Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mie ndio kaniprove wrong kabisa maana nililowaza hata kuligusia jamaa hajaligusia

Shkamooo PUT IN
 
Hii mitandao inatakiwa tuitumie vyema sana aseeee

Kuna jambo hapa unaweza ukalitaipu ukaona limepita kumbe likadumu milele ama likadumu miaka mingi

Halaf wewe utakua umeishajisahau watu wanakuja kufukua makaburi nandio linamgharibu jamaa kwasasa

Watu wanamfanyia mzaha ingawaje nimaneno ya kweli acc tu yeye mwenyewe ila sasa watu wamemfanya apanic

Nakweli tokea watu wapate ile post wanaitumia sana dhidi ya jamaa kiasi kwamba jamaa anahamaki sanaaa

Kuna mambo sio yakupost kwenye mitandao iwe unafanya ama hufanyi inatakiwa ukae nayo tu moyoni

BOSS T14 Armata anatakiwa akubaliane na hali tu kua aliteleza na sasa watu wanatumia yale yale aloyasema kumfanyia inda

Akae kwakutulia

Ila bado jamaa namkubali ingawaje kuna muda anazidiwa na hisia anatukanana na watu

Kwenye mitandao yakijamii sio sehem zakutukana nisehem zakufanya mambo yastarehe na burdan na mambo makubwa tuuu

Kuna ignore block nk ukiona mtu anakutukana na unashindwa deal nae piga block


SMO iendeleeeee.......
 
Sure jamaa ukiondoa mapenzi ana ufahamu wa vitu vingi na huwa anapata support almost kwa all members,
 
Mkuu unaona kweli kuwa Babu Putin -aliyeogopa hadi leo kutembelea askari wake kwenye mapigano- anashika chochote??
Mpende usimpende Zelensky, alitembelea wanajeshi wake karibu na mapigano mara kwa mara.
Mpende usimpende Biden, anajiamini kwenda huko ambako Putin hawezi kufika (Kyiv) ..
 
Alipofikia hawezi shinda vita wataenda, watazoeana
 
[emoji298][emoji298][emoji1255][emoji1255] Biden addresses the Russian people;
"The US and the nations of Europe do not seek to control or destroy Russia.the West was not plotting to attack Russia,as Putin said today.this war was never necessary.its tragedy, president Putin chose this war [emoji631][emoji631][emoji1255][emoji1255]
 
Tunakwenda kufanya operation maalum ya kijeshi ya Saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo [emoji2][emoji1787][emoji16][emoji28]
 
Haaa kweli tekinolojia ni ya kuogopa sana unaweza kuamuwa kubadilika lakini tekinolojia ikaendelea kuhukumu na kuku fanya uonekane ni mtu wa ajabu maisha yako yote na hata baada ya kufa.
 
[emoji298][emoji298] Biden on Russians forces; they are comitted deprivites, crime against humanity, without shame or compaction. They are targeted civilian with death and destruction, used rape as weapon of the war, stolen Ukrainian children in an attempt to steal Ukraine's future [emoji631][emoji298]
 
Wazee wa chuki na roho mbaya Russophobia
 
THE DEVIL IN DETAILS
 
[emoji631][emoji298][emoji631][emoji298] when president Putin ordered his tanks to roll into Ukraine,he thought we would roll over.he was wrong.the Ukrainian people are too brave.we were too unified.democracy was too strong . US president joe Biden said during the speech in Warsaw [emoji631][emoji298][emoji631][emoji1255]
 
THE DEVIL IN DETAILS
 
Aisee duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…