Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hakuna connection yoyote Happ br ya nilichoandika na nukuu yako kutoka vyanzo

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
nlikua na hope urusi kushinda vita ila nimekuja kujua marekan alikua mbele ya muda sana kuanzia kwenye nord stream Urusi hatashinda hii vita cha kufanya urusi ni aingie vitan na marekan mchezo uishe basi
Amka BOSS

Yaani licha ya kwamba RUSSIA anapigana field na UKRAINE na chawa wake

Halaf huku kapigwa pingu za vikwazo na mataifa kama 100

Ila bafo unasema RUSSIA yuko nyuma ya muda etiii

Hii SMO iwe mvua liwe jua msitegemee RUSSIA kupoteza kama muna mawazo hayo poleni sanaaa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Warussi nawakubali sana hawakawii kukupa SPANA

πŸ‡©[emoji1096]πŸ‡ΊDmitry Medvedev on the words of the German Foreign Minister about Moscow's 360-degree turn: "It's still fun that Europe is ruled by such ignorant people"

Jamaa anamwitaga Biden- old man
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] CIA director bills burn said that intelligence sharing with NATO allies play an important in holding together coalition in support of Ukraine [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]
 
Wasikilizeni MI-6

Rezident UA TG:
MI-6 transmitted intelligence to the Office of the President and the General Staff that PMC Wagner has no problems with weapons and shells, and all publications are an information campaign to divert the attention of the Armed Forces of Ukraine.

The Russian army continues to implement the strategy to encircle Bakhmut. According to British intelligence next week will be the most active on the eastern front, and the Armed Forces need to be ready to retreat from the city.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…