Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu USA haitaji nyukilia kumshambulia Russia ila Russia anahitaji nyukilia kumshambulia USA.
Eti ehh.
Either kwa makusudi au kwa kutoijua historia unaleta habari za dhihaka na kejeli.
Hakuna siku itatokea direct conventional warfare Kati ya great powers Kama Russia dhidi ya US,
Us Vs China
UK Vs Russia nk.
Bali kitakachotokea Ni proxywars ambazo hupata sapoti kutoka mataifa kinzani kiuchumi, kisilaha, ushauru nk. Hi tunaiona huko... eg
Syria( Russia) vs Us( freedom fighters Kama Fsa, Ahrar Al sham nk)
Russia vs Ukraine ( US)
North Vietnam Soviet Russia vs South Vietnam ( US)
Nk.
Hakuna aliye tayari kupigana Vita direct dhidi ya mwingine kwa kutumia conventional weapons. Conventional weapons Ni dhidi ya nchi dhaifu. Russia Ni great power US pia Ni great power.
Nb Coldwar imeonyesha namna ambavyo tension kivita ilikua kubwa Ukraine Cha mtoto. Nikumbushe TU mwaka 1973 advancement ya Egypt kivita dhidi ya Israel ilipelekea vitisho vya matumizi ya kinyuklia baina ya Soviet Russia na US.hawakutishiana conventional weapons

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wanato wa jf watabisha watasema haya sio maneno ya dt

SVO iendeleeee........ Trump amekosoa pia kitendo cha Rais Biden kuidhinisha pesa za kuisaidia Ukraine kwenye vita hivyo na kusema kufanya hivyo ni kama Marekani inachochea vita zaidi na kufanya Watu wengi waendelee kupoteza maisha “Namjua Putin hawezi kukubali kushindwa vita kwa kumtunishia msuli au kumuonesha ubabe, bali kwa njia bora za mazungumzo, Urusi imeshinda vita nyingi ina silaha na mbinu kibao za vita huwezi kuishinda kirahisi kwa kutumia mabavu”
 
Inasemekana kuna nchi ilikuwa yafanya majaribio ya ICBM wakati Biden yuko Kyiv ila failure ikatokea.
Inaonekana ushazoea habari za mipasho kiasi kwamba huwezi kujizuia kuzifanya kwa namna hiyo humu.
Unamuonea Nani aibu br Hadi unaleta mafumbo na mipasho?
Sema hivi Russia imefanya hivi na vile..
Sema hivi Us imefanya hivi na vile.
Nb
Kwa namna yoyote ile kufeli majaribio ya silaha duniani kote huwa Ni Jambo la kawaida ambalo hupelekea kupatikana kwa weakness za kurekebishwa kuelekea strength ya kinachotakiwa. Na ndo maana binafsi huwa nashangaa watu kubeza kufeli Mara kadhaa kwa test za hypersonic missiles za US.
Hizo Ni hatua tu kuelekea mbele zaidi kwa mafanikio zaidi.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Western expert says.
Mwaka huu watasema yote. Hii taarifa iliwahi kutafsiriwa na mshiksji mmoja humu ndani mwaka Jana.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Yaani hii DUNIA lazima ukubali kuna watu kama hao kina UKRAINE watapangiwa tu

Naukikubali kupangiwa utapangiwa naukikataa utapangiwa usipokubali unakula kifinyo kama anachokula UKRAINE

Unashangaa RUSSIA kumpangia UKRAINE ila hushangai US na shosti zake kuwapangia kina IRAN N.KOREA nawengini kumiliki silaha za NYUKLIA

UKRAINE hana adabu acha aadabishwe
 
Mataifa mengi sana yamepangiwa namna ya kuishi na US na shost zake ila wengine wamechemka

IRAN na N.KOREA hawa mifano ya wazi kabisa wanapangiwa kwamba waishi bila yakua na silaha za NYUKLIA

Twende pale VENEZUELA hawa mpaka RAIS alichaguliwa pale DC

UKRAINE kashapangiwa akubali asikubali nalazima atatii tu matakwa

Sababu mwisho wa hii SMO basi UKRAINE haitakua sawa nayakabla ya SMO kama bado itakuepo hapa DUNIANI
 
