Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukiamini ni kazi ndogo kushusha mashine mita 1500 na kuchukua chochote, basi nenda anzisha kampuni. Ukifaulu utakuwa tajiri. Isipokuwa, sidhani utafaulu. Maana si kazi ndogo.
We ni mzungu gani mwenye imani haba kiasi hiki? Kwanini unaamini sana katika baadhi ya mambo kuwa hayawezekani? Si ulisema Hypersonic haziwezekani kwa laws of physics ila tukaona Ukraine ikiangamizwa na Kinzal 6 juzi? Leo tena unadai hamna mashine za kuzama deep 1500Ms?

Kama pipe layers zilitandaza mabomba ya Nord Stream Baltic sea leo watu wakose mashine za kurecover kitu deep baharini? Unatuangusha bana
 
Ukiongea mtwambie


Halaf naomba hio sehem PUT IN alotangaza kwamba ataipiga UKRAINE kwamuda fulani uniletee niione

Nnachojua nauhakika nikwamba PUT IN alisema kwamba SMO ni long process

Ukileta ushahidi wako namie wangu ntauleta hapa

SMO inaendelea namalengo yatafikiwa mpende msipende
 
GER nimoja ya nchi inayoumia zaidi ikifatiwa na UK na FRANCE kwayale ma GIANT wa pale EUROPE

Gharama zamaisha zipo juu sana sana sana sa aaaaa

Nna ndugu yangu mmoja yupo hapo GER hana kazi now kampuni yao iliishafilisika nasababu ni RUSSO

Ufaransa kumechafuka sana . Maandamano kila siku asee. Hali ni mbaya sana. Do you copy??
 
Ni kwamba ndani ya saa 24 wamechinjwa warusi zaidi ya mia nane 🥱🥱🥱

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tatizo lako brother kirat bange phantom lote unataka uvute peke yako hutaki kutembezea wenzio alafu unajijua hujala,, yani we jamaa kwa mtindo huu soon utavavaa chupi kichwani nimekaa pale👈
 
Daaah kweli walitukamata wasen* hawa........kama wanachapisha chaap pesa then wanatuletea inform of loans....,ni kama kile kitendo Cha kuchukua pesa huku then una hamishia mfuko mwingine but after while zinakuwa increased magically [emoji23][emoji23]

Kwa mfumo huu ...Kweli Dunia ilizubaishwa
 
Hongera china, tusubirie vitendo kwa hawa waarabu na wapersia

BREAKING: Iran has agreed to stop arming the Houthis in Yemen as part of the deal to re-establish diplomatic relations with Saudi Arabia, U.S. and Saudi officials says - WSJ
Mmh acha tuone ila sidhanii kama itakua rahisi hili suala

Siasa za ME pasua kichwa sana ila hem acha tuone itakuaje
 
GER nimoja ya nchi inayoumia zaidi ikifatiwa na UK na FRANCE kwayale ma GIANT wa pale EUROPE

Gharama zamaisha zipo juu sana sana sana sa aaaaa

Nna ndugu yangu mmoja yupo hapo GER hana kazi now kampuni yao iliishafilisika nasababu ni RUSSO
Inaweza kuwa kweli .. German Wana Hali mbaya .....coz wiki iliyopita tulisikia kiwanda heavy Cha steel kilifungwa kisa absence of cheap energy from Russia

Hata Kwa kawaida .....ulikuwa unapata unit Moja Kwa tsh 50 ......

Then ghafla ikapanda up to 450 ..,
Imagine what's going to happen
 
Bara la Ulaya linapitia magumu

Wanatamani hii SMO imalizike wakat huo mwenzao ndio kwaanza

Energy imekua ghali sana na haieleweki inaweza ikapungua leo sent ujue kesho kutwa itapanda maradufu nandio imekua kawaida hiii
 
Inapendeza sanaaa

SMO iendeleeee
 
Uwanja wamajaribio upo pale ngoja tukatest
 
Ufaransa kumechafuka sana . Maandamano kila siku asee. Hali ni mbaya sana. Do you copy??
Kiufupi Europe yote hali tete sanaa na kadri hii SMO inavyoendelea ndio hali inakua mbaya

Yaani SMO ikiendelea hv hv nawao kujifanya wanakaza hv hv Civil War lazima

Maana raia wanaumia wakati wanajua wanaumia kwasababu gani

Winter inayokuja gharama zamaisha zitazidi kua juu acha tuone
 
Huyu mwamba ananikosha sana[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…