kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ajabu wanauona tu ushoga kama dhambi pekee dunian,huu unyama unaofanywa na askari wa fashisti Putin Wala hawaoni [emoji848]THE DEVIL IN DETAILS
HakikaHaaa kweli tekinolojia ni ya kuogopa sana unaweza kuamuwa kubadilika lakini tekinolojia ikaendelea kuhukumu na kuku fanya uonekane ni mtu wa ajabu maisha yako yote na hata baada ya kufa.
Hiyo post ipo wapi 😂😂🤣🤣 Jamaa aliandika kwamba anapiga nyeto au ni nini?Haaa naona tangu wakuite kiongozi wa wapiga nyeto wa jf hasira zako zote umezihamishia kwa Putin una bwabwaja bwabwaja tu bila mipangilio.
Haaa kwamba super power anapigana na Talban ambayo hawana hata viatu kwa miaka zaidi ya 20 na bado wanawashindwa na kuwakimbia[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Shujaa muongoza njia alisha tahadharisha kuwa tuogope sana mungu na teknolojia hiyo Post yako kuhusu nyeto ni ya miaka mingi lakini sasa hivi wajuba wanaitumia kukuumiza kisaikolojia na wamefanikiwa maana siku hizi uwezo wako wa kufikiri umepungua kwa kasi ya ajabu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3]nacheka kwa dharau.
Pamoja na yote...T14 Armata...anabakia kuwa ni mchangia mada mzuri sana...ninachopenda mimi anajitahidi sana kusoma na kufuatilia mambo in detail...tatizo lake ni moja tu ... ana chuki za wazi na Russia...kwake hakuna zuri lolote kutoka kwa Russia ama Putin..ila uwezo wake katika masuala na hasa zana za kijeshi bado ni mkubwa...,huyu ni tofauti na mbali kabisa na watu kama bwana .. Ki rat...hawana chochote cha maana wanachokielewa zaidi ya kubisha na ukiwachalenge matusi yanafuata..,,,naamini watu wengi humu ni matured...above 25 huko...hebu tuachane na hz ishu za kupiga nyeto..japo mwenyewe aliongea humu na kueleza bayana kama ni maarufu kwa ..,' upigaji Puchu'...naomba tumchukulie kwamba aliteleza na kuweka hadharani hz mambo zake binafsi...tujikite kwenye kuhabarishana mambo ya SMO...!!!..na tumstahi na hzo mambo zake za kupiga puchu...!!!Huyo jamaa anayemwita sijui Rais wa wapiga nyeto sijui kiongozi wa wapiga nyeto kama kweli aliandika humu kwamba yeye ni mpiga nyeto hodari basi kwishney hiyo.
Bila shaka punyeto imeshaharibu uanaume wake na sasahivi hana uwezo wa kumridhisha mwanamke, kufikia hapo anakuwa inferior mbele ya mwanamke kitu ambacho sasa kinamfanya aanze kutamani yeye kukunwa. Hivi vitu tusichukulie kwa utani, yawezekana kuna machoko kweli kwenye huu uzi alafu sie twafanya utani. Na machoko hao wanaiandama Russia sababu imekataa dhahiri mambo ya kichoko. Huko nyuma jamaa alikuwa anaipenda sana Russia mpaka kufikia kujiita majina ya Kirusi. Naona baada ya Russia kukataa sera za kichoko ndio hizi povu anatoa humu..
Tutafute namna ya kumsaidia wakuu.. Uraaaaaah!!!
Kuna source kibao mtandaoni za west wanadai US inaivamia Iraq kwa kuwa Iraq wana siraha za maangamizi. Je wewe katika pita pita zako kwenye taarifa za baada ya vita ulishawahi kuona uthibitisho wa uwepo wa hizi siraha mazafanta mkubwa!Umetimia mwaka mmoja tangu chombo cha habari cha taifa cha Urusi kitudanganye siku nne kabla. Propaganda na uongo ni jadi yaoView attachment 2524866
Kila mmoja anastail yake ya kutimiza majukumu yake,sio kwa vile Zele kaenda kutoa hamasa kwa wapiganaj basi na mwamba aende hiyo si lazima.Mkuu unaona kweli kuwa Babu Putin -aliyeogopa hadi leo kutembelea askari wake kwenye mapigano- anashika chochote??
