Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dogo anajikanyaga anafikiri marekani halisi ni kama kwenye movie za Rambo na maiko dudikof 🤣🤣🤣
 


Si ndio nyie mlikuwa mnasema Russia ni super power wa mchongo!!?--- leo imekuaje tena?? Unalalamika juu ya kinzhal na shaheed lakini umesahau Himars, Javellin, Abrams, Leopards nk silaha kali anazopewa Ukraine.
 
Porojo hizi.
US apigwe na Russia kwa bajeti ipi?
Vita ni bajeti kubwa ili ukae uwanja wa mapambano muda mrefu.
Vita ni akiba ya mafuta ghafi
Vita ni akiba ya chakula
Vifa ni vifaa
Vita ni wana sayansi
Huyu Russia anampiga US kwenye nn?
Tuache porojo
Unazungumzia mashindano ya utajir wa bajeti au unaxungumzia VITA mkuu...in english "WAR" unafkiri USA anafurahia mabilion yake kuteketea pale Ukra na makamanda wake?

Kwanini asipeleke kikosi kilichommaliza Osama pale kikaondoka ndan ya siku 3? Jibu ni moja..kuna mtu atakua majivu km hiroshima na nagasaki...within 3hrs..na hajuna bajeti inayoweza kuzuia hiyo "ash umbrella"
Achana na vita kiongozi, pale ukra wanafanya testing ya visilaha na vindegendege bob ili wapate masoko watu wapige hela..ni matangazo ya biashara pale, japo yanachukua uhai wa watu

Matajiri wa hizo kampuni za silaha wao hawajali, ni sawa na wauza dawa za kulevya...wanachojali ni pesa imeingia basi..wewe unaekufa kwenye matangazo yao ulisaini mwenyewe kwamba kifo ni haki yako labda uwe umeshastaafu au umefukuzwa kazi..
 
Kazi inaendelea [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Significant:
North of #Avdiivka, Ukrainian sources confirm that Krasnogorivka is under #Russian control. Meanwhile, fights take place at Kamyanka where RU has advanced.

The situation is looking tense
 
Wazee wa machepe wakiwa mzigoni na machepe yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Hakika BBC wametukosea sana mwaka huuView attachment 2547003
Sijajua kwanini hizi bunduki zao wamefunga viwambo vya risasi ili mlio usisikike wakati wa mapigano au lengo lionekane wanatembea wameishiwa risasi kama prigo anadai huku Minato ikipukutika.
 
Porojo hizi.
US apigwe na Russia kwa bajeti ipi?
Vita ni bajeti kubwa ili ukae uwanja wa mapambano muda mrefu.
Vita ni akiba ya mafuta ghafi
Vita ni akiba ya chakula
Vifa ni vifaa
Vita ni wana sayansi
Huyu Russia anampiga US kwenye nn?
Tuache porojo
Mkuu ambacho Russia hana hapo ni kipi?! Wakati hata USA inamtegemea Russia Kwa chakula mafuta na hata mafuta ya nukes. Wewe utakuwa huna ujualo ila unajua porojo.
 
Kuna Kauli moja Mrusi Alisema
Silaha Anazopewa Ukeein Hazita Badili Kitu chochote Kwenye Op au Malengo ya Urusi
Zaidi

Zitaongeza Hatari

Porojo hizi.
US apigwe na Russia kwa bajeti ipi?
Vita ni bajeti kubwa ili ukae uwanja wa mapambano muda mrefu.
Vita ni akiba ya mafuta ghafi
Vita ni akiba ya chakula
Vifa ni vifaa
Vita ni wana sayansi
Huyu Russia anampiga US kwenye nn?
Tuache porojo
Ila we jamaa
 
mipumbav ya afrika haiez elewa , mpk siku Urusi izivamie nchi za afrika ndipo yatapata akili , wao kaz kusema mbona fulan alivamia sehem fulan , ukimuuliza ulitaka ukraine ifanyej baada ya kuvamiwa anakaa kimya , Urusi wakorof sana 2014 Urusi alipora Crimea ,Ukraine alikaa kimya sababu hawakutaka vita , Urusi akanogewa akaona dunia imemkalia kimya akaamua aivamie kbs Ukraine yote akiamin dunia itakaa kimya pia , weng hawaelew attitude ya Urusi wao wanahisi majiran wa urusi ni wajinga ila wao wasioijua hata serikali ya Urusi ndo wanaijua zaid Siasa ya hapo mashariki ya Ulaya na jiran yao Urusi
 
ukikosa hoja jifunze kukaa kimya , mnakuwa kama vichaa mnaipenda sehem isiyo yako wala isiyokutambua wala kukujali kwa lolote kias kwamba unataka usikie inasifiwa tu , Ndio zile takwimu za kati ya watz 4 bas 3 ni vichaa Inazid jithibitisha , JIBU KWA HOJA NAAMIN UNAJUA KUSOMA NA KUANDIKA
 
Nyie wazee wa rainbow mtaisoma namba, tutapinga ushoga mpaka mwisho
 
Mpeni ukweli ataelewa na kujifunza Dunia ina mambo mengi sana.
Kwa sasa kuna kila dalili kuwa USA na washirika wake wapo karibu na shimo mana kila silaha inayopelekwa uwanja wa vita adui anaiangamiza hii ni hatari kwa sababu bado hajui adui anatumia mbinu gani kuangamiza silaha zake.
BTW Urus atashinda hii SMO.
 
Mzee hana sauti kabisa[emoji23][emoji23]. UN ni kichaka cha US kupitisha Agenda zake
Wakati mwingine kwa kutumia ongo na mpaka vitisho - umafia mafia tu mradi walazimishe kupitisha walipendalo - wamekuwa kero kubwa Duniani mataifa mengine wanamvumilia kwa kuwa hawana jinsi.

Sasa akijitokeza kiongozi jasiri na mwenye busara kama Putin na wenzake wenye lengo la kukomesha ujinga wa USA wa kujiona yeye zaidi na ana uwezo mkubwa wa kukoromea mataifa mengi Duniani ili yatekeleze yeye alipendalo or else - baadhi ya watu wanamuona Putin ni mbaya kwa sababu hawaelewi kwamba Putin na baadhi ya wenzake ndio wenye uwezo mkubwa wa kukomboa Dunia dhidi ya majahili hawa walio kubuhu.
 
Pendelea zaidi kusikiliza kuliko kusikilizwa.

Malalamiko ya Putin pale Ukraine na Georgia ni yapi?
Georgia na Ukraine ni nchi huru wala hazijawai jihusisha na lolote ndan au krb na Urusi kwann yeye Urusi ajione mwamuz wa nchi huru zinazomzungumka ? Hao hawataki kutumika kama guard ya Urusi dhidi ya Ulaya , hizo nchi zilikuwa neutral kwa miaka zaid ya 25 yaan hazikuwa na ukaribu na ulaya either kisiasa au kiuchumi huku urusi akikaa meza moja na hao mabeberu meza moja na kunywa nao then akirud mashariki ya ulaya anawaambie wenzie hakuna kuwa krb na ulaya , Kama ni wewe ungekubali huu uzuzu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…