Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
Unamaanisha.........Mkuu je unafurahia maswali ya kitoto? Wewe unafeli wapi?
Mbengo zikafongoke chioni ya leo rabababaaa haleloyaaaa shaghabalaga katumbobwiiMimi ndio komesha lenu maustadhi wa humu, ukiniquote subiri za uso...takbir
Uganda walinyimwa watu wenye ukimwi wakakosa madawa wakapukutika sana au we una umri gani- Hakuna kumbukumbu zinazoonyesha tuliwahi kunyimwa Misaada Kwa sababu ya kukataa ushoga Kama una hizo kumbukumbu zilete tujue
-Unasema Western wawaache wakati Ndio kwanza serikali yenu unazidi kukopa mabilioni Kutoka kwao, na kufaidi miradi yao.
Wewe ni mchangamsha jukwaa tu,sio mtu ambaye Kuna kitu Cha kujifunza ndio maana unapata mrejesho wa rejareja😃
Hahahaaaa,endeleeni kujitekenya na kucheka wenyewe!
Achana na hayo mambo ya udini kuna watu humu JF walipigwa life ban achana na hayo mambo wewe humu jadiliana kwa ustaarabu mambo ya matusi matusi JF ilishayakomesha
Bila Shaka ulichaguliwa na akina kipanya, Fuso na watu wa Aina hiyo wenye ID lukuki...mtu makini hawezi kukuchagua wewe mnafiki, mshenzi, mjinga, mdini na mpumbavu...no way...kamwe huwezi kuchaguliwa na watu makini....JF could be much better without you people...JF is for entertainment, education and gaining knowledge and not to sow seeds of division in society...
Maeneo yanazidi kuondoka tu huko au hauna taarifa bro[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana! Kumbe una maumivu kiasi Hiki sikujua.
Akikujibu unitag,,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hivi Iraq alikuwa anasaidiwa na nani vile[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kwani alipeleka wanajeshi wangapi na namba zinaonesha kiasi gani??Unazidi kujiaibisha kama hizo namba zako zimekuwa ni za kweli basi wanajeshi wa urusi wangeshaisha ukraine.naona mmekataa kutumia Akili kabisa.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Mtaweza au utaungana wewe tu?
Sasa hoja yako ni ipi maana toka juu unaandika uharo na kutoa hukumu kabla ya kesi kumalizika.Wametungua hilo puto ila kwa mbinde yaani kutungua puto imechukua muda wa Siku moja nzima je wangepigwa KOMBORA?
Usipangie watu namna ya kujadili humu, ukimjia mtu kwa matusi unajibiwa kwa level yako...