kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Marekani kule Syria alialikwa?Hapana mkuu, kanuni za sheria ya kimataifa zinaeleweka kabisa.
Yeyote haruhusiwi kutumia vitisha au nguvu dhidi ya nchi nyingine. Sijaona hapa chochote kwamba Ukraine ilitumia nguvu dhidi ya Urusi au kutishi Urusi.
Donbas ni sehemu ya Ukraine, pia kufuatana na mapatano ya Minsk.
Aliyeingia kutoka nje ni Urusi ya Putin, tena kwa nguvu.
Hao Eastern Ukraine hawataki kuwa chini ya Kyiv administration led by Nazi extremist.[emoji298][emoji298]️EXCLUSIVE[emoji298]️Russians Rape Ukrainian Children in Occupied Territories –Mykola Kuleba
Twenty percent of all Ukrainian children are either in the Russian Federation or on occupied territory now. They are systematically stripped of their identity – and often much worse.
Watch the full video on our website.[emoji298][emoji298]
Propaganda zinakudanganya!!Hao Eastern Ukraine hawataki kuwa chini ya Kyiv administration led by Nazi extremist.
Kwa hiyo solution ni kuwabaka,sio??Hao Eastern Ukraine hawataki kuwa chini ya Kyiv administration led by Nazi extremist.
Ndio maana nawaambieni kwamba hata kishindo Cha mjusi akidondoka kwenye kolidor za clemlin,ni tishio kwa Putin,
[emoji298][emoji350] “Attention, attention, the threat of a missile attack!”
On the morning of 22 February, radio announcements of an air-raid warning and a missile strike threat were made in 10 Russian cities.
Later the Russian Emergencies Ministry said that it was a hacker attack.[emoji779]
Nakwambiaje nakwambiaje maneno kidogo, vitendo vingiKama Kuna mtu ana ndoto kwa Russia kushinda hii vita,basi akapimwe akili [emoji28]
[emoji298]️The US is providing Ukraine a long-range GPS-guided Jdam-ER bomb kit that’s capable of hitting targets 70 kilometers away, Bloomberg reported.[emoji298][emoji298]
Kwani uasi na kutoitambua serikari ya kyiev ulianzia Magharibi mwa Ukraine?Propaganda zinakudanganya!!
Lete ushahidi wa wazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo solution ni kuwabaka,sio??
Sitarajii kuiona T-14 Armata ndani ya miaka miwili. Ujue first time naiona ni 2015 mpaka leo iko kwenye development na testing. January hii niliona iko kwenye range. February kuna coverage imeonekana kwenye factory inatengenezwa ila unit ileile iliyoonekana kwenye coverage hiyo February ishaonekana palepale kwenye documentary ya Combat Approved zaidi ya mwaka nyuma. Kwa anayetaka kuongeza kitu kuhusu silaha za Urusi akatafute hizo episodes, nilishatazama zote uzuri nilianza nao mwanzo.Ni silaha thabiti ya kirusi. Ina uwezo wa kuruka hadi mita 15.
Kama hujasikia bado: Vifaru vya Kirusi hutembea vikitunza akiba ya grenedi moja kwa moja ndani ya chumba cha Kifaru. Kikipigwa, grenedi hulipuka, kuua askari wote 3 na kurusha kichwa cha bunduki juu.
Waliona ni udhaifu (kwa sababu matukio hayo huua askari wote ndani ya kifaru) na hapo walibuni aina mpya inayoitwa T14 Armata. Hapo grenedi hutunzwa katika chumba cha pekee ndani ya kifaru, sawa na vifaru kama Leopard au Abrams.
Ila hadi sasa tasnia ya Urusi imeshindwa kuvitengeneza T14 Armata. Hadi sasa kuna magari machache, labda 20, 30 yaliyotumiwa kwa madhumuni ya paredi.
Rais wa dunia katumia gari moshiJoe Biden dared to make a ‘brave’ visit to Kiev only after obtaining guarantees of security from Russia, Foreign Ministry Spokeswoman Maria Zakharova said during a briefing Wednesday.
"Biden did not dare to visit Kiev without warning Russia and without asking the Russian side to ensure his safety," she noted.
The spokeswoman noted that "the US leader’s visit was staged with drama, but, in reality, resembled a failed stage of in a provincial theater."
