Nyamizi sogea huku.Tuendelee kuwa pamoja ndugu zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
[emoji95][emoji95][emoji95]In the area of the Sakkoi n Vantsetti, units of the PMC Wagner expanded the zone of control and are advancing in the direction of Vasyukivka.[emoji95][emoji95][emoji95]View attachment 2507473
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wa Ukraine watayauza
Kulikua na nchi inaitwa Uikraine,,,,,,,walimu wataanza fundisha hivyo.Rudia tena kusoma, niliandika kabla ya SMO Ukraine alitakiwa ayamalize mambo kwenye meza ya mazungumzo lakini alifeli hapa, lakini pia hata wakati vita vinaanza angekubali masharti ya kuachia donbase. Sasa unadhani nini kitatokea akiendelea kukaza fuvu?
Chombo kipi?[emoji1787]Ukiachana na taarifa rasmi kutoka vyombo vya habari, mengine yote ni maoni binafsi.
Puto limemsumbua,lingekua na siraha za maangamizi ingekuaje?Pro ukraine ebu niambieni Kama urusi anayo hali mbaya mbona hajawai Lia Lia kwenye media Wala kuanza kuomba msaada ...
Pili Kama uSA ndio superpower halisi kwann bhc asifazili vita yote mpka nae anageuka dalali au mkusanya michango [emoji23][emoji23]
Suala la chombo gani cha habari cha kukiamini nalo ni suala binafsi.Chombo kipi?[emoji1787]View attachment 2509255
Alafu Kuna kenge akaja kujisifu apa kua washalitungua ,..yaani pulizo limefika mpka ndani ya nchi .ndio wwtu wanaanza kukimbizana na ma Patriots Mara Abram 😂 kwa pulizo 😂😂afu wanajitetea kwa kusema ilo pulizo Ni kubwa c la kawaida Ni lakijasusi 🤣🤣🤣🤣Puto limemsumbua,lingekua na siraha za maangamizi ingekuaje?
Yangetumwa maputo 100 ingekuaje?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waletee na ile picha ya kikao Cha kujadili pulizo 😁nasikia nchi zote za nato zimeshiriki kulitungua puto la mtoto wa jack Chan 😎....1030 wamechinjwa siku ya Jana tu....,sisi hatutachoka kuwaletea updates,ndio maana tunawaambia hii vita imekuwa Janga haswa kwa super pawer 🥱🥱🥱View attachment 2509320
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Guided shell ya Tornado au Smerch Ina uwezo wa kufanya kifaru chochote kuwa chuma chepesi.[emoji635] In Russia, for the needs of the special operation, the production of Krasnopol guided artillery shells has increased several times, which will become one of the means of effectively destroying Abrams and Leopard tanks, a source told RIA Novosti
We hope that the build-up is also going on with conventional shells. This is critically important, because once again artillery is showing itself as the god of war.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipelekwe zikakaangweGuided shell ya Tornado au Smerch Ina uwezo wa kufanya kifaru chochote kuwa chuma chepesi.
Ni hatari. Kila la kheri kwa Abrams na Leopard zipatazo 301
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Vikwazo waeke wao ,Mara watoe ila mwanaume bdo anapeleka Moto kila upande 😎😎😎RUSSIA sio ZIMBABWE
[emoji1099] [emoji635] #oil #ceiling
The EU has excluded oil products produced from Russian oil outside the Russian Federation from sanctions
Ceiling the oil price will also not apply when mixing Russian petroleum products and products from other countries
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile vita itakuwa ni ndefu na hakutakuwa na mshindi - Putin anajua fika kwamba Ulaya na USA hawawezi wakamwachia aishike Ukraine.Vikwazo waeke wao ,Mara watoe ila mwanaume bdo anapeleka Moto kila upande 😎😎😎
Rijali anakufirimba Kila siku then unaenda kujitapa Kwa mashost upuusi?🤣🤣🤣Acheni ujinga nyie.Mwaka sasa donesk inatekwa tena zile siku 3 za km60 msafara wa kivubzilishia wap na msafara ulishia wap