KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,985
- 3,254
Aisee!VIDEO
View attachment 2531909
Mwanzo Nilijiuliza Kwanini Wagner wanatumia Ghalama Kuhifadh Miili ya Wanajeshi wa Ukrein Kisha Kupeleka Kwa Wahusika Wa Ukrein
Kumbe lengo kuu ni Kuhakikisha Serikali ya Ukrein Inawapa Familia ya Wanajeshi hao Haki zao yaani Wasizingishie kuwa Wame Miss nakutotoa Stahiki zao kwa Familia
"Here are the bodies of the AFU soldiers,who were destroyed during assault,being prepared to be given to the Ukraine side"
P.S. "Wagner" is sending the bodies to Ukraine so Ukraine can't deny that someone is missing and not paying the family of the "missing soldier" compensation...
Muwe mnasoma coment za nyuma ..mshaambiwa jamaa co muislam happy anafanya dhihakaMashee shehena mna mbwembwe sana
"If Bakhmut is completely eliminated as a defensive position, Ukraine loses the strongest front fortification: The Russian troops can then advance over flat open terrain to the cities Kramatorsk and Slovyansk. In addition, Kremlin's success at Bakhmut”
Safii [emoji28][emoji16][emoji51]kwani mkuu wewe unajuaje impact ya vikwazo kwa warusi wakati media zinazokupa taarifa zinatawaliwa na serikali?
Zikajaribu kuonekana tu kwenye uwanja wa vita.Si tumeambiwa Poland ameshatuma Leopard Tanks. Je, ziko wapi kuja kusaidia. Maana jahazi linazama.
Yaani siku ya kufa nyani miti yote haionekani.Ngoja nikusaidie, maana kuna uwezekano, tuna uelewa tofauti sana.
1. Main purpose of Western Sanctions was to destroy Russia economy. Lakini IMF & World Bank, wanasema kwenye statistics zao kwamba, Russia economy is growing by 2.5%
2. Another purpose is to stop this SMO. Yaani sanctions zimfanye Russia aachane na hii SMO. Lakini tunaona bado SMO inaendelea na maeneo yanazidi kuchukuliwa
3. Another purpose ya Sanctions ni kufanya Russia atengwe na nchi zingine (nje ya Western Countries), lakini tunaona bado nchi zinashirikiana na Russia hata Tanzania sisi jana/juzi kuna meli ya Russia imetia nanga hapo Bandari ya Tanga na kushusha mzigo
Sasa kwa mtu mwenye akili timamu, akiangalia malengo ya Sanctions, anaona hayajatimia. Kwa hiyo Sanctions haijaweza kufanya kazi.
Sasa unapoweka tena sanctions ukitarajia eti utapata matokeo mapya/tofauti sasa hapo wewe ndio unakuwa kichaa na definition ya Albert Einstein inakuwa inatumika.
Mkuuu ...mtu kawekewa vikwazo 14,000 na mamia huko lakini wapi .....Bado wanaumia wao....Ngoja nikusaidie, maana kuna uwezekano, tuna uelewa tofauti sana.
1. Main purpose of Western Sanctions was to destroy Russia economy. Lakini IMF & World Bank, wanasema kwenye statistics zao kwamba, Russia economy is growing by 2.5%
2. Another purpose is to stop this SMO. Yaani sanctions zimfanye Russia aachane na hii SMO. Lakini tunaona bado SMO inaendelea na maeneo yanazidi kuchukuliwa
3. Another purpose ya Sanctions ni kufanya Russia atengwe na nchi zingine (nje ya Western Countries), lakini tunaona bado nchi zinashirikiana na Russia hata Tanzania sisi jana/juzi kuna meli ya Russia imetia nanga hapo Bandari ya Tanga na kushusha mzigo
Sasa kwa mtu mwenye akili timamu, akiangalia malengo ya Sanctions, anaona hayajatimia. Kwa hiyo Sanctions haijaweza kufanya kazi.
Sasa unapoweka tena sanctions ukitarajia eti utapata matokeo mapya/tofauti sasa hapo wewe ndio unakuwa kichaa na definition ya Albert Einstein inakuwa inatumika.
Tumeambiwa tusubiri mpaka May ....tutakomajeeee ikifika May.Si tumeambiwa Poland ameshatuma Leopard Tanks. Je, ziko wapi kuja kusaidia. Maana jahazi linazama.
Chanzo chá habar.Unajua kwamba tangu Februari mwaka jana Urusi anazalisha nusu ya silaha zote duniani?
Urusi sio Zimbabwe! Walijipanga wakawatangulia NATO mbele ya wakati
uraaaaaaa1. de-nazification
2. de-militazation
3. de-dollarization
Welcome MULTIPOLAR WORLD
Za Hapo juzi juzi zimeisha?[emoji298][emoji298]US Sending Ukraine Another $1 Billion, Yellen Says in Kyiv
US giving Ukraine more substantial financial aid and says it expects Kyiv to keep up efforts to curb graft.
Read more on our website.[emoji298]