Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1255][emoji298] russian forces continue to suffer extremely heavy losses in Ukraine during their full-scale aggression against the country.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji1255]From February 24, 2022 to March 12, 2023, the Armed Forces of Ukraine eliminated about 159,090 russian military personnel, including 1,090 soldiers over the past day.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Na wewe unamiini jeshi la nato lina uwezo wa kupambana na russia?? Kama iliwachukua miaka 20 kupambana na Taliban na bado nato walikmbia huku mikia wameibana tumboni leo ndio wapigane na dubu?? Hali hautakuwa nzuri kwa lgbtq
 
Mwaga darasa, mwaga darasa,mwaga darasa,watu wamelemazwa na Hollywood movies.
 
Mkuu sielewi unapolenga. Leopard zinaanza kufika Ukraine, askari wa Ukraine saa hii wako kwenye mafundisho katika nchi mbalimbali jinsi ya kutumia vifaru vya NATO na karibuni Leopard nyingine pamoja na Challenger na Abrams zitafika uwanjani.
Ila T14 Armata hazitafika kwa sababu haziko, Urusi ilitengeneza chache zilizoonyeshwa kwenye paredi lakini walikosa pesa na vipuli kutoa idadi yoyote juu ya zile 20 hivi zilizopo.
 
[emoji1255][emoji298] russian forces continue to suffer extremely heavy losses in Ukraine during their full-scale aggression against the country.[emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na wao wanasemaje baada ya wenzao kupoteza wanaenda mbele au kurudi nyuma ili tupate thamani ya kilichoandikwa
 
Kile kimakaanga Air defence kikaingia underground chimbo kuwafokoa maofisa wa NATo kwenye command centre 🤣🤣🤣
Sasa nimeelewa kwa nini zelensky alimuuliza zaidi ya mara 10 waziri mkuu wa israil wa nyakati zile.....

"Una uhakika bwana makoleo putin hatoniangamiza"

Muhuni anachimbua mpaka handaki halafu eti ashindwe kumtwanga mla unga aliyepo juu ya ardhi pale kiev
 
Moja ya kitu ambacho sikijui na hukijui ni kupata classified information, hata USA hajui uhakika wa kijeshi na vifaa vya Russia na vis vesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…