kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Ngoja askari wa urusi waendelee kusagwasgwa huko battle front, kenge hasikii mpaka damu zimtoke masikioni [emoji16]Hivi unafikiri USA wako tayari kurisk kuvitanua zaidi hivi vita? Kuna baadhi ya mambo ambayo RUSSIA anajizuia sana kuyafanya na ndio maana hii aniita SMO.Hivi juzi kuna Jenerali mmoja wa RUSSIA karudishwa nyumbani kwa sababu alitoa tamko kuwa njia sahihi ya kuimaliza hii vitu ni kuusambaratisha kabisa mji wa KIEV kama ambavyo NATO huwa wanafanya kuwa intimidate wagomvi wao kwa overwelming use of force of destruction.Lakini URUSI wanaihitaji UKRAINE ikiwa katika hali nzuri iwezekanavyo katika hali hii ya mapambano.Usisahau kuwa kuna asilimia kubwa sana ya waukraine wanamafungamano ya kindugu na Urusi.
Kumbuka PUTIN alishawaonya wenzake wa europe na NATO kwamba wasitarajie kabisa vita atakayopigana nao itakuwa kama hii SMO yake na UKRAINE.Bado kuna madude mengi ya maangamizi hekima inawakataza kuyatumia kuwapiga UKRAINE.Ndio maana kila mara UKRAINE anapopewa silaha zaidi za offensive na NATO basi warusi huwakumbusha tu zitazidi kuleta maafa zaidi kwa UKRAINE.
Kwa hali ilivyo sitarajii kabisa kuziona F16 zikipelekwa kuhadhirishwa UKRAINE.
😂😂😂😂 Nilikuwa najiuliza walikamwagia mafuta ili iweje kumbe ni kukaziba macho😂😂😜Ila Warusi watata sana. Ka MQ-9 Reaper kao kamemwagiwa mafuta macho yameziba
Vita baina ya RUSSIA na USA ni MAD maana yake ni uhakika wa kuangamizana kabisa kila upande.Hautokuja kushuhudia USA au RUSSIA akimpiga mwenzie kombora .Forget about cost,ile muttually assurred destruction ni kizuizi tosha cha kila mmoja kumuheshimu mwenzie.Ukifuatilia maandamano yanayoendelea US hivi sasa ,moja ya malalamiko ya waandanamanaji ni hofu ya taifa lao kumpush RUSSIA to the point of no return na kuamua kutupeleka dunia nzima kwa Muumba kabla ya wakati.Achana na US pekee nusu ya arsenal ya Nuclear ya RUSSIA inatosha kuifuta dunia nzima.I'd mpya hizi, zinazoibuka hivi karibuni ni za kuzitazama
Nadhani this should be the main key questionNa nyongeza ya swali hapa, mafuta wamespray vipi?
Kwani ipo hiyo option ya kumwaga mafuta wakati chombo kiko angani?
Au inakuaje yani, angalau wadau mtueleweshe tupate mwanga juu ya hili tukio.
Maana Rusia naona wanatufanyia mengi yasioyozoeleka kuonekana (Unexpected things).
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hili sio jambo la kuamua papo kwa papo Waeusi watakiwa walifanya utafiti ni jinsi Gani ya kuiangussha hiyo drone. Haya ni mahesabu makubwa sanaKilichoangusha ndege sio hayo mafuta bali baada ya kuimwagia wese, moja ya ndege ya Urusi ilienda kujigusishia kwenye pangaboy za hiyo drone ndipo pangaboy za hiyo drone zikasambaratika drone ikakosa mwelekeo ikadondoka.
Drone yenyewe sio ndogo sababu inaweza kubeba mabomu 8 ya hatari. Wewe fikiria mbawa zake tu zina urefu wa futi 65
Hamna kitu hapaNimesoma Sky News wao wanadai ile drone ni ya upelelezi na moja ya features ilizo nazo za upelelezi ni camera so Su-27 ziliimwagia mafuta kwa lengo la kufubaza hizi kamera so hazingeweza kupiga picha sasa sijui lengo lilitimia au laa Su-27 ya pili ikatokea chini yake ikaigonga propeller so nadhani hili likapelekea drone kuanza kuelea tu angani operator wa drone ndo wakai crush land baharini.
Russia kwa upande wao wanadai drone ilikuwa kwenye eneo lao ambalo wana exercise no fly zone ila hawasemi kwamba wameiangusha. Ni kama wanakubali kwamba wameifanyia hizo fitna ila hawajaingusha.
Kuna blog zimasema no $56M zingine $32M wewe $16M sasa sijui bei halisi ni ipi? Ila kivyvyote tunarudisha gharama za ukarabati was bombaKipigi hicho ni majibu ya Nord Stream bombing 🤣🤣🤣!
Wameeiingiza Urusi hasara ya almost 1.2 Trillion za kitanzania katika marekebisho tu ya damage.
Wao ki drone cha $16M kama 35 Billions wanataka kuifanya big deal sio. UN wanajifanya hawaoni kama US kafanya ushenzi ku bomb Nord Stream wanambwela mbwela tu.
Tutaendelea kuwachinja kwa wingi kadri iwezekanavyo,nyie endeleeni kujifariji na drone [emoji16]Mwamba Anauliza Kwani Wamesha Ipata Hiyo Drone yaoView attachment 2552859