Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tunashangilia kiongozi wa nchi hambayo imekuwa ikitoa vifurushi vya silaha zilizomwadabisha fashisti Putin kukanyagana kwenye ardhi ya ukraine na urusi akaufyata,as if hakuna kilichotokea[emoji28]
 
Kumbuka takriban asilimia 70 ya silaha zote alizopewa Ukraine zimetoka marekani pekee,
 
[emoji1255][emoji1255][emoji298][emoji298] the European union allocated [emoji387][emoji387] 17.4 million for digitization and launches the project " digital transformation for Ukraine " minister of digital transformation mycailo fedolov reported [emoji1255][emoji1255][emoji298][emoji298]
 
Raisi wa Russia Vladmir Putin wiki hii atakuwa na mambo mengi ya kuyashughulikia.

Kwa mujibu wa ratiba ambayo bado haijathibitishwa rasmi ni kama ifuatavyo:

1. Jumanne tarahe 21 Februari- Atahutubia bunge la Russia na taifa kwa ujumla na itakuwa hotuba ndefu kidogo.

2. Jumatano tarehe 22 Februari- Raisi Putin ataenda uwanja wa Luzhnik mjini Moscow ambako pia atazungumza machache na wananchi.

3. Alhamisi ni siku ya walinda nchi yaani Defender of Fatherland Day ambayo ni siku ya kitaifa kuwakumbuka wanajeshi wa Russia.

4. Ijumaa ni kumbukumbu ya SMO yaani tarehe 24 februari 2022 SMO ilianza rasmi. NI siku ambayo raisi Putin atawaambai warusi kwamba Russia ipo kwenye "right track" ingawa na vita ndefu lakini mwisho Russia itashinda. Ni shughuli ambazo zote zitatangazwa na runinga za Russia hadi Ukraine.
 
Anataka kuweka historia kuwa kiongozi wa USA wa mwisho kutembelea Ukrain coz baada ya kipindi chake hakutakua na nchi inayoitwa Ukrain
Unamaanisha kwamba Ukraine watamchakaza Putin Hadi Moscow na kuifanya urusi iwe sehemu ya ukraine,sio?
 
[emoji298][emoji1255] volodymyl zelensiky also met today with klistalina georgieva, managing director of the international monetary fund [emoji298][emoji1255]
 
[emoji1255][emoji298][emoji298] president volodymyl zelensiky of Ukraine said the country has received new assistance package from Italy [emoji298][emoji298]
 
Kwanini ziara ya Wang Yi mjini Moscow yawaogopesha NATO na US.

China imeongeza uzalishaji wa silaha za kila aina na zenye teknolojia ya hali ya juu.

Ndege zisizo na rubani au UAV ni mmoja ya silaha ambazo zaweza kuitgwa kwa kiingereza "sophisticated" yaani zina vikorombwezo vingi ndani yake kama kuruska bila kutoa sauti, na pia uwezo mkubwa kwa kukwepa ADS za adui.

China wamekuwa wakiwapatia Russia vifaa vya kawaida kama mavazi, BH au body armour, kofia maalum, vifaa vya mawasiliano na vingine lakini katika kiwango cha kawaida.

Ila sasa kwa kuzingatia mkesha wa SMO ya Russia siku ya Ijumaa ndipo kunakotia shaka nchi za NATO na US kwamba pengine mzigo kutoka China tayari upo Russia kitambo na kinofuatia sasa hivi ni kutiana saini mkataba.

China yasadikiwa kuwa imekuwa ikitoa vifaa vingine vya kieloktronik kama semi conductors na teknolojia ya juu au hi-tech za kutumika kufanya matengenezo ya mitambo ya Russia ya aamr au anti aircrfat missile radars ambayo yahitaji kubadilishwa vifaa au twasema kufanyiwa "upgrade".

Msaada mwingine wa China kwa Russia ni kwa kampuni zake mbalimbali za teknolojia kusaidia kuchukua picha za angani (suala la mabaluni) kutoka sehemu mbalimbali duniani kwa njia ya satelite khasa kwa mahasimu wa Russia na kutuma picha hizo Moscow.
 
Uongo.
Hawawezi kumrisk rais wao hivyo.
Huwa kuna special communication channel ambazo wanakuwa wamewasiliana.

Hata hivyo, kwa russia hii ni SMO sio WAR.
Hivyo Russia anatarget zake na hajipigii hovyo, ndio maana hajawahi kupiga anakolala Zelensky.
Sasa uongo uko wapi? Mbona kama ulichofanya ni kuiweka kwa kiswahili taarifa niliyoiweka? Si taarifa inasema US waliwataarifu Russia kabla Biden hajaanza safari kwenda Kyiv sawa na wewe unavoeleza!
 
Utaongea kila lugha lakini habari unayo. Mtu unayeweza kumfua huna haja ya kumtafutia sababu eti "Ukipigwa ukose visingizio". We mpige tu awe na visingizio au asiwe navyo atajua mwenyewe. Kama ulivyompiga iraq na libya.

Tena ulitangaza naenda kumpiga Iraq iwe UN inataka au haitaki. Iwe kuna sababu au hakuna. Ila kwa dubu unataka mpk akose cha kusingizia. Acha zuga, mmeogopa, period! Kama ni kutoa taarifa tu mngetoa na kwa Belarus, Serbia nk.

Hivyo mlivyotoa ni vijisilaha sio silaha. Mwaka sasa unaisha hamjapeleka silaha yyt ya maana zaidi ya takataka zilizojaa kutu za miaka ya alfu mia kenda, karne ya 20. Kama nyie wanaume kweli pelekeni silaha na askari ardhini. Pelekeni ndege, vifaru, makombora ya masafa marefu, Air Defences km Patriot Thaad Nk. Kwa nini hampeleki!?

Mara ya mwisho kuisikia Himars ni mwaka jana mwezi wa saba. Wakati huo soledar bado ilikuwa chini ya Ukraine na bakhmut ilikuwa haijazungukwa. Unakuja kuitaja Himars leo wanaume wanakaribia kufika kupyansk. Himars ndio nini leo February 2023!? Sio habari hata kdg.

Zelensky watu hawana haja nae. Wa nini kwanza. Soma habari za mwaka huu achana na zilipemdwa

Putin promised not to kill Zelenskyy: Ex-Israeli PM
Former Israeli leader says he received a pledge from Russian president: ‘I won’t kill Zelenskyy.’
 
Huyo ni Biden akiwa nchi ya kigeni. Sasa Putin akiwa nchini kwake mwenyewe anaogopa sembuse aende kwenye vitaView attachment 2524107View attachment 2524108View attachment 2524109View attachment 2524110
RUSSIA hataki kufanana na US mbona mnalazimisha

RUSSIA anaendesha mambo anavyoona yeye inafaa

Mwanzo mlisema hasafiri akaenda mataifa kibao naona mnajifariji kwanamna nyengine

PUT IN ataenda popote atakapoona panafaa nahakuna wakumfanya lolote kwa hapa DUNIANI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikutegemea kama us atangojea ruhsa tokea MOSCOW

SMO inaenda vyema sanaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…