Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Inasikitsha sana
 
Kwani kuivamia Ukraina tuiteje?! sio kukurupuka??
Alisemaje wakati anaivami!
Ooh atakae isaidia Ukaraine naye atakula kichapo,[emoji38][emoji38][emoji12][emoji12]
Putin hajakurupuka kuivamia Ukraine na sababu za Urusi kuivamia Ukraine ziko wazi na genuine kabisa.Tumezi-discuss sana hapa jamvini kwa hiyo sina haja ya kuzirudia.Itoshe kusema kwamba kama Western governments zingekuwa sane,vita ya Urusi na Ukraine isingekuwepo,ni wazi sanity on the part of Western governments haipo kabisa.
 
Kwa taarifa hio ya wazir wa zaman wa Israeli ctegemei kuona mtu anaanza kuleta ubishani wa kitoto kua urusi kavamia kimabavu Ukraine ...wazir kaeka vitu clear kua maongezi yalikua poa ila west wakaingia kati hapo,
Na yule wa ujeruman pia alishasema kua Minsk agreement ilikua geresha,
Mifano Ni mingi ya kuonesha ubaya wa west ,ila cjui kwann mnawatetea hao wachonganishi
 
Hilo deal la mafuta kuna mikono ya watu
 
Mkuu katika mambo hyo napendelea kutoamini bali kujua ikiwezakana. Kuhusu takwimu wakati wa vita nahisi kila takwimu hutumiwa kama propaganda kwa namna moja au nyingine, hata kama namba ni sahihi.
Sioni swali hapa kuamini Mossad bali swali la kuamini tovuti ya kituruki inayodai kwa ghafla wanajua takwimu za Mossad.
 
Hahaha [emoji1787][emoji23]! Kwa hiyo kumbe urusi anapigana na Ukraine, sio?? Na hajapeleka jeshi lake lote Bali ameweka pending jeshi lake ( red army) in case hao unaowaita collective west wakiingia ,sio??

Na wale majenelali zaidi ya 22 waliochinjwa mchana kweupe huku ushaidi ukiwekwa wazi walikuwa wa nchi gani vilee [emoji28]
Wenzetu mkiwa waongo jitaihid kuwa na kumbukumbu tafadhari [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ki rat hahhahhahaha
 
Kusema kweli watu wenye uelewa mdogo juu ya Russia walimezeshwa sana matango pori na yule mwamba.

Putin anatembea mkono mmoja ukiwa umetulia.
Hiyo ni tembea ya Ma "Snipers".
 
Ingekuwa hakukurupuka na ramli chonganishi na uchu wa fisi akitegemea mkono utadondoka asinge thubutu kuivamia nchi ya watu!
Kibaka unampiga mtu roba anakudhibiti?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…