Hii mashoga hayawezi kuissema kokote wala kutangaza hamnaaaWamarekani wanamshutumu Baiden kwa kutumia mabilion ya walipa kodi kudhamini vita nchini Ukraine badala ya kutumia hizo fedha kukabiliana na ugumu wa maisha ya wamarekani.View attachment 2526952View attachment 2526953View attachment 2526954View attachment 2526955View attachment 2526956View attachment 2526957View attachment 2526958View attachment 2526959
Mbona Hujasema amezungumzia mashoga kugeuzana hovyo kisengele nyuma??
Kuna vita vilivyopiganwa miezi?? Wakati mwingine jaribuni kuficha ujinga kidogo.Baada ya mwaka mmoja wa uvamizi bado Ukraine wanapambana.
Ona matatizo waliyo nayo ndugu zako.Washuhulikie kwanza matatizo ya nyumbani kwao.Upuuzi wanaofanya duniani haulingani na matatizo waliyo nayo kwao.Jana walichinjwa zaidi ya mia Tisa!!View attachment 2528545
Wameanza kunena!!!...yaleyale aliosema Trump...juzi...Pro NATO...humu wakaanza kumponda kwamba ni mbabaishaji...!!! leo Comedian kanena...hakuna anaeweza kusimama na Russia in a Combat Zone...,,, na Putin alisisitiza juzi ..No one can defeat Russia in a Combat Zone...!!!..[emoji1255][emoji635][emoji631]At a press conference for the media, Zelensky said that no country could stand up to Russia on its own. However, he then added that the United States could. "Probably the US could, but, fortunately, they have no borders with the Russian Federation," - Zelensky
Hebu tutumilie hapa origin ya hiyo copy tuisome na sisi.Mbona unakopy andiko kutoka vyanzo na kutafsiri kwa Google translator then unatuletea. Unatuangusha.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Sasa hivi tuko busy arabuni huko tukifanya maonesho ya vitu vipya. Hivi vilifanyiwa marekebisho huko Ukraine bila west kujua.Haaaaaaaa wapi russia anaunda vinu vipya vya hatari sasa hivi vinatengenezwa kwa wingi siku si nyingi vifaru visivyo na binadamu tunavituma mstari wa mbele vyenye high tech ukrain huu mwaka ukimalizika bila kuchukuliwa yote au asilimia 80% sijui labda urussi itumie njia nyepesi ya kuteketeza ukrain na nato kama iliyo tumia hivi majuzi kwa kuwa tengenezea machinjio kisha kurudi nyuma kidogo na kufyeka maelfu ya askari wa ukrain na nato na kuteketeza vifaa vya kivita
Zelensky kachaguliwa na raia wa Ukraine kidemokrasia, hayo ya kuandaliwa ni ya kwako....Zelensky kaandaliwa yule....aje pale...hv kujidai kote huko kwa Zele..toka mwanzo...ni kwa sababu ipi..??...Ukrein alikuwa na jeshi la kupambana na Russia..??...
Vipo vingi tu, vingine ndani ya siku 6 tu.Kuna vita vilivyopiganwa miezi?? Wakati mwingine jaribuni kuficha ujinga kidogo.
Hapa ndo huwa naamini hii dunia nyuma ya marekani na west kuna watu wanaotoa orders zote hizi, maana haimake sense for anyone kuruhusu mambo ya ushoga and i dont believe even Joe Biden na wenzake wanaweza kufurahi watoto wao wa kiume waolewe na mwanaume, au wao waoe mashoga.Sio waione tu, tuwaulize wapo tayari kuona watoto wao wa kiume wakisoma hayo masomo?? Wako tayari mtoto wake wa kiume amletee mkwe ambaye ni jinsia ya kiume?
Nina hakika hili swali hawatojibu. Na kama hawatojibu ndio ujue hawa wenzetu wapo hapa kutetea maslahi fulani, labda na wao ni jinsia hizo
- Biden Mwenyewe alishasema vita dhidi ya Urusi ni kitu cha kukiepuka kwa nguvu zoteWameanza kunena!!!...yaleyale aliosema Trump...juzi...Pro NATO...humu wakaanza kumponda kwamba ni mbabaishaji...!!! leo Comedian kanena...hakuna anaeweza kusimama na Russia in a Combat Zone...,,, na Putin alisisitiza juzi ..No one can defeat Russia in a Combat Zone...!!!..
Maninaa...!!! Wabongo wa Buza ndani ndani huko wanakuambia ..Russia sio tishio kabisa kwa NATO...,,,labda China...haya sasa Zele huyooo anakiri kwa ulimi...mbele ya Camera
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
kp kipanya44 aione hii pamoja na yule mpiga punyeto 😁The United States imposed sanctions against the Zaporozhye nuclear power plant, the US State Department reported.
So the United States has unofficially declared that the Zaporozhye nuclear power plant is an asset of the Russian Federation
Wahindi hawawezi kuwatenga Warusi siku hata moja. Wanajua Russia Ni nani!
Ni Russia iliyosimama kidete kuizuia England na Us kuwavamia wahindi katika Rasi ya Bengal miaka ya Coldwar. India ikiwa inaelekea kuangamia kwa makombora kutoka Submarines ghafla waingereza wakagundua jambo... Oh Admiral Soviet are here! Basi wakaahirisha uvamizi Soviet Russia Navy ilikua tayari kulinda India. Waingereza na Wamarekani wakaondoka kwa aibu.
Leo wamtenge Russia kisa ujinga wa kujitakia wa Zeleboy?
Ni Russian waliowasaidia India kuwa nuclear power miaka 20+ iliyopita. Powerfully India is here to stay kwasababu ya nuclear technology tokA kwa warusi.
Mwaka 1986 kwa kuwaamini zaidi wahindi S Russia iliwauzia state of the Art air superiority fighter jet by the name Mig 29.
India Wana mengi ya kufanya kubaki zaidi kuwa rafiki zaidi wa Russia kuliko adui wa Russia .
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app