mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani Urusi apeleke T-14 Armata wakati kuna T-90 M na pia kuna upgrade ya T-80 na T-72 .au ulijui ilo unataka kuelekezwaMkuu sielewi unapolenga. Leopard zinaanza kufika Ukraine, askari wa Ukraine saa hii wako kwenye mafundisho katika nchi mbalimbali jinsi ya kutumia vifaru vya NATO na karibuni Leopard nyingine pamoja na Challenger na Abrams zitafika uwanjani.
Ila T14 Armata hazitafika kwa sababu haziko, Urusi ilitengeneza chache zilizoonyeshwa kwenye paredi lakini walikosa pesa na vipuli kutoa idadi yoyote juu ya zile 20 hivi zilizopo.
Pale ni eneo la kujaribia silaha. Hadi Iran ameonyesha anaweza kuuza. Zele ni falaUnazungumzia mashindano ya utajir wa bajeti au unaxungumzia VITA mkuu...in english "WAR" unafkiri USA anafurahia mabilion yake kuteketea pale Ukra na makamanda wake?
Kwanini asipeleke kikosi kilichommaliza Osama pale kikaondoka ndan ya siku 3? Jibu ni moja..kuna mtu atakua majivu km hiroshima na nagasaki...within 3hrs..na hajuna bajeti inayoweza kuzuia hiyo "ash umbrella"
Achana na vita kiongozi, pale ukra wanafanya testing ya visilaha na vindegendege bob ili wapate masoko watu wapige hela..ni matangazo ya biashara pale, japo yanachukua uhai wa watu
Matajiri wa hizo kampuni za silaha wao hawajali, ni sawa na wauza dawa za kulevya...wanachojali ni pesa imeingia basi..wewe unaekufa kwenye matangazo yao ulisaini mwenyewe kwamba kifo ni haki yako labda uwe umeshastaafu au umefukuzwa kazi..
Kwa mara ya kwanza kabisa tumeshuhudia F-22 ikiperform first Air to Air combat kwa kuliangamiza puto la wachina(lisilo weza kujilinda) mwaka huu pamoja na kwamba ndege hii iko tayari kwa mapambano toka 1995. Je kwa mfano wako wa T 14 Armata unajaribu kutwambia nini kuhusu hii Air Superiority Fighter kiboko ya maputoIla T14 Armata hazitafika kwa sababu haziko, Urusi ilitengeneza chache zilizoonyeshwa kwenye paredi lakini walikosa pesa na vipuli kutoa idadi yoyote juu ya zile 20 hivi zilizopo.
Na iyo taarifa ya kukosa vipuri umeitoa wapi maana tunaona kiwandani vinaendelea kutengenezwa.ebu tuambie iyo taarifa ya kukosa vipuri na idadi kuwa 20 tu umeipata wapi?Mkuu sielewi unapolenga. Leopard zinaanza kufika Ukraine, askari wa Ukraine saa hii wako kwenye mafundisho katika nchi mbalimbali jinsi ya kutumia vifaru vya NATO na karibuni Leopard nyingine pamoja na Challenger na Abrams zitafika uwanjani.
Ila T14 Armata hazitafika kwa sababu haziko, Urusi ilitengeneza chache zilizoonyeshwa kwenye paredi lakini walikosa pesa na vipuli kutoa idadi yoyote juu ya zile 20 hivi zilizopo.
Kile chuma ni hatari mkuu.kinakufata huko huko kwenye military bunker.bado wanaficha ficha ila muda sio mrefu tutapata ukweli ya list ya majenerali wa Nato waliokuwepo eneo la tukio
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Was this Longest range ATGM kill in Ukraine?
