MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Kwa sababu ni mashoga, Wana ajenda ya wazi ya kusapoti ushoga na mashoga.Nimeuliza tu sababu pro Russian bila kuwashutumu Nato kua mashoga hawajisikii raha kaka!!
It goes both ways!Unapuuza kinachokupuuza pia, unafikiri nakuchukulia seriously..,sio?[emoji57][emoji57]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Come onje wewe unampa tarehe gani? Alikuwa na wiki 2 za mafundisho??
Siji, niko.Come on
Kunyimwa totally ndio lugha gani ulitakiwa uulize lini waliwahi kunyimwa ama kutishiwa kunyimwa kwasababu ya ushoga na usagaji- Tangu Tanzania imeanza kupata misaada kutoka Western, ni lini mlinyimwa totally misaada ya kifedha kutokana na kutounga mkono ushoga?
-ni Lini sheria yetu ya Ndoa ilifanyiwa marekebisho kuruhusu ndoa za jinsia Moja kama sharti la kupata mkopo kutoka Western?
- Ni Lini Penal Code/ Kanuni ya adhabu ilifanyiwa marekebisho kuruhusu kulawiti? Kama hujui Kwenye hiyo sheria ya penal Code kulawiti ni kosa lenye adhabu ya Life imprisonment, lakini bado WESTERN wamekuwa wakitoa misaada licha ya Vitendo vya ulawiti kuharamishwa Kwa adhabu Kali,
- Muende China ww kama nani? Serikali Yako bado Iko na Western na Washirika wake Kwa kiwango kikubwa, ndio maana unaona huko Mtaani Magari ya JICA, UK-AID,USAID,PEPFAR,SIDA,DANIDA,nk nk
Mkuu umechanganyikiwa? Maana unachangaya ndoa ya ushoga (ambayo jnsi ninavyosikia ni shoga 1 kwa shoga 1) na ndoa ya wengi?Western watuache hatutaki kuoana juma na john au asha na jeny
[emoji23][emoji16][emoji23]Bakhmut (Artemivsk) will not be surrendered; we will fight as long as we can. — Zelensky "There will be no withdrawal of Ukrainian troops from the city," he said at a press conference after the Ukraine-EU summit.
- Hakuna kumbukumbu zinazoonyesha tuliwahi kunyimwa Misaada Kwa sababu ya kukataa ushoga Kama una hizo kumbukumbu zilete tujueKunyimwa totally ndio lugha gani ulitakiwa uulize lini waliwahi kunyimwa ama kutishiwa kunyimwa kwasababu ya ushoga na usagaji
Western watuache hatutaki kuoana juma na john au asha na jeny
RUSSIA kamatia hapo hapo !!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, labda utafute kwenye kamusi neno hili "mantiki"??Kama masharti yenyewe ya western nikutaka kutufanya mashoga bora twende eastern
UCHINA hakulazmishi unaingia makubaliano kwakupenda kwako ukichemka lazma ugharamie kushindwa kwako
East ndio upande sahihi hautulamishi kulana jinsia moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwanja umeinama [emoji16][emoji16][emoji16]Sawa nyie wenye jipya mnafanya nini sasa ivi uwanja wa vita.mnapelekewa moto wa ajabu mpaka mmeamua mkubali kumpa tu Urusi ardhi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe huyu bwana ndiye mmiliki wa lile bofu, acheni kumsingizia china bwanaa
View attachment 2506314
Huyu umshana nilimla ban hana lolote analolijua yaani"Maana yake alipelekwa kwenye mapigano bila kufundishwa (labda siku 2 kujifunza amri na kutofautisha mbele na nyuma ya bunduki)."
"Waukraine wanatoa taarifa mara kwa mara kwamba hao mamluki wa Wagner wanatumwa mbele bila usalama au tahadhari wowote."
Zelensky "Situation in Bakhmut very difficult"
Unapigana na watu wasio na mafunzo na bado unalalamika situation is difficult. Vipi wakiletwa wenye mafunzo!? Nafkiri kupelekewa askari wasio na training hapo bakhmut ni advantage kwao (Ukraine) inakuwaje wao ndio wanacomplain!? Ina maana wanataka waletewe wenye mafunzo!?
Unapambana na watu waliojifunza amri na kujua nyuma na mbele ya bunduki tu ndani ya siku mbili alafu unashindwa how come!?
Ukraine is considering retreating from Bakhmut (formerly Artemovsk), according to Ukrainian military personnel cited in The Washington Post, in order to save manpower and supplies in anticipation of a counteroffensive elsewhere.
Unataka kukimbia adui asiye na mafunzo kwa nini!? Au ni wewe ndio hauna mafunzo unasingizia adui!?
Alafu ulivyompropagandist angalia tamshi zako
"Kila jeshi duniani inafundisha askari wapya angalau miezi 2 hadi 3. Ila ukipata watu ambao hutaki warudi, basi unawatumia kama Wagner"
'Kila jeshi... kama wagner...', sasa Wagner ni jeshi!? Unaweza kutuonesha kwa ushahidi kuwa JESHI la urusi lina askari wasio na mafunzo!?
Hao Wagner (wasio na mafunzo) wameichukua Soledar iliyokuwa inalindwa na brigedy kibao za Ukraine (wenye mafunzo ya hali ya juu). Tena wako karibu kuichukua Bakhmut na wenye mafunzo wanaangalia mpango wa kurudi nyuma
achana na propaganda za bei rahisi
@umshana niliishampiga ban muda sana maana hana hoja ama kama anazo zakitoto sanaKama hujaelewa claims za Russia juu ya guarantees Ilizopewa Soviet,eti kwasababu Soviet ilivunjika hizo guarantees haziapply Tena Kwa Russia!
Ndio maana Russia amechukua pre emptive measures kudeal na security threat aliyoiona inakuja!
Hoja hapa sio nani kamtafuta nani,maana hayo hufanywa sirini na huwezi kujua hilo!
Hoja hapa ni NATO kujitanua kuizunguka Urusi!
Kwa kuangalia historia ya Urusi na US,hakuna mmojawapo anayetaka mwenzake awe na base ya kijeshi Karibu yake!
US anaitumia NATO for its own interests!
Ndio maana Macron aliwahi pendekeze EU iwe na Jeshi lake!
Mkuu je uko mzima?Huyu umshana nilimla ban hana lolote analolijua yaani
PMC analiita jeshi halaf halina mafunzo ila watu wanalalama huko field
Kuna muda munapata shida kupigishana kelele na hao viumbe
Ila nakuhakikishia hata kuelewa MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Harusi haikosi wasindikizaji.Sawa kiburudisho Cha jukwaa
East ndio upande sahihi tuungane nao- Hakuna kumbukumbu zinazoonyesha tuliwahi kunyimwa Misaada Kwa sababu ya kukataa ushoga Kama una hizo kumbukumbu zilete tujue
-Unasema Western wawaache wakati Ndio kwanza serikali yenu unazidi kukopa mabilioni Kutoka kwao, na kufaidi miradi yao.
J dabiliyu walikataa kwa kupewa bure?Zile Su 30 za mchongo hata JWTZ walizikataa!!!!Urusi wanaleta afrika makapi tu sio advanced war plane's!!!Hata Bamako wamepeleka za mchongo pia na Ouagadougou wanapeleka pia