Jambo la hatari kuliko yote duniani.Huwa najiuliza kimoyomoyo hivi hawa jamaa wakikutanaga pale Kyiv kwa nini jamaa asirushe missile moja tu amalize kazi? maana nasikia ana kombola moja hilo linapiga adi Washington DC.
EU to hold wartime summit in Kyiv
839 kuongeza mmoja wamechinjwa ndani ya saa 24 tu.., ndio maana Putin haishi kulalamika kwamba anapigana na wanazi..,hiki kipigo sio Cha kawaida hasa inapotokea kwa jeshi hambalo tuliaminishwa kwamba ni mahili miaka nenda Rudi View attachment 2504668
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bhakmut iko kwenye mikono ya wagner japo kenge wa Ukraine wanakaza tu hawataki reTreat ila hawana silaha. Wanapigwa kama ngoma...Tukubaliane kwanza, bakhumut is encircled au zilikuwa fix?? Ni Hilo tu[emoji28]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwake kufanya hivyo ni sawa iLa likifanya taifa jengine ugomviYaani US ndo anagawa ardhi ya Ukraine 🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahaa,we Endelea na story zenu za kanga!Ukraine akirusha kombora,anakadiria atakuwa ameua kadhaa,anaweka record!😃
Russia yeye anakuambia sensa utajifanyia mwenyewe,kama alivyoreatreat mkakuta Kaburi Moja mnafukiwa Hadi buku,mkaanza kulialia😃!
Huyo ndio Russia,sensa ni juu Yako!
Nyie komaeni na hivyo vipeperushi vya kuungaunga,Wagner wako kazini!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sizitaki mbivu izi.
Hivi moscow au st Petersburg hakuna mashoga???Sisi hatushabikii Urusi, Urusi ana haki ya Kujilinda dhidi ya maadui zake..wewe unaweza kuhamia mtaa anaoishi Ex wa Mkeo?? wakiamua kukumbushia utafanyaje?? Urusi inatusaidia sote kukomesha uonevu mkubwa unaofanywa na hilo kundi la mashoga...
Tatizo lenu mnafanya ushabiki na historia hamuijui ndio maana mnaishia kutukana!!!!Mimi nilidhani watafiti kumbe mashabiki tu na wabeba lugha za matusi!!!!!Ahsante kwa hoja ila mtoto wa kiume unapaka mafuta lips [emoji105] [emoji119][emoji119]
Sasa wewe ndio umeuliza swali!!!Rudi nyuma afu angalia serikali za Uganda tangu lini zimeanza kununua ndege na vipuri kutoka urusi!!!!Afu angalia manunuzi ya UPDF ya ndege za kivita kutoka urusi miaka yote toka 1986 mpaka leo na ubora wa ndege hizo hasa ukienda Entebbe na ukaweza kuongea na marubani wa ndege za kivita za uganda!!Utanielewa kakaUganda Wana Su 30 .
Hizo mig za mchongo Ni za lini?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mbona warusi wana mtazamo tofauti kidogo!!!!!Nani kakaa moscow kati yenu????Hata iwe kwenda kusoma tu?????Tuanzie hapoRussia sio superpower.
Superpower Ni mmoja TU USA.
Kwa sifa za superpower Russia Hana but Russia Ni great power.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Na ikiwa hivyo,maana yake wamekubali kujimaliza.Yaani Bila Hii Hawata weza
“Today, the only exception to helpIng Ukraine should be nuclear weapons and the direct involvement of NATO troops in the conflict.” — Czech President
Uko sawa kabisa.Dubu ukimuangalia ni mwenye sura ya upole lakini ni kiumbe chenye ujasiri , hatari na mwenye kuweza kujilinda na hatari yoyote.
Fisi ukimuangalia ni mwenye sura yenye ukali lakini ni kiumbe mwoga na hasiweza kujilinda na hatari .
PUTIN - BEAR
Zelesky-HYENA
Kama unabisha tizama vizuri sura zao utagundua hii kitu
Vita haikosi casualties ila hizo namba mnazojifariji Nazo najua hata mioyo yenu inajua ila ndio mnakomaa hivyo hivyo!Sawa kaeno na namba zenu vichwani ila Russia yeye anapiga na sensa ni juu Yako!HIMARS sio ya kukadiria, hupiga penyewe, na ndio maana ilibadilisha mkondo wa vita Mrusi aliyekua anavamia akawa anatoroka, mizoga ya Warusi ni rahisi sana kuhesabu pale Ukraine maana ni wavamizi kwenye nchi ya watu.
Nadhani umri wa mchangiaji mada pia ni factor mojawapo wa kuchangia anavyochangia..........Kwa hiyo ni halali taifa moja kupora ardhi ya taifa lingine kwa sababu za ulinzi sio ?.....
Kwa hiyo Urusi aliporwa na Ukraine maeneo ya Donetsk na Luhansk na Sasa anarejesha mali yake ?Nadhani umri wa mchangiaji mada pia ni factor mojawapo wa kuchangia anavyochangia..........
(kuna mtu anajua na mwingine hajui kuwa sehemu zote hizo zilikuwa urusi na sasa anarudisha sehemu zake)
JIBU HILI ALIONE PIA ProvedKumbe hujui kitu vita Kati ya Ukraine na hayo majimbo yameanza since hayo majimbo yatolewe urusi na kupelekwa ukraine.matatizo yalianzia since hayo majimbo yahamishiwe Ukraine sio 2014.nimeshajua tatizo lenu team NATO hamuelewi vizuri Huu mgogoro.since day one hayo majimbo yalikaa kuwa Chini ya serikali ya Ukraine by the way yamesharudi nyumbani tayari.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app