Russian Kornet-EM ATGM crew destroy a moving Ukrainian army truck carrying soldiers
Calculated range: 7.6-8km
This is assuming a speed of 300m/s with a 140/170m/s^2 acceleration
They likely used a 9M133F-3 high explosive missile
Ndio naamini kwamba majshi ya NATO yangefyeka jeshi la Kirusi moja kwa moja. Siyo kama wangelenga kuvamia na kuteka Urusi, hapo nchi hiyo ni kubwa mno. Kutokana na ukubwa uso wa vita ungebadilika na kuhamia vita ya migambo kama Afghanistan. Lakini vita ya jeshi dhidi jeshi - hakuna shaka.Na wewe unamiini jeshi la nato lina uwezo wa kupambana na russia?? Kama iliwachukua miaka 20 kupambana na Taliban na bado nato walikmbia huku mikia wameibana tumboni leo ndio wapigane na dubu?? Hali hautakuwa nzuri kwa lgbtq
Na akimalizana na Ukreine kituo kifuatacha ni kuweka kambi ya kijeshi kwa Fidel (Rip) Huyu changu merikani anataka kututibulia Dunia mwehu kabisa, Mangi nimeandika R.I.P Tarimo.Yalimpata yepi au unataka kujisifia tu. Russia aliamua kuheshimu makubaliano ambayo US amekuja kuyavunja 2014 kupitia Ukraine. Matokeo yake ndio hii vita inayoendelea Ukraine + NATO against Russia.
Kaka/ Dada upo BAKITA nini?! unavyoandika hivi unamkomoa nani?Huna cha kuonyesha kwamba Urusi inalipa Wagner kwa njia hiyo (gharama ziko, hasa kwa risasi). Prigozhin anatumia pesa yake na ya wafadhili wake, pamoja na faida anayopata kwenye unyonyaji wa nchi za Afrika alipopata mikataba
Ndio naamini kwamba majshi ya NATO yangefyeka jeshi la Kirusi moja kwa moja. Siyo kama wangelenga kuvamia na kuteka Urusi, hapo nchi hiyo ni kubwa mno. Kutokana na ukubwa uso wa vita ungebadilika na kuhamia vita ya migambo kama Afghanistan. Lakini vita ya jeshi dhidi jeshi - hakuna shaka.
Afghanistan ni kitu tofauti. Urusi ilipigwa Afghanistan wakibana mkia hadi tumboni. Vita ya aina hiyo kama wewe si tayari kuua sehemu kubwa ya wananchi raia huwezi kushinda. Urusi na Marekani wote hawakuwa tayari kufanya hivyo na kiuchumi Afghanistan haikuwa na ahadi ya faida kubwa ya karibuni . . .
Huna cha kuonyesha kwamba Urusi inalipa Wagner kwa njia hiyo (gharama ziko, hasa kwa risasi). Prigozhin anatumia pesa yake na ya wafadhili wake, pamoja na faida anayopata kwenye unyonyaji wa nchi za Afrika alipopata mikatabaNa pesa Ulaya wanazolipia gesi ya Urusi ndiyo Urusi anazitumia kuwalipa Wagner wanaopigana Ukraine.
20 ni idadi iliyoonekana hadi sasa ya T14-Armata. Uwanjani hakuna hata 1 iliyofika, nisipokosei. Ukiwa na taarifa tofauti -lete! Pamoja na picha!Na iyo taarifa ya kukosa vipuri umeitoa wapi maana tunaona kiwandani vinaendelea kutengenezwa.ebu tuambie iyo taarifa ya kukosa vipuri na idadi kuwa 20 tu umeipata wapi?
Silinganishi ndege na vifaru. Isipokuwa F22 iko na Armata haiko.Kwa mara ya kwanza kabisa tumeshuhudia F-22 ikiperform first Air to Air combat kwa kuliangamiza puto la wachina(lisilo weza kujilinda) mwaka huu pamoja na kwamba ndege hii iko tayari kwa mapambano toka 1995. Je kwa mfano wako wa T 14 Armata unajaribu kutwambia nini kuhusu hii Air Superiority Fighter kiboko ya maputo
Mkuu bila shaka wewe u jenerali mkubwa na sisi sote tunasubiri kitabu chako unapoeleza siri za uongozi. Mfano siri ya kutuma vifaaa vingi visivyo na uwezo uwanjani kwanza ili viharibike. Na pia askari wenye mafunzo na utaalamu wa kuendesha vifaru kwanza wafe, ila baada kuharibika kwa vifaru 1000, 2000, elfu ngapi?) utatoa silaha zako nzuri zitakazofyeka maadui.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani Urusi apeleke T-14 Armata wakati kuna T-90 M na pia kuna upgrade ya T-80 na T-72 .au ulijui ilo unataka kuelekezwa
Izo ndizo zinawapa mkong'oto wa maana NATO huko Ukraine. Wala sio stealthy, wanaziona vizuri tu kwenye Radar, ila hakuna wanachoweza kuzifanya.Wakuu,
Kwenye pita pita zangu leo, nimejifunza kuhusu, avangard and kinzhal hypersonic weapons.