Super pawer anatengwa kotekote

[emoji298][emoji298]The International Olympic Committee (IOC) has stated that sanctions imposed on russian and belarusian athletes due to russia's full-scale invasion of Ukraine remain in force. [emoji298][emoji298]
 
Western expert says.
Mwaka huu watasema yote. Hii taarifa iliwahi kutafsiriwa na mshiksji mmoja humu ndani mwaka Jana.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu kama ungesoma chanzo kabla ya kujibu, ungeona mchango huu haukujadiliwa hapa mwaka jana. (sivyo lete chanzo). Makala inarejea maoni ya Dr Sidharth Kaushal (jina linaonekana ni Mhindi) aliyotoa kwenye Januari mwaka huu kwenye tovuti ya Royal United Services Institute for Defence and Security Studies.
Mkuu ukidhani unaweza kukwepa homework ukisoma to lugha Kama "Western Expert" na hii itoshe kumwaga ushabiki - hutafika mbali kuelewa mambo!
Kwa jumla naona Dk Kaushal ana maelezo mazuri kuhusu mashindano ya silaha ma kanuni zake, pamoja na tabia za Urusi kujivunia mapema--- The Zircon: How Much of a Threat Does Russia’s Hypersonic Missile Pose?
 
[emoji298]️ China’s foreign ministry said the country isn’t considering supplying Russia with weapons for use in its war against Ukraine, accusing the US and NATO of spreading falsehoods about China’s potential role in the war, CNN reported, citing Foreign Ministry spokesman Wang Wenbin.[emoji298]
 
Hivi Poland anashare mpaka na Russia?Mnaandika tu bila kuwa na uhakika na mnayoandika!
Nijuavyo Mimi Poland anashare mpaka na Ukraine!
Mkuu mbona unaanza ugomvi bila kuelewa kile unachojadili? Huna ramani? Kompyuta yako haionyeshi google maps?
Ona_
"The Poland–Russia border is 232 km long between Poland and Kaliningrad Oblast of Russia"
 
[emoji633]Spain will send six of its German-made Leopard tanks to Ukraine to aid in the country's fight against Russia, El País reported citing Spanish Defence Minister Margarita Robles.[emoji298]
 
Mpaka Leo sioni matunda ya maana kutokana na offensive ya urusi!

[emoji298]️New Russia's offensive has began in February and is going on 4-5 directions, representative of the Ukraine's Intelligence Vadim Skibitsky said.

Russia's main targets are Kupyansk in the Kharkiv region and Liman, Bakhmut, Maryinka, Avdiivka and Vuhledar in the Donetsk region.[emoji298]
 
Nipe mfano wa Aina yoyote ya silaha ya kirusi ambayo West huisifu kwa umahiri wake.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji298][emoji187] “Russia's new "big" offensive is already ongoing, but it is going in such a way that not everyone can notice, this offensive is of such quality,” Ukrainian Intelligence Chief Kyrylo Budanov said in an interview with Forbes Ukraine.

“The strategic goal of the Russian Federation is to reach the administrative borders of Donetsk and Luhansk Regions by March 31,” Budanov added.[emoji298][emoji298]
 
[emoji298][emoji1255][emoji187] Much of what is burning and exploding in Russia is no accident. Not only Ukrainians in Russia help with this – "money works wonders", Ukrainian Intelligence Chief, major general Kyrylo Budanov, told Forbes.[emoji298][emoji1255]
 
Mkataba wa START “Strategic Arms Reduction Treaty" aliouvunja Putin jana huu hapa... Huu ulisainiwa mwaka 2010 na pande zote mbili.

  • Deploying no more than 1,550 strategic nuclear warheads and a maximum of 700 long-range missiles and bombers.
  • A limit of 800 intercontinental ballistic missiles in deployment.
  • Each side can conduct up to 18 inspections of strategic nuclear weapons sites yearly to ensure the other has not breached the treaty’s limits.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…