Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
ISRAEL ilianza kuivamia PALESTINE tokea mwaka 1948nan anaanzaga mvaia mwenzie kati ya Palestina na Israel ? je lin Israel iliwai ivamia Urusi , jifunze kutumia akili na mahaba
Pamoja boss. Tuendelee kuelimika kutoka kwa wajuzi. Kila mtu kuna kitu anajua. Ndivyo tulivyo binadamu. Tunategemeana.Mkuu nami nimefarijika sana. Kuna mwana GT mmoja nae amelezea vizuri pia.. Hivi ndivyo JF ya GT inayotakiwa kuelimishana. Ni matumaini yangu kuwa sasa wengi wamelewa.
Hii plant natamani ikawekwe Kivu au kitchanga[emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa mwisho wa M23Russian Oil Giant Looking to Start New Projects in Congo
Russia's largest private oil company Lukoil is discussing starting new energy projects in the Republic of Kongo as an operator, the company said on Friday.
Lukoil aims to develop in the Republic of Congo. First of all, we are interested in projects where Lukoil could act as operator. We have discussed a number of such opportunities today," the firm’s regional Vice President Ivan Romanovsky said after a meeting with Congolese Minister of Hydrocarbons Bruno Jean-Richard Itoua.
Subscribe to RT
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu, tupo pamoja, hivi ndivyo hoja zinavyojadiliwa, aidha kuna baadhi ya members wametoa hoja zao humu kuhusu suala hii, kama hautajali nadhani ingekuwa busara ukapitia.A bilateral currency swap is a financial arrangement between two parties, usually central banks or governments, to exchange one currency for another at a predetermined exchange rate. The purpose of the swap is to provide liquidity and support to the parties' domestic financial markets and currencies.
Mf. Let say China na UK zimeingia kwenye mkataba huu wa Bilateral currency swap kwa muda wa miaka 10 wenye thamani ya dollar milioni moja. Kinachofanyika ni China ataipa UK Yuan zenye thamani ya dollar milioni moja kwa Uk (yuan milioni 6.8) na Uk ataipa China Pounds zenye thamani ya dollar milioni moja (pounds laki nane na arubaini hivi) na kwa pamoja watakubaliana exchange rate kwa kipindi hicho chote cha miaka 10 let say 8.07.
Hizi Yuan Alizopewa UK anaweza kuzitumia atakavyo either kutoa mikopo kwa makampuni/wafanyabiashara au kununua currency nyingine vivyo hivyo kwa China. Sasa mfanya biashara wa Uk akitaka kununua bidhaa za china za thamani labda ya yuan milioni 2 atakwenda tu kwenye bank kuu ya Uk atakopa Chinese yuan milioni moja (katika zile 6.8m alafu atatumia kulipia mzigo wake directly kwenye benki ya kichina (kwenye akaunti ya supplier au tuseme mfanyabiashara wa kichina). Hakutakuwa na haja ya dollar wala kuhusisha mabenki ya kimarekani. Hali kadhalika mchina naye anaweza kufanya vivyo hivyo. Na baada ya miaka 10 ya mkataba kuisha kila nchi (central bank) itarudisha kwa mwenzake their respective currency at already agreed exchange rate.
Ssidhani kama India na Tz wameingia mkataba wa aina hii.
Kwenye swali lako kama mjapani anataka kununua nyumba ya kibongo kutoka kwa mbongo na nchi hizi mbili zimeingia kwenye mkataba wa aina hii mjapani atakopa shilingi milioni 200 kutoka kwenye benki kuu japan atatumia kulipia kwa mbongo halkadhalika mbongo akitaka toyota ya milioni 10 yen ataenda kopa yen milioni 10 kutoka boT na kwenda kulipia bidhaa yake. Na Kwa sababu kuna agreed exchange rate tyr hiyo pesa aliyokopa atailipa kwa shilingi za kibongo kwa kuzingatia rate ya mkataba husika baina ya nchi mbili.
Kumbe mshabiki wa simba..!!Siteseki. Hakuna furaha yoyote kuwa pro wa nchi yoyote kwangu. Najadili lile ninaloliona ni sahihi nikitegemea kukosolewa au kuelimishwa pasipo mwavuli wa upro.
Tatizo ni kwamba ni nadra sana hili kuwezekana hapa jukwaani.