Hivi ni hypersonic missiles mbili tofauti kabisa:
The Avangard is a Russian hypersonic glide vehicle that can be carried as a MIRV payload by the UR-100UTTKh, R-36M2 and RS-28 Sarmat heavy ICBMs. It can deliver both nuclear and conventional payloads
The Kh-47M2 Kinzhal (in Russian: Х-47М2 Кинжал, "Dagger", NATO reporting name Killjoy) is a Russian nuclear-capable hypersonic air-launched ballistic missile.
Wanasema kwamba jana huko Ukraine, iliyotumika kuwapiga ni Kinzhal hypersonic missiles. Na zilikuwa 6 tu. Zingine ni normal missiles.
Sasa unaweza kuelewa ni kwa nini zilitumika hizo special Kinzhal - ofcoz ni kwa sababu ya commanding centers za NATO.
Hizi Kinzhal missiles ndizo hazifati normal trajectory za physics.
ww unajuaje kama T14 viko 20 tu,,,, Wabongo bwana...yaani ww Mtanzania haijalishi uko eneo lipi...una habari ya kwamba Russia ana aina ipi ya silaha na kwa idadi ipi...!!!.. hv hujionei huruma kweli?...Silinganishi ndege na vifaru. Isipokuwa F22 iko na Armata haiko.
Huna cha kuonyesha kwamba Urusi inalipa Wagner kwa njia hiyo (gharama ziko, hasa kwa risasi). Prigozhin anatumia pesa yake na ya wafadhili wake, pamoja na faida anayopata kwenye uporaji wa nchi za Afrika alipopata mikataba ya ulinzi akiweza kuchukua dhahabu, almasi, mafuta na malighafi nyingine.Na pesa Ulaya wanazolipia gesi ya Urusi ndiyo Urusi anazitumia kuwalipa Wagner wanaopigana Ukraine.
Soma hapo chini. HAdi leo hata T14 Armata moja haikuonekana. Inaonekana jambo hili ni aibu kubwa kwa wizara na kampuni. Nukuu chini huwa na links kwa vyanzo. Mbali na hivyo vifaru vichache vilivyoonyeshwa kwenye paredi (chini ya 10) vingine vinanipa picha ya matangazo tu . . . .ww unajuaje kama T14 viko 20 tu,,,, Wabongo bwana...yaani ww Mtanzania haijalishi uko eneo lipi...una habari ya kwamba Russia ana aina ipi ya silaha na kwa idadi ipi...!!!.. hv hujionei huruma kweli?...
punguza ujuaji usiokuwa wa msingi bwana..., kama CIA, MI6 na mashirika kibao ya West yenye kila aina ya experties wamefail kumsoma Russia ... kila siku wanaongea hili....kumbe sio...yaani hamna kitu ya maana wanayoiongea ...ila ww ndugu yetu yaani unasimama kabisa na kutupanga kwamba T14 ziko 20...umetoa wapi hii habari..???
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Aliekua anamtegemea kagwaya,unadhani yeye atakua na jeuri?Maana alikuwa na kiherehere sana mwanzoni
Nasikia mzee Biden mzigo uligonga n kurudi Tena aliposikia hiyo habari yaani[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Na kibaya zaidi nilisoma mada moja kua kikosi Cha nyukilia Cha Urusi kilichokuwepo Cuba,kilipewa ruhusa kabisa na serika ya Urusi kua kikiona Kuna kitisho chochote Cha usalama,hakuna haja ya kuomba ruhusa Moscow kutumia silaha za nyukilia.KunA SHARTI JINGINE LA SOVIET Union lilitekelezwA Marekani nalo ni kwamba silaha za nyuklia za USA/NATO zilizoko Uturuki ziondolewe haraka....Marekani alitekeleza sharti hili pia.