Yaani watu wanataka Putin afanye wanayotamani...et jamaa anasema nilitarajia, hiki na kile....blahblah.....[emoji1][emoji1]Watu wanajipa umuhimu ambao hawana kabisa....Yaani leo hii Putin aanze kufanyakazi kwa wishes na matamanio ya watu....??Tatizo hayp yote zilikywa ni assumption za west; hivyo mmepigwa chenga[emoji23]
[emoji298][emoji298] Russia's nuclear-capable intercontinental ballistic missile sarmat appears to have failed a test launch around February 20, CNN reported citing US officials familiar with the matter [emoji298][emoji298]Inasemekana kuna nchi ilikuwa yafanya majaribio ya ICBM wakati Biden yuko Kyiv ila failure ikatokea.
Haya ni mawazo ya kuku.Mkuu USA haitaji nyukilia kumshambulia Russia ila Russia anahitaji nyukilia kumshambulia USA.
Uzuri kiwembe kinakata koteThe King in Kyiv... Hutaki meza kiwembe.
Easier said than done....uzuri hata Western political, intelligence and military analysts admit that Mambo ni magumu kwa pande zote na duniani kwa ujumla...UJUMBE WA BIDEN KWA DUNIA...
” Biden said. “I can report: Kyiv stands strong, Kyiv stands proud, it stands tall and, most important, it stands free.”
Kwa hiyo West iko salama ni vema ipeleke majeshi huko UkraineHapa mandharinyuma kidogo kuhusu silaha za babu Putin, leo: Roketi ya Zirkon, inayokimbia kwa Mach 9, lakini ina matatizo kulenga vema kama lengo halisubiri:
Maana si rahisi kupambana na kanuni za fizikia.
Soma kwa undani:
Putin's 'invincible' missile has a very common problem
Russia's new Zircon missile can fly at hypersonic speeds or hit a moving ship, but it can't do both.www.businessinsider.com Putin's 'invincible' missile has a very common problem
Russia's Zircon hypersonic missile can do two things: fly at almost 7,000 mph, which makes it very hard to shoot down, or hit a moving ship. But it can't do both.
- Putin has touted Russian hypersonic weapons like the Zircon missile as impossible to defend against.
- Zircon in particular is powerful but there are limits on what it can do, a Western expert says.
- Like other high-speed weapons, the Zircon's velocity may come at the expense of its accuracy.
Putin's rhetoric can't change the laws of physics. The problem is that objects traveling at hypersonic speeds — Mach 5 and beyond — ionize the air around them, creating a sheath of plasma around the object that blocks radar signals.
Yet radar is precisely how many guided missiles home in on their targets. Once the missile arrives near a designated point, an active radar seeker in the nose switches on, scans the area, and locks on target.
Mambo ni magumu yes sababu Putin hataki responsibilities - yaani ni sawa na wewe unapogombana na chizi dhaifu lakini ana kisu na panga.Easier said than done....uzuri hata Western political, intelligence and military admit that Mambo ni magumu kwa pande zote na duniani kwa ujumla...
Ambao wanapaswa kuwa makini ni West ambao wanataka dunia ifuate totalitarian democracy....theluthi mbili ya watu wa kawaida duniani wanamuunga mkono Putin.....ni Europe, USA, Canada na Australia na New Zealand ndio wanaunga mkono Biden, West na NATO....lakini most of Africa, Asia, Marekani ya kusini na Middle East wanaiunga mkono Russia....Mambo ni magumu yes sababu Putin hataki responsibilities - yaani ni sawa na wewe unapogombana na chizi dhaifu lakini ana kisu na panga.
TotaDunia lazima iwe makini ku-deal na mtu kama huyu ambaye anataka kuifanya Dunia iwe kwenye threat. He will be fixed ni suala la muda tu.
Mkuu huwezi kujadili kama mtu mzima? NATO kutopeleka askari Ukraine hakika so hofu ya roketi hiyo . . . wala ya ndege yoyote wala vifaru vya Urusi, wala wanajeshi au wafungwa wake . . . . Nadhani unaijuaKwa hiyo West iko salama ni vema ipeleke majeshi huko Ukraine
Mkuu sidhani yeyote anategemea Putin atimize matakwa ya wengine. Ila wengi wanataka aheshimu ahadi na mikataba ya nchi yake, kama vile huheshimu na kulinda uzima wa mipaka ya Ukraine (mkataba wa 1994) na mikataba ya Helsinki na mikataba na ahadi kuhusu kuheshimu na kutunza haki ya kimataifa.Yaani watu wanataka Putin afanye wanayotamani...et jamaa anasema nilitarajia, hiki na kile....blahblah.....[emoji1][emoji1]Watu wanajipa umuhimu ambao hawana kabisa....Yaani leo hii Putin aanze kufanyakazi kwa wishes na matamanio ya watu....??
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
anataka kuwapangia wa Ukraine nani awe rafiki yao na nani asiwe, hataki kabisa Ukraine kujihusisha na NATO kwa namna yoyote ile sababu kufanya hivyo ni kuhatarisha usalama wa Urusi.Mkuu sidhani yeyote anategemea Putin atimize matakwa ya wengine. Ila wengi wanataka aheshimu ahadi na mikataba ya nchi yake, kama vile huheshimu na kulinda uzima wa mipaka ya Ukraine (mkataba wa 1994) na mikataba ya Helsinki na mikataba na ahadi kuhusu kuheshimu na kutunza haki ya kimataifa.
Basi sawa andika barua uwasilishe hayo maombi yako ubalozi wa karibu wa Marekani. Ama anzisha jeshi lako ukampige North Korea au Russia
Unajua maana ya kuwaka?Mariupol toka jana panawaka, hii ni baada ya Ukraine kupokea GLBDS
Akiamini vile, sawa. Ila katika mikataba aliyowahi kukubali si shauri lake nchi nyingine inashirikiana na nani.anataka kuwapangia wa Ukraine nani awe rafiki yao na nani asiwe, hataki kabisa Ukraine kujihusisha na NATO kwa namna yoyote ile sababu kufanya hivyo ni kuhatarisha usalama wa Urusi.
Hebu nikuulize hivi wewe unajadili Kama mtu mzima?! Tangu lini?! Kuunga mkono imperialism na homosexuality ndio utu uzima huo?! Stupid, very stupid indeed..Mkuu huwezi kujadili kama mtu mzima? NATO kutopeleka askari Ukraine hakika so hofu ya roketi hiyo . . . wala ya ndege yoyote wala vifaru vya Urusi, wala wanajeshi au wafungwa wake . . . . Nadhani unaijua
Kwa kiswahili kasemaje huyu[emoji298][emoji298] the head of foreign ministry of Ukraine dymitro kuleba said that china's representative wang yi shared with the ukranian side the key points of the Chinese peace plan
The ukranian authority intend to examine it and draw conclusion [emoji298][emoji298]
kwa nini mkibananishwa mnakimbilia hoja ya ushoga ili kupata sehemu ya kijibanza? mnakuwa ka CCM wakati wa kujibu hoja za Lissu 😀 😀Hebu nikuulize hivi wewe unajadili Kama mtu mzima?! Tangu lini?! Kuunga mkono imperialism na homosexuality ndio utu uzima huo?! Stupid, very stupid indeed..