Nilikuuliza Poland ipi inayopakana na Urusi kuzidi Finland!!?? Maana ulisema Poland inashare mpaka mkubwa kuliko wengine ULAYA.Mkuu mbona unaanza ugomvi bila kuelewa kile unachojadili? Huna ramani? Kompyuta yako haionyeshi google maps?
Ona_
"The Poland–Russia border is 232 km long between Poland and Kaliningrad Oblast of Russia"
Kila Mmoja abaki na silaha zake ...atengeneze asitengeneze... START imesitishwa.... Si wakaingie na nchi ingine!!? Lazima Urusi!!?Mkataba wa START “Strategic Arms Reduction Treaty" aliouvunja Putin jana huu hapa... Huu ulisainiwa mwaka 2010 na pande zote mbili.
- Deploying no more than 1,550 strategic nuclear warheads and a maximum of 700 long-range missiles and bombers.
- A limit of 800 intercontinental ballistic missiles in deployment.
- Each side can conduct up to 18 inspections of strategic nuclear weapons sites yearly to ensure the other has not breached the treaty’s limits.
Mkuu ninakupongeza, angalau unajua kupiga herufi ya "aaaaaaaaaaa". Ila kuhusu mengine kuna mapengo kidogo katika mantiki.Marekani kule Syria alialikwa?
Libya nako waliombwa?
Iraq waliitwa?
Ameenda kutetea Wadonbas kama humanitarian rescues kama Marekani na Mnato wake walivyokwenda Libya[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama Mnato na Marekani wake walivyokwenda Iraq bila ruhusa ya umoja wa Mataifa.
Je wameshtakiwa?
Acheni mahaba special operation iendelee
Uraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nje kidogo ya mada. Kwanini uliamua kutumia T14 Armata kama ID yako ya JF mkuu?Sitarajii kuiona T-14 Armata ndani ya miaka miwili. Ujue first time naiona ni 2015 mpaka leo iko kwenye development na testing. January hii niliona iko kwenye range. February kuna coverage imeonekana kwenye factory inatengenezwa ila unit ileile iliyoonekana kwenye coverage hiyo February ishaonekana palepale kwenye documentary ya Combat Approved zaidi ya mwaka nyuma. Kwa anayetaka kuongeza kitu kuhusu silaha za Urusi akatafute hizo episodes, nilishatazama zote uzuri nilianza nao mwanzo.
Kuna mabadiliko testing units zinapitia mfano sloped angle ya front armour na mambo mengine. Hilo suala la carousel turret linaigharimu sana Urusi. Wameamua wawe kama Western ila watatumia autoloader ambayo Marekani hukataa kabisa, NATO wengine wanaweza kubali hiyo.
Hapa ni T-14 Armata ilivutiwa na recovery vehicle baada ya kufeli kwenye parade View attachment 2526819
Uralvagonzavod inajitahidi ila production capacity yake kwa units mpya ni ndogo, wanapenda sana modernization.
Tupe historia yako Nini kilitokea pale Somalia mpaka akaondoka harakaharaka!!??Yaani somalia iwakimbize US?
Hoja za kijinga kabisa hizi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Unalazimisha Urusi awe kakosea mahesabu! Unatamani iwe hivyo. Ukraine ilikuwa inataka kujiunga NATO ila wamekiri hawatajiunga tena. Upande wa mashariki umetwaliwa. Jeshi la Ukraine limeishiwa. Bila msaada wanayoipata kutoka west hakua kingechobakia. Sioni miscalculation hapo.Kukosea mahesabu kupo sana tu mfano uvamizi wa Marekani Iraq, vita ya Vietnam na hata Uvamizi wa sasa wa Urusi huko Ukraine.
Huoni sasa ndio wanaitumia Ukraine vizuri kwa kuipa silaha ili kummaliza vizuri Urusi ?
Huyo babu Putin alikuwa hataki Nato ijitanue mpaka mpakani mwake ila kwa kuivamia Ukraine ndio kawafungulia Nato njia kumsogelea mpaka uani (Finland).
Mkuu huna kipaji kujitetea ukikosolewa. Wapi nilisema Poland ina mpaka mrefu kuliko Finland? Wewe ulikana eti hakuna mpaka kati ya Poland na Urusi, #104,175 Ulimjibu ulimi waupanga naye hakusema mpaka wa Poland ni ndefu kuliko Finland!Nilikuuliza Poland ipi inayopakana na Urusi kuzidi Finland!!?? Maana ulisema Poland inashare mpaka mkubwa kuliko wengine ULAYA.