Yes, 45 mins PR stunt.Mnajitahidi kweli kuficha hii aibu iliyowapata Leo, lakini ni bahati mbaya sana kwamba imeshaingia hiyo,kuitoa ni ngumu kweli [emoji2][emoji1787][emoji16]
Hawa jamaa wapo kama vile wanaongozwa na remoteHa ha ha haa,
Da !Aisee!
Leo wamevamia jukwaa kisa Biden kaingia Ukraine kwa treni🤣🤣🤣.
Halafu kakaa 45 kachimba.
Hii ni obviousImejulikana nani anamiki anga la Ukraine. Mshauri wa masuala ya ulinzi wa Marekani kamaliza ubishi. Kuna baadhi wataendelea kubisha.
===
US ‘notified’ Russia before Biden’s Kiev visit
National Security Advisor Jake Sullivan confirmed that the US gave Russia advance notice of President Joe Biden’s visit to Kievwww.rt.com
Wana utapiamlo wa akili hawa pro upindeHa ha ha haa,
Da !Aisee!
Leo wamevamia jukwaa kisa Biden kaingia Ukraine kwa treni🤣🤣🤣.
Halafu kakaa 45 kachimba.
Achana na hiyo ng'ombe mkuu unajichosha bure.Duh ila we jamaa sometimes unajua vitu hadi vinakuchanganya mwenyewe. Yaani Urusi wamtake Zelensky washindwe kumuua! Hawako interested nae au muda haujafika tu ila Urusi hawezi kushindwa kumuua Zele ikilazimika hivo.
Kweli wewe ni ki 🐀 huna ubongo wa mbeleNa zelensiky akitaka kichwa Cha fashisti Putin analetewa chapchap tu,sema tu zelensiky Hana hiyo Nia,lengo lake ni kukomboa ardhi yake tu!!
Poleni kwa kupigwa na kitu kizito aisee [emoji1787][emoji16]Wana utapiamlo wa akili hawa pro upinde
Ikiuma chomoa!Kweli wewe ni ki [emoji232] huna ubongo wa mbele
Endeleeni kujifariji lakini mmeshapigwa na kitu kizito [emoji28]Hii ni obvious
Kiev - Ukraine ni conflict zone.
Ni lazima US amjulishe Russia kuhusu uwepo wa kiongozi wao pale.
Kuna wengi tu hapa hawaelewi kwamba, hata Russia au US, wakiwa wanarusha makombora ya ICBM ni lazima amjulishe mwenzie kwamba siku fulani na saa fulani nitarusha ICBM kama testing. Hii ni lazima.
Akili zimeanza kirudiNa itakuwa aibu kwa marekani iwapo Biden atashindwa kufika Kiev kwa sababu ya hiyo mikwara ya urusi [emoji134][emoji134][emoji134]
Wanafurahisha sana wanakwambia leo Russia kapata aibu kisa Biden kaenda UkraineHao wanaelewa ila waleta mizaha.
Super pawer tayari ameshapigwa na kitu kizito [emoji28][emoji1787][emoji16]Akili zimeanza kirudi
Sijui kipanya anafutahia nn?Ngoja nijaribu kukujibu na wengine wataongezea au watarekebisha inaweza ikawa ndefu kidogo.
Haya twende kazi;
Kuna kitu kinaitwa Protection of Diplomats Convention (formally, the Convention on the Prevention and Punishment of Crimes Against Internationally Protected Persons, Including Diplomatic Agents). Hii ni United Nations (UN) anti-terrorism treaty ambayo imeelezea principles za kulinda diplomats hususani wanapokua nchi nyingine.
Convention hiyo ilianza kwa kukumbushia:
"Considering that crimes against diplomatic agents and other internationally protected persons jeopardizing the safety of these persons create a serious threat to the maintenance of normal international relations which are necessary for cooperation among States"
Convention hiyo iliunda terminology inayoenda kwa jina la "Internationally protected persons" ambao ime include heads of state, heads of government, foreign ministers, ambassadors, other official diplomats, and members of their families. Na lengo lake likiwa ku criminalize matukio kama mauaji, utekaji au vurugu kwa "internationally protected persons" wakiwa kwenye their official premises, private accomodations au hata vyombo vya usafiri watakavyokua wanavitumia.
