professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,511
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haujafikia level ya kuelewa maana matakbir wote mumeshikiliwa akili...
Hivi kweli urusi ni super power au story zenu za vijiweni?????Mbona mnaongea sana bila vitendo?????Pongezi kwako wewe unaye mpenda inaelekea kwa njinsi anavyo kuvutia lazima umesha dindisha na kumpigia punyeto unawaza namna anavyo kukatikia huku kavaa shanga
Picha inajieleza.WAGNER Group wanawapelekea moto sio wa kitoto.
Kichapo walichopewa USA pale Alleppo Syria naona kinajirudia Ukraine.
Congo iwatumie WAGNER Group kumfurusha kagame arudi kigali
Urusi toka waliposhindwa kumuokoa lumumba pale kinshasa!!!Nikaamini sio super power bali wazugajiPro Western hamjachelewa kuungana na mkombozi PUT IN anapambana na MAGAIDI na MASHOGA kwawakati
[emoji636] [emoji2380] [emoji1255] Great Britain will allocate 21 million rubles (for each project) for LGBT development in Ukraine
On January 6, applications began to be accepted for the grant program "Program Fund for Recovery and Reconstruction" in Ukraine. This alleged "reconstruction" also includes creating new institutions, opening new youth centers, supporting democratic processes, and promoting LGBT values.
[emoji1751] Against the backdrop of the real problems in Ukraine, Britain's infusion of money to promote pro-Western and anti-Russian "values" looks like subtle mockery.
Source: Ostashko!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnalishana tu story za matangopori vijiweni.
Marekani haijawahi kuwa na mpango wa kumtoa Dikteta Bashar Al-Assad Syria, waliotoka kumtoa madarakani ni wananchi wake kama ilivyokuwa Misri, Libya, Yemen na Tunisia katika Arab Spring.
Gusa unaseHivi kweli urusi ni super power au story zenu za vijiweni?????Mbona mnaongea sana bila vitendo?????
Maana mimi naona wapambe wake mna mbwembwe sana kuliko uhalisia!!!!!Toka alipowauzia uganda mig za mchongo sina imani kabisa na urusiGusa unase
,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakati unataja na kusema urusi anamaliza wanaume kuwapeleka uwanja wa vita
Mara wa Ukrein wao wako kwao ata wakifa atazikwa sasa akizikwa ndio wanaume wanaongezeka
Acha uchizi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
- twende kwenye value ya miradi, na wellbeing ya miradi hapa Tanzania, kuanzia US AID,UK AID,MCC,JICA,KOICA,SIDA,DANIDA,EU, hiyo miradi yote ni ya US na Washirika wake, hebu tutajie Mashirika ya Russia and it's allies yalioyopo hapa Tanzania yanayotoa misaada hapa Tanzania kwenye aspects tofauti, health nkWewe unadhani mradi wa gesi Tanzania anashughulikia nyanya ako, we unadhani Tanzania na Russia hakuna biashara yoyote haha wake the f
- kwani Mimi ndiye nimetoa allegations? Mbona una shift burden of proof?Wewe ukiambia uelezee kwanini urusi anayachukua hayo maeneo utasemaje?
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
I'm a Certified Public Accountant I know how to read and interpret financial statements bro
But hapa si mahali pa kushow off, we are here to enjoy, talk to each other and share experiences regardless of our educational levels
Showing off is the fool's idea of glory
I've been buying them (harlots) since I was 16 until today
Nmepata uchungu sana kwenye nafsi kubaini upofu wa waziwazi sana uliopo kwenye fikra zako Muafrika mwenzangu.
Jaribu kufatilia kwa umakini na kuwaza vizuri bila chuki zozote.
Na ili ufunguke vzr akili/upeo basi jaribu kusimama kama mwanaume mwenye msimamo imara(Alone) na kujiamini.
Nmekushauri hivyo kwasababu Mataifa ya Western wana kawaida ya kupumbaza watu(Wanaume) kifikra kwa kuwaza kama wanawake.
Ni ngum kuona mabaya yao ya waziwazi kabisa kama utakua umeshaingia kwny mtego wao wa Kupumbazwa na kuwaza kama Mwanamke.
Sifa kubwa ya mwanamke ni udhaifu na kutojiamini (Kutoweza kuishi kwa kujitegemea), na hili sio tusi kwao wakike ila tu ndiyo asili yao na ndivyo wanapaswa kuwa.
Naamini ukiweza kusimama na ku-act kama mwanaume anavyopaswa kuwa, basi upofu ulio nao utakuondoka kwa wepesi mno (Bila hata kushawishiwa).
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Daaaah kaka umeongea pointi kisomi sio kishabiki- twende kwenye value ya miradi, na wellbeing ya miradi hapa Tanzania, kuanzia US AID,UK AID,MCC,JICA,KOICA,SIDA,DANIDA,EU, hiyo miradi yote ni ya US na Washirika wake, hebu tutajie Mashirika ya Russia and it's allies yalioyopo hapa Tanzania yanayotoa misaada hapa Tanzania kwenye aspects tofauti, health nk
Hana msaada wowote ule.- twende kwenye value ya miradi, na wellbeing ya miradi hapa Tanzania, kuanzia US AID,UK AID,MCC,JICA,KOICA,SIDA,DANIDA,EU, hiyo miradi yote ni ya US na Washirika wake, hebu tutajie Mashirika ya Russia and it's allies yalioyopo hapa Tanzania yanayotoa misaada hapa Tanzania kwenye aspects tofauti, health nk
Wewe unaona Miji inavyobakizwa magofu unaletq habari za vichochoro?Urusi wanakufa wengi maana wako ugenini, hawajui vichochoro vya nchi ya watu...jiongeze
Ndicho kilimtesa Mmarekani pale Vietnam.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani kwenye vita anaongelea habari ya vichochoro.Wewe unaona Miji inavyobakizwa magofu unaletq habari za vichochoro?
Likipigwa bomu Moja,kichochoro kinageuka kuwa tambarare!
Mpaka Sasa hesabu ya waliouwawa Ukraine inakaribia kugonga au imeshafika laki 2!
Hao kwq akili Yako ni wachache!!!!
Sisi hatushabikii Urusi, Urusi ana haki ya Kujilinda dhidi ya maadui zake..wewe unaweza kuhamia mtaa anaoishi Ex wa Mkeo?? wakiamua kukumbushia utafanyaje?? Urusi inatusaidia sote kukomesha uonevu mkubwa unaofanywa na hilo kundi la mashoga...Kwa hiyo mnashabikia Uvamizi wa Urusi huko Ukraine ili kuikomoa Marekani ?......kwamba Ukraine ikiharibiwa nyie ndio mnalipiziwa kisasi na Urusi ?
Wewe unaona Miji inavyobakizwa magofu unaletq habari za vichochoro?
Likipigwa bomu Moja,kichochoro kinageuka kuwa tambarare!
Mpaka Sasa hesabu ya waliouwawa Ukraine inakaribia kugonga au imeshafika laki 2!
Hao kwq akili Yako ni wachache!!!!