Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]ukrainian flag raised over the Reichstag building in Berlin, Germany, to mark the first year of the russian invasion of Ukraine.[emoji298]
 
Ndege za Russia zinaruka zikiwa Ndani ya Russia cause zikifika huko zitatunguliwa, ndio maana Bado kuna mjadala kuhusu kuipa Ukraine ndege vita, cause Nawao wataweza kushambulia wakiwa Km300 nyuma
Howitzers, Artilleries na Vifaru vimechukua umuhimu mkubwa sana kwenye hii Vita kuliko ndege Vita ndio maana udhibiti wa anga umekuwa mgumu pande zote,

Ila 'drones' zimetumika sana pia.
 
Report unaifatilia wapi na sisi tuione?
 
Wagner wanasonga kwa Kasi sana

Wagner are developing a rapid encirclement of Bakhmut. The speed of the offensive has reached one full settlement a day, even faster. Yesterday Berkhovka was liberated - today Yagodnoe.

On northern front of Bakhmut arc are Orekhovo-Vasilevka & Bogdanovka, fairly large villages,
 
Russia anapendekeza Lend Lease kutoka China

Marekani imesema itamuwekea vikwazo vikali sana ikiwa atampa Urusi silaha.

China kwa upande mwingine atataka apewe ardhi yake iliyotwaliwa na Russia

Russia hupoteza vifaru 60 kwa wiki, wakati ana uwezo wa kutengeneza vifaru 60 kwa mwezi
 
Duh! Mambo magumu
 
Mbona hizo ni kama precision air tu kwa mrusi.
 
"Special Operation" waliodai ingechukua siku tatu sasa imegeuka kuwa vita kamili na imechukua zaidi ya mwaka,Ukraine bado imara na Urusi imepata hasara kubwa;vifaa na wanajeshi wake kufa 🤣
Ukraine haijawahi kuwa imara bila misaada. Ukraine ni sawa na malaya anayejitapa kuwa she can pay her own bills wakati anadanga waume za watu ili apate hela ya kodi na ya kuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…