kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Kwa hizo idad mnazotaja kila siku mwaka sasa nahisi wameshafika milion+#stoprussia
In #Bakhmut sector, 193 Russian invaders have been decimated during the day, and another 199 have been injured.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hapanaa sio kwamba bloomberg katoa habari ya uhakika...bali katoa habari ya siri za taifa la Saudia maana..hiyo sio habar ya uhakika kwake bali ni umbeya wa mambo ya siri ya watu.Kumbe kwa habari ya aina hii Bloomberg si tena propaganda ya NATO bali chanzo cha kuaminika! Ila ikitoa habari kuhusu udhaifu wa Urusi mnaiona ni uwongo mtupu . . .
Tupongeze Saudia wakipata diseli kwa bei nafuu sana kwa sababu Putin anapaswa kuuza kwa namna yoyote . . . .
Wiki hii inayoanza jumatatu lgtb watalia sana..Mbona wamesharusha mara kadhaa? HAdi leo NATO imelinda Urusi kwa kutotoa roketi za msafa wa kutosha. Lakini Ukraine wameshapiga kwa kutumia droni na roketi zilizorekebishwa kidogo, pamoja na kipiga daraja. Jibu la superpower lilikuwa nini ???????
Usiogope Urusi itakuwa sawa na Malawi . . . . Hata kama haina uwezo mkubwa jinsi unavyowaza...
Mwambie huyo..mwambie...Afrika sisi ni weusi ila sio wajinga tena..nyambizi inauvuta mzigo hadi juu unamaliziwa na crane za manowari...si ndio hvo tuu au umshana anataka tutumie lori baharini..Ubishi wa kijinga huu usidhani mashine wanazo tumia watu wa kawaida ndiyo wanazo tumia kijeshi ....kitu pekee ni kukiona icho chombo kilipo hiyo ndiyo kazi kubwa ila kukiopoa ni swala dogo tu ... robotic mashine kufanya kazi yake
Wapeni darasa hao vijanaWe ndo mweupe kabisa , Iran aliishusha moja kati ya Drone bora kabisa ya Marekani mwaka 2008 tena Kwa vidole, ndio ishindwe Kwa Urusi, we unaambiwa drone ilikojolewa Kwa mafuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kabla haijapigwa kibao. Vita ilishaisha siku nyingi sana, kinachoendelea sasahivi vita ya uchumi ili wananchi wa Ulaya waziondoe serikali zao.
Hii ni idadi ya tokea mwaka jana feb au ni jana na juzi tuu?Jana walichinjwa zaidi ya mia nane 🥱🥱🥱🥱View attachment 2556752
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
RUSSIA inaendelea kuonesha ukuu wakeBBC wanajaribu kuficha laakini wanashindwa angalia taarifa zao jinsi zinavyo kinzana.View attachment 2552058
Ni kwamba ndani ya saa 24 wamechinjwa warusi zaidi ya mia nane 🥱🥱🥱Hii ni idadi ya tokea mwaka jana feb au ni jana na juzi tuu?
Wakianza kutengeneza watulie nazo km midoli ya kichina ya watoto inayouzwa kariakoo...wakijaribu kuitumia kwa Russia au popote penye maslahi ya Russia basi Ukrain itakua km syria inavyofanyiwa na Israel..Ukraine’s state-owned weapon manufacturer Ukroboronprom starts production of shells for three types of tanks for the Armed Forces, and more in the new edition of the Ukrainian State-Owned Enterprises Weekly.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukraine tayari anawachinja askari wa urusi Mkuu,huna habari kwamba askari wa urusi hambao wameshachinjwa huko Ukraine wanakaribia laki mbili?? Achilia mbali wale hambao wametiwa vilema!!Wakianza kutengeneza watulie nazo km midoli ya kichina ya watoto inayouzwa kariakoo...wakijaribu kuitumia kwa Russia au popote penye maslahi ya Russia basi Ukrain itakua km syria inavyofanyiwa na Israel..
hapa umebakiza kubeba matunguli tu,, uwe mchawi moja kwa moja,,, acha ukuda wewe!!Njia ya pekee ya kumkamata Putin ingekuwa kuporomoka kabisa kwa Urusi; hapo kuna hatari ya Urusi kuvunjika vipande-vipande. Hii inaweza kipindi cha vita kati ya vipande na majirani ambayo ingekuwa vibaya mno.
Heri apinduliwe na watu wake wenyewe
Kwa hiyo zile walizowapa Russians ni kama trailer tu... picha lenyewe bado kabisa...[emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130][emoji1130]
Thread: A look at the best drones in Iran's Armed Forces Arsenal [emoji116]View attachment 2556831
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
GER nimoja ya nchi inayoumia zaidi ikifatiwa na UK na FRANCE kwayale ma GIANT wa pale EUROPEKiwanda kikubwa cha chuma huko German kimefilisika na kulazimika kufungwa kutokana na kuongezeka kwa bei ya gas.
Kiwanda icho chenye historia ya zaidi ya miaka 600 kimezikwa rasmi.
Kweli nimeamini sanctions zinaumiza uchumi wa Russia.
View attachment 2552391
Anaenda kuwamwagia...[emoji305][emoji305][emoji305] chaaaaah