin anazijua hizi na ndiyo maana kaaza kuhimiza mtu / watu ama makampuni yatakayojitolea kuharibu vifaa hivi vya kivita kabla ama baada ya kufika Ukraine atawazawadia.
Naona mnajitekenya na kucheka mwenyewe.., hiyo incirclement tulianza kuambiwa tangu wiki iliyopita [emoji16][emoji1787]