Zaidi ya kushabikia Simba sport club, sina upro na jambo lingine. Nabadilika wakati wowote kutegemeana na hoja.
Aliona mbali huyu bwanaLet China sleep, for when she wakes, she will shake the world".
Napoleon Bonaparte
@FUSO huyu carry alibishana kabisa na huo ukweli wa hizo silahaUnaambiwa west wana 8 sec tu za kureact huu mzigo ukitumwa kwao.. Ni kweli kabisa unavosema kwamba SAM operators wa wanaziona ila hawana cha kufanya maana wakati unawaza cha kufanya mzigo unakuwa tayari umefika. Nakumbuka wakati Putin anaitangazia dunia kuhusu kuwa na hizi siraha west walidai ni propaganda simply kwakuwa wao hawawezi so wasichokiweza maana yake hakiwezekani. Kuna hata maengineer mwitu humu walikuja na theories za mitaani kudiscourage haya mafanikio ya Warusi na kudai hii tech ni kinyume na laws of physics, ila kwa kuwa pro west wengi hapa ni robots sikuwashangaa. Leo west hawana budi kukubaliana na ukweli kwamba hypersonic weapons zipo na Russia ni leader kwenye hii field.View attachment 2547815
Huyu mwamba nlimpitia pitia kidogoSubmarines ndo zilipewa hii ruhusa..kuna kamanda mmoja wa Urusi..ukimgoggle unaweza mpata.."The man who saved the world from ww3"..Kidogo afyatue...na alikua kwenye mazingira ya kufyatua..wenzake wawili waliisga-bonyeza vitufe..akabaki yeye tu...akasita....
Nimeami maisha ni ujasusi huna ujasusi imara huna maisha.Nadhani hata ile scenario ya juzi ya spy drone ya marekani ilikua na uhjsiano mkubwa sana na ziara ya leo ya putini.Mharifu wa kivita yupo Crimea
[emoji28]Nimekujibu vizuri tu kuwa unaongelea jambo ambalo halijawa bado. Na nikakwambia fuatilia central bank za nchi unazozifahamu kisha utaona dunia bado ipo kwenye mfumo upi, kisha nikamalizia kuwa sikatai kuwa inaweza kuwa lakini bado haijawa.
Venus, Acha kuvimba. Huwezagi kujadili bila kujivimbia, Nasomaga unavyojibu wachangiaji wengine. Unijivimbisha vimbasha mno. Kama kwenye maisha halisi unavimba hivi utajaa usaa halafu ukitumbuka utachafua mpaka walio karibu na wewe. Unajitutumua mno.
View attachment 2556136
Tuendelee kuiunga mkono RUSSIAShukran sana. Umenifumbua sasa kuna vitu kadhaa naelewa kuhusiana na hii vita ya Russia na Ukraine
Pamoja sanaTuendelee kuiunga mkono RUSSIA
Tuendelee kuiombea RUSSIA
Tuendelee kuomba hii SMO iendee vyema na ifanikiwe pia
Doooh[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Ex-Russian President Suggests New Name For Ukraine
Former Russian President Dmitry Medvedev has proposed renaming Ukraine after notorious Nazi collaborator Stepan Bandera. His suggestion came after Ukrainian President Vladimir Zelensky told his government to consider a proposal to change Russia’s name.
On Friday, Zelensky instructed authorities to “thoroughly study” the proposal to officially rename Russia to “Moscovia.” He was reacting to an online petition, arguing that the name “Russia” provided grounds for “further encroachment” on the history of Kievan Rus, a medieval state from which Russia and Ukraine trace their origin. Many Ukrainian nationalists claim that their homeland is the only true heir of Rus.
On Saturday, Medvedev, who currently serves as deputy chairman of the Security Council, fired back in a post on his Telegram channel. “Our response?… Only the Schweinisch Bandera-Reich,” he wrote. The word “schweinisch” means “piggish” in German.
Subscribe to RT
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Walijua ni Nuke kumbe ni shahed-136 bana imefanya yake. Sahizi kipigo anachopokea shosti zelensky na wanamgambo wake kitawaacha uchi sana. Walifanya kosa sana kumdindia mrusi 🤣🤣🤣This isn’t a nuke, this a massive explosion occurred in Dnipropetrovsk region.
Reports indicate Shahed-136 kamikaze drone strikes hit Ukrainian army fuel/ammunition depots
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app