Mpende usimpende Zelensky, alitembelea wanajeshi wake karibu na mapigano mara kwa mara.
Mpende usimpende Biden, anajiamini kwenda huko ambako Putin hawezi kufika (Kyiv) ..
Uchumi wa makaratasi us atadumu miaka 200GDP - TOP 15 Contries - Gross Domestic Product
Tanzania - $167 billion
- United States: $20.89 trillion
- China: $14.72 trillion
- Japan: $5.06 trillion
- Germany: $3.85 trillion
- United Kingdom: $2.67 trillion
- India: $2.66 trillion
- France: $2.63 trillion
- Italy: $1.89 trillion
- Canada: $1.64 trillion
- South Korea: $1.63 trillion
- Russia: $1.48 trillion
- Brazil: $1.44 trillion
- Australia: $1.32 trillion
- Spain: $1.28 trillion
- Indonesia: $1.05 trillion
Jamaa yetu huyu tupunguze kumkazia asije akafanya maamuz magumu tukajuta sote humu ndanHuyo jamaa anayemwita sijui Rais wa wapiga nyeto sijui kiongozi wa wapiga nyeto kama kweli aliandika humu kwamba yeye ni mpiga nyeto hodari basi kwishney hiyo.
Bila shaka punyeto imeshaharibu uanaume wake na sasahivi hana uwezo wa kumridhisha mwanamke, kufikia hapo anakuwa inferior mbele ya mwanamke kitu ambacho sasa kinamfanya aanze kutamani yeye kukunwa. Hivi vitu tusichukulie kwa utani, yawezekana kuna machoko kweli kwenye huu uzi alafu sie twafanya utani. Na machoko hao wanaiandama Russia sababu imekataa dhahiri mambo ya kichoko. Huko nyuma jamaa alikuwa anaipenda sana Russia mpaka kufikia kujiita majina ya Kirusi. Naona baada ya Russia kukataa sera za kichoko ndio hizi povu anatoa humu..
Tutafute namna ya kumsaidia wakuu.. Uraaaaaah!!!
Mkuu ni kweli hakuna ambacho ni lazima. Ila imeonekana kwa wengi mzee Putin ni babu mdhaifu anayeogopa mengi (hadi kukutana na majenerali wake kwa umbali wa mita kadhaa), hata kukutana na raia wake mjini ameshaacha tangu miaka.Kila mmoja anastail yake ya kutimiza majukumu yake,sio kwa vile Zele kaenda kutoa hamasa kwa wapiganaj basi na mwamba aende hiyo si lazima.
Br Ni mjinga tu atabisha ukweli Kwamba Moscow ilipata taarifa za uwepo wa Biden mjini Kiev na ndo maana hawakujaribu kufanya uchizi wowote ambao bila shaka ungeileta dunia kwenye mgogoro wa silaha nzito zaidi za kinyuklia.Unaonaje ukamuandikia hivi Bwana Utam aliyekuwa anabeza Biden kutoa taarifa kwa Russia, eti naomba ruhusa. Na yule aliyebeza Biden kutumia treni. Au ushabiki unauona kwangu tu.
Lt. Col. Putin alifeli alipokuwa East Germany na ukuta wa Berlin ukaanguka. He served well in a failed mission
Hahahah sawa mkuu ngoja tuizike rasmi hiyo..Jamaa yetu huyu tupunguze kumkazia asije akafanya maamuz magumu tukajuta sote humu ndan
Mkuu ajabu ni nini kama pande zote hucheza michezo michafu?? Sadam alikuwa Mchafu; Bush2 alitumia alitumia uwongo kumwingilia na kumwondoa (Bush 1 alitetea haki za Kuwait pamoja na maslahi yake ya mafuta dhidi ya Saddam aliyeanzisha vita kwa ujinga).Kuna source kibao mtandaoni za west wanadai US inaivamia Iraq kwa kuwa Iraq wana siraha za maangamizi. Je wewe katika pita pita zako kwenye taarifa za baada ya vita ulishawahi kuona uthibitisho wa uwepo wa hizi siraha mazafanta mkubwa!
Basi sawa andika barua uwasilishe hayo maombi yako ubalozi wa karibu wa Marekani. Ama anzisha jeshi lako ukampige North Korea au RussiaAkampige North Korea au Russia..