Convention hiyo imesainiwa na 180 United Nations member states, including Russia na nadhani ilianza kutumika mwaka 1973.
Sijajua kwa nini Pro west leo wengi wanashangilia Biden kwenye Kyiv kwa sababu Ukiacha na Biden kwenda, wapo viongozi wa nchi mbalimbali ambao wameshaenda Ukraine baada ya vita, tena nchi zao zimepeleka misaada ya kijeshi kwa Ukraine kama ambavyo US imepeleka, na hawajawahi kuguswa na wakatoka salama wakaacha SMO ikiendelea kama kawaida, mfano:
Anthony Albanese- Australia July 3, 2022
Justin Trudeau- canada May 8, 2022
Petr Fiala-Czech republic March 15, 2022
Sanna Marin (PM)- Finland May 26, 2022
Sauli Niinistö(pres)- Finland January 24, 2023
Emmanuel Macron- France June 16, 2022
Olaf Scholz- Germany June 16, 2022
Mario Draghi - Italy June 16, 2022
Andrzej Duda- Poland May 22, 2022
Klaus Iohannis- Romania June 16, 2022
Boris Johnson- UK April 9, 2022 & June 17, 2022
Rishi Sunak -UK - November 19, 2022
Convention hiyo ya UN inawalinda hao Diplomats kisheria na hawawezi kuwa attacked, achilia mbali Biden, hata angeenda Samuel Ruto wa Kenya tu hapo, Angepewa ulinzi mpaka anaondoka bila kuguswa kwa sababu na yeye ni head wa state analindwa na hiyo UN convention.
Russia ni mojawapo ya nchi ambazo zimesaini hiyo treaty na na kwa mantiki hiyo haiwezi kwenda kinyume kwa kuanza kuwashambulia hao diplomats.
Biden kutumia treni kwenda Kyiv inawezekana ikawa kwa protocol zao za kiusalama hususani SMO ikiwa inaendelea ila sio kwamba usafiri wa treni una mask yeye kutoonekana kwenye picha za satellite za Russia wakati anaingia Ukraine.
Wafurahisha genge hao.Wanafurahisha sana wanakwambia leo Russia kapata aibu kisa Biden kaenda Ukraine
Ila,
Emmanuel Macron wa ufaransa alivyoenda Ukraine, Russia hajapata aibu
Olaf Scholz wa Germany alivyoenda Ukraine, Russia hajapata aibu
Mario Draghi wa Italy alivyoenda Ukraine, Russia hajapata aibu
Andrzej Duda wa Poland alivyoenda Ukraine, Russia hajapata aibu
Boris Johnson wa UK alivyoenda Ukraine, Russia hajapata aibu
Biden wa US kwenda Ukraine, Russia kapata aibu.
Sasa najiuliza hiyo aibu gani wanayoiongelea?
Mnachoambiwa ni sahihi vita inasimama kwa pande zote mbili baada ya ombiKwamba Marekani iwaambie leo tunasafirisha silaha msilipue
Leo Rais anaenda Kyiv msilipue
Hao wengine walikuwa wanaenda kufanya ziara Ukraine ikiwemo waziri mkuu wa uingereza sio viongozi? Mm bado sijui mantiki ya pro NATO kushangilia sijui Kuna jipya gani yaani hata siku akienda yoweri Mseveni sijui tutajificha wap watu wa Russia kweli NATO akili kumkichwa.Super pawer tayari ameshapigwa na kitu kizito [emoji28][emoji1787][emoji16]
Acha kujipendekeza kwangu wewe upinde! Usirudie tena kuniquotePoleni kwa kupigwa na kitu kizito aisee [emoji1787][emoji16]
Ziara ya Biden ilikuwa ni lugha ya vitendo kumwambia Putin kwamba wewe si lolote,si chochote..,Tena hakuna anayejari hiyo mikwara yako ya kishamba!!Sijui kipanya anafutahia nn?